Majibu ya Diamond Platnumz >> kilichomtoa machozi? Kazi na Wema? hakwenda kwa Zari Uganda.. (+Audio)

Staa wa Bongofleva, Diamond Platnumz amerudi kwa uzito mkubwa kwenye headlines za muziki baada ya kuachia ngoma ya ‘Utanipenda’. Baada ya kuachia video ya ngoma hiyo, leo December 21 2015 kaachia audio rasmi hewani kwenye show ya ‘Leo Tena‘ Clouds FM… kwenye stori zilizopigwa aliulizwa pia kuhusu sababu iliyofanya apost kipande cha video kilichomtoa machozi […]

The post Majibu ya Diamond Platnumz >> kilichomtoa machozi? Kazi na Wema? hakwenda kwa Zari Uganda.. (+Audio) appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Bongo Movies

Mfahamu kwa undani zaidi mwanadada ZARI wa Uganda aliyetibua penzi la WEMA na Diamond. Ni tajiri balaaa!

INA Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu kwa jina la usanii Diamond Platnum.

Kwenye mitandao ya kijamii kama Tweeter, Facebook, Instagram na hata Whatsapp lazima utakutana na jina Zari akiunganishwa na Diamond na wengine wataunganisha na Wema Sepetu aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond.

Uhusiano...

 

3 years ago

MillardAyo

PICHA 11:Diamond Platnumz hakwenda mikono mitupu kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar…

.

Ni June 6, 2016 ambapo  staa Diamond Platnumz aliungana na uongozi wake wa label ya WCB kuelekea ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Akizungumza na waandishi wa habari RC Paul Makonda alisema….’Diamond na uongozi wake wamekuja ofisini kutoa shukrani na pia kuomba niwe kama mlezi wao wa WCB nitahusika kuwashauri […]

The post PICHA 11:Diamond Platnumz hakwenda mikono mitupu kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar… appeared first on MillardAyo.Com.

 

4 years ago

Bongo Movies

Ommy Dimpoz:Diamond si yupo na Zari au? Sidhani kama amemind mimi kufanya kazi na Wema

Mwanamziki Ommy Dimpoz ameyasema hay oleo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM alipokuwa anautambulisha wimbo wake wa Wanjera ambao mrembo Wema Sepetu amecheza kama Wanjera kwenye video wa wimbo huo na kushiriki kupiga picha za kuutangaza wimbo huo.

Ommy alisema haoni kama kuna tatizo lolote kati yake na swahiba wake huyo licha ya Diamond kutoandika chochote kuhusiana na wimbo huo kama ambavyo amekuwa akifanya kwa wasanii wengine.

 “Labda hajaposti yupo busy na simu yake, hata mimi kuna...

 

3 years ago

MillardAyo

Full Interview ya Diamond Platnumz: Kwanini hakutokea White party Uganda, video ya Wema Sepetu, scene iliyomuhuzunisha na mengine

Ni Interview ambayo mwimbaji Diamond Platnumz alihojiwa CloudsFM kwenye LeoTENA December 22 2015 ambapo ndani yake alizungumzia kutokutokea kwenye show ya Zari All White Party Uganda, video ya Wema Sepetu iliyosambaa akiimba wimbo wa Diamond na mengine mengi. Ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini utasikia yote aliyosema Diamond ikiwemo ya Mama yake alivyoigiza kwenye […]

The post Full Interview ya Diamond Platnumz: Kwanini hakutokea White party Uganda, video ya Wema Sepetu, scene...

 

2 years ago

Malunde

MUME WA ZARI DIAMOND PLATNUMZ ATOA NENO KIFO CHA MZAZI MWENZA NA ZARI IVAN

Alfajiri ya leo May 25, 2017 ziliripotwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Baba wa watoto wa Zari The Boss Lady Ivan Semwanga ambaye ni mfanyabiasha maarufu kutoka Uganda.
Watu mbalimbali wametuma salamu zao za rambirambi kwa msiba huo akiwemo Diamond Platnumz ambaye ni mpenzi wa sasa wa Zari na wakiwa na watoto wawili, Diamond aliweka picha ya mshumaa na kuandika maneno manne ‘mbele yako, nyuma yetu‘

 

3 years ago

Dewji Blog

Ujumbe wa Diamond Platnumz kwa mashabiki kuhusu mimba ya Zari

Fununu za kuwa mpenzi wa staa wa muziki nchini, Diamond Platnumz ambaye ni ZariTheBoss kuwa ana mimba sasa zinaweza kuchukua sura mpya baada ya Diamond mwenyewe kuandika maneno ambayo kwa asilimia kubwa yanawathibitishia mashabiki kuwa Zari ana mimba.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diaond aliweka picha ya Zari ambayo kwa kiasi kikubwa inaonyesha kuwa ana mimba na kuandika “Looking so sexy, my Beautiful and cute Wife @zarithebosslady😚💞!!!… Please tell what would you like me to name my...

 

2 years ago

MillardAyo

Diamond Platnumz afuta post yenye hasira kwa Zari, kaweka hii

Kingine kilichotembea kwenye mitandao ya kijamii leo ilikua ni ishu ya Diamond Platnumz kuonyesha kukasirishwa na kitendo cha mpenzi wake Zari kuonekana kama ameshikwa na Mwanaume ndani ya maji wakiwa kwenye spa. Baadae Zari alijibu kwa kusema Mwanaume huyo ni Binamu wa Marehemu Ivan na kwamba aliyewapiga hiyo picha ni Mke wa huyuhuyu jamaa hivyo […]

The post Diamond Platnumz afuta post yenye hasira kwa Zari, kaweka hii appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Ujumbe wakwanza kutoka kwa Diamond Platnumz tangu Zari kutangaza kuachana nae

Baada ya masaa kadhaa kupita tangu Zarina Hassan maarufu kama  Zari The Bosslady kutangaza kuachana rasmi na mzazi mwenzake mwanamuziki wa Bongo fleva Naseeb Abdul Juma (Diamond Platnumz).

Kupitia mtandao wa Instagram Diamond ameonekana amepost kipande cha video cha wimbo wa Mbosso ‘Nimekuzoea’ huku akiambatanisha na ujumbe.

Ujumbe aliotuma Diamond:

Hayo Mashairi Chaganya na Ua Jeusi…… Dah @mbosso_naona Kama Ulintabiria Mdogo angu😭😥🤦‍♂️

 

 

Instagram Photo

The post Ujumbe wakwanza kutoka kwa Diamond Platnumz...

 

4 years ago

GPL

ZARI AMPOKEA DIAMOND KWA SHANGWE UGANDA JANA

STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda,Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili Uganda jana. Diamond Platnumz akiwa na Zari the Boss Lady wakiondoka Uwanja wa Ndege wa…

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani