Majibu ya Rais Magufuli kwa wanaosema Tanzania kuna njaa

kj756

Hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari vimechapisha taarifa zinazosema kwamba Tanzania imekumbwa na njaa. Leo January 11 2017 Rais Dkt. John Magufuli alipokuwa kwenye ziara yake mkoani Simiyu amezungumza kuhusu suala hilo, hizi hapa ni baadhi ya kauli zake…. 'Nafahamu kuna maeneo ya TZ mvua zimechelewa, tusilime mahindi yanahitaji maji mengi, lima mtama, ulezi […]

The post Majibu ya Rais Magufuli kwa wanaosema Tanzania kuna njaa appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

MillardAyo

VIDEO: Majibu ya Rais Magufuli kwa wanaosema ni ‘Dikteta’

rais-mahg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Movember 04, 2016 kwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani mwaka mmoja uliopita, amefanya mahojiano na Wahariri na Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje ya nchi katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam. Moja ya swali aliloulizwa […]

The post VIDEO: Majibu ya Rais Magufuli kwa wanaosema ni ‘Dikteta’ appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Wanasiasa wanaosema kuna njaa wachukuliwe hatua

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yusuf Masauni ameonya kuwa watu wakiwemo wanasiasa wanaoeneza taarifa za uongo za kuwepo kwa baa la njaa, ni kosa na wachukuliwe hatua ikiwemo kukamatwa.

Masauni amesema bado kuna watu wanajichukulia mamlaka ambayo sio yao na kueneza uongo kuwa kuna njaa nchini, hilo ni kosa kwa kuwa kwa kueneza propaganda hiyo kunaweza kusababisha uvunjifu wa amani nchini.

“Hizo ni propaganda za watu wasioitakia mema nchi hii ….. mtu anapofanya kosa lazima...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Tundu Lissu: mamlaka zinazotakiwa kusema kuna njaa zinamuogopa Rais Magufuli

Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema mamlaka zinazotakiwa kusema kuna njaa zinamuogopa Rais Magufuli kwa sababu ameshatangaza msimamo wake hadharani hakuna njaa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, aliyasema maneno hayo katika mkutano wa hadhara ulio fanyika mjini Bariadi mkoani Simiyu “anayejua njaa ni Rais na sio gazeti fulani mimi ndiyo niliyepewa dhamana ya kuwaongoza Watanzania”

Aidha Tundu Lissu ameendelea kwa...

 

2 years ago

MillardAyo

Maneno ya Mwigulu Nchemba kwa wanaosema Rais Magufuli Dikteta (+ video )

screen-shot-2016-09-11-at-9-31-02-pm

Hii ni kauli ya waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba kuhusu wale wanaoendelea kusema Rais Magufuli ni dikteta. Amesema ‘Rais wetu ni mtu anaeishi kwa kufata sheria na ni mtu anaependa haki kwahiyo wanaopenda kutenda uovu wanapokutana na sheria ndio hao utasikia wanalialia‘ ‘Niwaambie tu kwamba kama hawawajui Madikteta waende upya wafatilie […]

The post Maneno ya Mwigulu Nchemba kwa wanaosema Rais Magufuli Dikteta (+ video ) appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Dakika mbili za majibu ya Jerry Muro kwa wanaosema amewatukana Simba

CcFGtKZW4AE4SGV

Baada ya mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Haji Manara kumtuhumu afisa habari wa Yanga kuwatukana Simba na viongozi wake, Amplifaya ya Clouds FM ilimtafuta afisa habari wa Yanga Jerry Muro ili aweke sawa habari hizo kwa upande wake? “Kama kuna mtu anaona kauli  zangu hazijamtendea haki, mimi nimshauri tu kuna […]

The post Dakika mbili za majibu ya Jerry Muro kwa wanaosema amewatukana Simba appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

Majibu ya Gavana wa Benki Kuu, Prof Ndulu kwa wanaosema pesa imepotea

ndulu

Leo September 14 2016 Gavana wa benki wa Benki kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu ameitoa taarifa kuhusu hali ya uchumi ambapo amesema uchumi wa nchi kwa robo ya kwanza ya mwaka 2016 ukuaji wa Pato la Taifa unakadiriwa kuongezeka kwa asilimia 5.5 ikilinganishwa na ongezeko la asilimia 5.7 kipindi kama hicho mwaka 2015. Prof. Ndulu ametaja […]

The post Majibu ya Gavana wa Benki Kuu, Prof Ndulu kwa wanaosema pesa imepotea appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

Tanzania Daima

Wanaosema imekushinda tuwape majibu!

RAIS wangu mara kadhaa sasa umekuwa ukisikika ukisema, wako watu wanakwambia kuwa nchi imekushinda. Ni vema angalau kauli hii imekugusa mpaka moyoni. Umeisikia mwenyewe na mwenyewe umeisema hadharani, si mara moja...

 

4 months ago

Zanzibar 24

Wanaosema vyuma vimekaza wakamatwe – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wanaotoa takwimu za uongo kwa kuzipika kukamatwa na kupelekwa mahakamani ili wakitoka huko wajifunze.

Rais Magufuli amesema hayo leo alipokuwa akiweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu Dodoma, ambapo pamoja na hayo amesema kuwa ukikosea kutoa takwimu umeichafua nchi.

“Hata mtu akija na takwimu za kupikwa kwamba vyuma vimekaza, mpelekeni Mahakamani akaeleze ametoa wapi hizo takwimu. Ninaomba...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani