Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio)

Siku moja baada ya klabu ya Dar Es Salaam Young African kutangaza maamuzi ya kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda aliyekuwa anakipiga katika klabu hiyo Haruna Niyonzima. Mengi yameanza kuandikwa na kuulizwa eti klabu ya Simba inamnyatia staa huyo wa Rwanda? Hili ndio jibu la afisa habari wa Simba Haji Manara. “Haruna […]

The post Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

AUDIO: Haji Manara azungumza kuhusu MO Dewji na mabadiliko yanayofanyika Simba

Mwishoni mwa wiki iliyopita zilienea habari katika mitandao ya kijamii kuwa Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa MeTL Group, Mohammed Dewji na Yusuph Manji wote kwa pamoja wamesitisha mipango ya kuwekeza katika klabu za Simba na Yanga.

Afisa Habari wa Simba, Haji Manara amezungumza na kipindi cha Sports Xtra cha Clouds Fm kwa upande Simba jinsi ambavyo wamelipokea jambo hilo na kusema kuwa kama klabu haina taarifa na hilo halina ukweli kwani kila kitu kinaendelea kama kilivyopangwa.

“Nimesikia...

 

4 years ago

Michuzi

Haji Sunday Manara ndie msemaji mpya wa Simba

UONGOZI  wa Simba umemtangaza mwandishi wa habari wa siku nyingi,Haji Sunday Manara kuwa msemaji mpya wa klabu hiyo ya wekundu wa Msimbazi.
Katibu mkuu wa Simba Steven Ally ameiambia Globu ya Jamii kuwa Manara atachua nafasi ya Humphrey Nyasio ambaye atapangiwa majukumu mengine.
"Kamati ya Utendaji ya Simba  imemkabidhi jukumu Manara baada ya kujiridhisha pasi na shaka uzoefu wake katika masuala ya michezo na pia uzoefu wake katika mambo mbalimbali ya kiutawala, hivyo kuwa na imani kwamba...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Msemaji wa Simba Haji Manara afunguliwa mashtaka na TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini(TFF) lamfungulia mashtaka ya kinidhamu Msemaji wa Simba Haji Manara kwenye Kamati ya Maadili.

Hatua hii imechukuliwa kwa mujibu wa Katiba ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kila mwanafamilia wa mpira wa miguu Tanzania analazimika kuheshimu na kufuata kanuni za maadili za shirikisho kama zilivyoainishwa kwenye kanuni zake mbali mbali.

TFF inaendelea kutoa rai kwa wadau wa mpira kuwa pamoja ni kwamba ni haki yao kushauri, kupendekeza, kukosoa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

TFF yatoa huku dhidi ya msemaji wa Simba SC Haji Manara

Msemaji wa klabu ya Simba Sports Club, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na soka nje na ndani ya mipaka ya nchi ya Tanzania kwa muda wa mwaka mmoja.

Hukumu hiyo iliyotolewa na kamati ya nidhami ya Shirikisho la Soka Nchini Tanzania (TFF) pia imemuamuru pia kulipa faini ya shilingi milioni 9.

Kamati hiyo imemfungia Haji baada ya kumkuta na hati ya makosa matatu aliyokuwa akituhumiwa nayo ya kukashifu, kudharau na kutuhumu viongozi wa TFF kinyume na kanuni ya 41, kosa la pili kuchochea chuki...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Alichosema Haji Manara kuhusu kuondoka Simba

 

Kufuatia ujumbe tata aliopost Msemaji wa Timu ya Simba Haji Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram hapo jana usiku ambao umezua mjadala miongoni mwa watu, mapema leo  May 2, 2018 Haji Manara, amewatoa hofu mashabiki wa Simba kwa kuweka wazi kuwa hana mpango wa kuondoka katika timu hiyo.

Kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram, Manara amesema kuwa “Siondoki Simba na naomba muelewe hvyo..ninafanya kazi sehemu sahihi na wakati sahihi….rafiki zangu na washabiki wa klabu muelewe...

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya watu kutoa lawama, Haji Manara kataja mambo matatu yaliomuondoa Kerr Simba (+Audio)

Baada ya watu wengi kulalamika juu ya uongozi wa klabu ya Simba kuamua kutangaza kumtimua aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo muingereza Dylan Kerr, usiku wa January 18 mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Haji Manara ameweka wazi jambo lililomfanya kocha huyo aondolewa ndani ya Simba. Manara amefunguka akiwa katika kipindi […]

The post Baada ya watu kutoa lawama, Haji Manara kataja mambo matatu yaliomuondoa Kerr Simba (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Dakika 14 za Haji Manara akizungumza kuhusu ushindi wa Simba dhidi ya Yanga

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara jumatatu ya Februari, 27 amefanya mkutano na waandishi wa habari, ikiwa ni siku mbili tangu Simba na Yanga zilizokutana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, mchezo uliomalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja.

Katika mkutano huo Manara alizungumza mambo mbalimbali kuhusu mchezo huo lakini pia kuwataka mashabiki wa Simba kuendelea kuisapat timu yao ili waweze kutimiza malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani