Majina ya wafugwa 12 wa Pemba na Unguja walio waliopata msamaha wa Rais

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi ametoa msamaha kwa wafungwa  kumi na mbili ambao walikuwa wakitumikia  vyuo cha mafunzo unguja na pemba kwa makosa mbalimbali.

Kwamuji wa taarifa iliyotolewa na katibu wa baraza la Mapinduzi na katibu mkuu kiongozi Dr. Abdulhamid Yahya Mzee amesema Rais wa Zanzibar anaamuru  na kueleza  kuwa kifungo kilichobaki  cha wanafunzi walionufaika na msamaha  huo, ambao bado wanaendelea kutumikia  katika vyuo  vya mafunzo kwa kipindi  hichi chote  kinafutwa na wanafunzi hao watakuwa huru.

Hatua hiyo imefuatia kutokana Zanzibar  itakuwa  inasherehekea  miaka 54 ya mapinduzi  hapo  ifikapo tarehe 12 januari 2018 na Dr.Shein ameridhia  kuwachiwa huru wafugwa hao .

Miongoni mwa walionufaika na  msahama wa rais kwa upande wa unguja ni

Nassor Abeid Issa

Mussa Ali Vuai,

Omar Abdalla Nuhu,

Edward Jeremia Magaja

Na kwa upande wa pemba ni

Mtumwa Khamis Kaimu,

Said Seif Omar,

Masoud Seif Nassor na Seleiman Abdalla Amir.

Kwamujibu wa kifungu cha 59 cha katiba ya Zanzibar Rais anamamlaka ya kutoa msamaha kwa wafungwa.

Amina Omar 

The post Majina ya wafugwa 12 wa Pemba na Unguja walio waliopata msamaha wa Rais appeared first on Zanzibar24.

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 month ago

Zanzibar 24

Orodha majina ya watu walio itwa katika usaili taasisi tofauti za SMZ Pemba

Usaili kwa OFISI YA MSAJILI WA HAKIMILIKI – PEMBA na SHIRIKA LA HUDUMA ZA MAKTABA – PEMBA utafanyika siku ya tarehe 23 Machi, 2018 Skuli ya Maandalizi Madungu saa 2:00 asubuhi.

Bonyeza hapa chini kutazama majina: 

Usaili kwa shirika la huduma za maktaba–pemba na ofisi ya msajili wa hakimiliki

 

Usaili kwa KAMISHENI YA UTALII – PEMBA utafanyika siku ya tarehe 24 Machi, 2018 skuli ya Maandalizi Madungu saa 2:00 za asubuhi

Bonyeza hapa chini kutazama majina: 

Usaili kwa wizara ya afya – pemba...

 

4 months ago

Zanzibar 24

Kamishna Magereza atoa neno kwa wafungwa waliopata msamaha wa Rais

Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Juma Malewa amewataka wafungwa waliotolewa kwa msamaha wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli siku ya uhuru, waheshimu mamlaka iliyowatoa na waende wakawe raia wema huko waendako.

Kamishna Malewa amesema anaamini kuwa wafugwa hao walioachiliwa huru kwa msamaha huo wameshajifunza na kujirekebisha na kuwaomba raia wawapokee na kuwatengenezea mazingira ya kuwaingiza katika kazi ili na wao waende sambamba...

 

3 months ago

Malunde

MAJINA YA WAFUNGWA 12 WALIOPEWA MSAMAHA NA RAIS DKT SHEIN

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Rais wa Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein, ametoa msamaha kwa wafungwa 12 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Dkt Shein ametoa msahama kwa wafungwa hao ambao walikuwa wamehukumiwa kwa makosa mbalimbali.
Msamaha huo umetolewa kwa mujibu wa ibara ya 59 ya Katiba ya Zanzibari ya mwaka 1984 ambayo imempa Rais mamlaka ya kutoa msamaha kwa wafungwa. 
Msamaha huo unatolewa kwa wafungwa kama nafasi ya wao kuanza kuishi...

 

6 months ago

Zanzibar 24

Majina ya walio itwa katika usaili ofisi ya rais, tawala za mikoa,serikali za mitaa na idara maalum za smz, kamisheni ya ardhi na wizara ya biashara

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Kamisheni ya Ardhi na Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko kwenda kuangalia majina yao katika Ofisi ya Kamisheni ya Ardhi – Forodhani Zanzibar kuanzia siku ya Jumatano ya tarehe 11 Oktoba, 2017.

 

Wito kwa usaili kamisheni ya wakfu na maliamana na kamisheni ya utalii unguja

Kwa wale ambao watabahatika kuona majina yao wanaombwa kufika...

 

5 months ago

Zanzibar 24

Majina mengine ya Wanafunzi waliopata mikopo yatajwa

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha nyingine yenye wanafunzi 1,775 wa Mwaka wa Kwanza waliofanikiwa kupata mikopo na hivyo kufanya jumla ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo hadi sasa kufikia 31,353. Katika Awamu ya Kwanza, wanafunzi 10,196 wa mwaka wa kwanza walipangiwa mikopo, Awamu ya Pili (11,481), Awamu ya Tatu (7,901). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana (Jumapili, Novemba 12, 2017) na Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. Abdul-Razaq...

 

6 months ago

Michuzi

ORODHA YA KWANZA YA MAJINA YA WALIOPATA MIKOPO 2017/2018

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Abdul-Razaq Badru akizungumza na waandishi wa habari kuhusu upangaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2017/2018 leo (Jumatano, Oktoba 18, 2017) katika ofisi za HESLB jijini Dar es salaam. Kushoto kwake ni Kaimu Mkurugenzi wa Upangaji na Utoaji Mikopo wa HESLB Dkt. Veronica Nyahende (Picha: HESLB).


 WAOMBAJI wa mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2017/2018 kuwa, baada ya uchambuzi wa maombi yao, Orodha...

 

1 year ago

Dewji Blog

Majina 12 ya waliopata uteuzi wa CCM kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza majina 12 ya wanachama wake ambao wamepitishwa na chama kugombea nafasi za ubunge wa Afrika Mashariki.

Waliopendekezwa ni wanaume sita na wanawake sita ambapo Tanzania Bara imetoa watu nane na Zanzibar imetoa wagombea wanne.

Kati ya hao 12 watapigiwa kura katika Bunge la Tanzania na watu sita pekee ndiyo watapitishwa kuwa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki.

Listi kamili ya walioteuliwa isome hapa chini

Tanzania Bara – Wanawake

Zainabu Kawawa

Happiness...

 

4 years ago

Habarileo

Waliopata majanga ya moto Pemba wasaidiwa

JUMUIYA ya Muzdalifa yenye makao makuu yake Pemba imetoa misaada wa bidhaa mbalimbali ikiwemo nguo kwa familia na watu ambao nyumba zao zimeteketea kwa moto huko Shumba, mjini Pemba.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani