Majina ya Wanajeshi 14 walifariki huko nchini Congo

1.Pte Mwichumu 12 kj 2.Pte Hali Haji Ussi band coy 3.Pte Hamad Mzee Kamna 12 kj 4.Deogratius Kamili 101 5.Juma Mossi 11 kj 6.Paschal Misingo 11 kj 7.Idd Abdala SMV 8.Cpl Issa Khamis 111 9.Pte Shaziri Nyandonde 83kj 10.Pte Hamad Haji Bakari 101 11.Sgt Makame Abdalah 101 12.Pte Nassor Daud 12 kj 13.Pte Saleh Said Mahembano 302 14.Pte Vuai Mohammed 12 kj 
HATUNAO MPAKA SASA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

UN: Watu 40 walifariki katika maandamano dhidi ya Kabila DR Congo

Takriban watu 40 waliuawa na zaidi ya 140 kujeruhiwa , kulingana na ripoti ya pamoja ya Umoja wa mataifa na tume ya haki za kibinaadamu nchini DR Congo.

 

2 years ago

BBCSwahili

Marekani yatoa majina ya wanajeshi waliouwawa baharini

Marekani imetangaza majina ya wanajeshi wake 7 ambao waliuawa wakati meli yao iligongana na ile ya mizigo katika eneo la bahari ya Japan siku ya Jumamosi.

 

2 years ago

VOASwahili

Wanajeshi wa Sudan Kusini wamewashambulia waasi huko Malakal

Jeshi la Sudan Kusini linaeleza kwamba wanajeshi wake wamewaua zaidi ya waasi 50 na wafuasi wa kundi la wanamgambo na kuwajeruhi wengine kadhaa wakati wa mapambano ambayo yalifanyika jumapili, magharibi ya mji wa Malakal. Msemaji wa jeshi, Brigedia Jenerali Lul Ruai Koang akiongozana na kundi la waandishi wa habari mwishoni mwa wiki kwenda kwenye tukio la mapigano katika jimbo la Upper Nile mahala ambako alisema wanajeshi wa serikali walisababisha majeraha makubwa kwa wapiganaji wanaomtii...

 

1 year ago

Michuzi

KUWAIT YALAANI MAUAJI YA WANAJESHI WA TANZANIA HUKO DRC

Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al-Najem (wakwanza kushoto) ameungana na mamia ya viongozi wa Serikali akiwemo Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zubeir Ali katika uwanja wa ndege wa Zanzibar, ameungana nao kupokea na kuaga miili ya wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha yao huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakilinda amani chini ya muavuli wa umoja wa mataifa. 
Al- Najem amesema kuwa Serikali ya Kuwait...

 

3 years ago

Vijimambo

majina 18 ya Mahujaji kutoka Tanzania waliopotea huko Saudi Arabia


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Coat of Arms
Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600               
               20 KIVUKONI FRONT,                           P.O. BOX 9000,                  11466 DAR ES SALAAM,                                      Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Taarifa za kupatikana kwa majina 18 ya Mahujaji kutoka Tanzania waliopotea huko...

 

11 months ago

Malunde

HAYA HAPA MAJINA YA WANAJESHI WOTE WALIOPANDISHWA VYEO NA RAIS MAGUFULI

Rais John Magufuli leo amewapandisha vyeo maofisa wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi (JWTZ) akiwamo Meja Jenerali Peter Massao aliyepandishwa kuwa Luteni Jenerali.
Taarifa iliyosomwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo leo Aprili 12, Ikulu Jijini Dar es Salaam imeeleza kuwa Meja Jenerali Massao ni Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Maaofisa Wanafunzi wa Jeshi Monduli (TMA) na kwa uteuzi huo, sasa JWTZ itakuwa na maluteni jenerali wawili.
Wengine waliopandishwa vyeo na Rais...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Wanajeshi wa JWTZ waliouawa Congo waagwa

Miili ya askari wawili wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliouawa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) imeagwa tayari kwa kurejeshwa nchini.

Askari hao walikuwa kwenye operesheni ya ulinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa (UN). Habari zilizopatikana zilisema miili ya askari hao iliagwa jana.

JWTZ katika taarifa kwa umma juzi iliwataja askari hao kuwa ni Koplo Maselino Paschal Fubusi na Praiveti Venance Moses Chimboni. Taarifa ilisema askari wengine 12 walijeruhiwa katika...

 

1 year ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa DR Congo wauliwa na wenzao wa Rwanda

Wanajeshi watano wa DR Congo wameuawa na wanajeshi wa Rwanda kulingana na jeshi la nchi hiyo

 

2 years ago

Malunde

WATANZANIA 18 WATEKWA NA WAASI HUKO CONGO

Waasi wanaodaiwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wamewateka madereva 21, wakiwamo Watanzania 18 wanaofanya kazi kwenye kampuni ya malori ya mizigo ya Alistair ya nchini.
Meneja usimamizi wa Tanzania na DRC wa kampuni ya Alistair , Anna Joyce Mbise aliliambia gazeti la Mwananchi  jana kuwa  madereva hao walitekwa asubuhi ya Juni 29, baada ya mapambano kati ya askari wa Serikali ya Congo na waasi hao.
“Kwa mujibu wa maelezo ya madereva hao ni kwamba askari wa Serikali waliokuwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani