MAKALLA AFANIKISHA KUANZA KWA UJENZI WA KITUO CHA AFYA CHA MPUGUSO-RUNGWE,AFANIKISHA MSAADA WA MIFUKO 150 TOKA MBEYA CEMENT.

   Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Amos Makalla Leo katika kata ya Mpuguso Kijiji Cha Mpuguso Wilaya Ya Rungwe ametembelea Ujenzi wa Kituo Cha Afya Cha Mpuguso unaondelea katika Kata hiyo Kwa kushirikisha nguvu za Wananchi , wadau pamoja na Serikali. 
Akizungumza na wananchi Mh.Rc.Makalla ameahidi kutoa ushirikiano Mpaka kukamilika Kwa Kituo Cha Afya Cha Mpuguso, alisema "nimekubali kuwa Mlezi wenu wa Kimaendeleo katika kila hatua ya Ujenzi mtakapokwama mnijulishe tutafanikiwa"Pia Makalla...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

LAFARGE TANZANIA YASAIDIA SARUJI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MPUGUSO WILAYANI RUNGWE.

Mkurugenzi mawasiliano na Masoko wa kampuni ya saruji la Lafarge Tanzania Allan Chonjo akiwaeleza wananchi wa kijiji cha Mpuguso kata ya Mpuguso wilayani Rungwe mkoani Mbeya kwamba kampuni hiyo imetoa mifuko 150 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa Kituo Cha Afya cha kata hiyo, kushoto ni mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla.Wakazi wa kijiji cha Mpuguso wilayani Rungwe mkoani Mbeya wakishangilia baada ya kupata taarifa za msaada wa saruji kutoka kampuni ya Lafarge Tanzania.Mkuu wa...

 

4 years ago

Michuzi

JK AFANIKISHA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI, 1.6bn/- zapatikana usiku huu diamond jubilee hall dar es salaam

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dr Alex Gehaz Malasusa, Mwenyekiti wa Harambee hiyo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Mchechu na wachangiaji wakubwa katika harambee hiyo iliyofanyika usiku huu katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam ambapo jumla ya shilingi bilioni 1.6 kati ya shilingi bilioni 2...

 

3 weeks ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MAJENGO MAPYA YA CHUO CHA UALIMU MPUGUSO WILAYANI RUNGWE PIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TUKUYU MKOANI MBEYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na viongozi wengine kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Mpuguso Rungwe mkoani Mbeya.
. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kyela mkoani Mbeya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Rungwe hawaonekani pichani wakati ...

 

2 years ago

Michuzi

DC JUMA HOMERA AFANIKIWA KUANZA UJENZI WA KITUO CHA AFYA NAKAYAYA, TUNDURU.


AOMBA WANANCHI PAMOJA NA WADAU MBALIMBALI WAMUUNGE MKONO KUFANIKISHA AZMA YAKE

Mkuu wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Mhe. Juma Zuberi Homera ameazisha ujenzi wa kituo cha Afya Nakayaya, lengo la kuanzisha kituo hiki ni kupunguza msongamano wa wagonjwa katika hospitali ya wilaya Tunduru huzidiwa na wagonjwa kushindwa kupata matibabu kwa wakati.

Kata ya Nakayaya ipo umbali wa kilomita tano toka Tunduru mjini, kituo hiki kinatarajiwa kuhudumia kata ya Nakayaya, Masonya, Mlingoti na...

 

4 years ago

Dewji Blog

Mlata atoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 5.7 kwa kituo cha afya cha Sokoine

DSC00141

Baadhi ya vifaa tiba na madawa mbalimbali yaliyotolewa msaada na Martha Mosses Mlata kwa kituo cha afya cha Sokoine mjini Singida.

DSC00145

Katibu wa jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Singida, Anjela Robert (kulia) akimkabidhi moja nguzo ya kutundikia maji ya drip, kwa ajili ya matumizi katika kituo cha afya cha Sokoine, Kaimu mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Omary Kisuda.Katibu Anjela alikabidhi msaada huo uliotolewa na Martha Mosses Mlata uliomgharimu zaidi ya shilingi 5.7...

 

3 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MILIONI 255 KWA AJILI YA KUSAIDIA UJENZI WA KITUO CHA KISASA CHA MAWASILIANO YA JESHI LA POLISI.

 Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, Inspekta Jenerali, Ernest Mangu (katikati), akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shs. milioni 255 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto), kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kituo cha mawasilianio ya Jeshi la Polisi. Kulia ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna, Simon Siro, Mtendaji Mkuu wa Kitengo cha Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi, Omary Issa (wa pili kulia) na kushoto ni Naibu...

 

3 years ago

Michuzi

MWENYEKITI MJI MDOGO WA HIMO AFANIKISHA UZINDUZI WA KIKUNDI CHA MTAA WAKE WA MIEMBENI

Mwenyekiti wa Mji Mdogo wa Himo ambaye pia ni mwenyekiti wa mtaa wa Miembeni akizungumza wakati wa uzinduzi wa mfuko wa kikundi cha Miembeni kilijulikanacho kama Miembeni Uchumi Society.Baadhi ya wananchi ambao ni wakazi wa Mtaa wa Miembeni katika mji mdog wa Himo mkoani Kilimanjaro wanaounda kikundi cha Miembeni Uchumi Society.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

4 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif Idd ashiriki harambee chuo cha CBE, afanikisha kukusanya shilingi milioni 540.8

Picha no 1

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd akikabidhi mchango wake wa shilingi milioni 3 kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uongozi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Mathew Luhanga (katikati)  kusaidia uboreshaji wa miundombinu ya chuo hicho jana usiku wakati wa harambee  maalum ya ukusanyaji wa fedha iliyofanyika  Hoteli ya Serena jijini Dar es salam.Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Prof. Emanuel Mjema.

Picha no 2

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd akisoma majumuisho...

 

1 year ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AFANIKISHA UCHANGIAJI UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana aliwezesha kupatikana kwa shilingi bilioni moja na milioni mia saba kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye hotel ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais aliwapongeza uongozi wa Wilaya ya Muheza na mkoa wa Tanga pamoja na wananchi kwa kuamua kujenga hospitali yao ya wilaya ili kuboresha hali ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Makamu wa Rais alisema Serikali...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani