MAKAMBA : TANZANIA TUNAO UWEZO MKUBWA WA KUZALISHA MIFUKO MBADALA


Na: Mwandishi WetuTanzania inao uwezo mkubwa wa kuzalisha mifuko mbadala ambayo itatosheleza kufanikisha azma yake ya kupiga marufuku biashara na matumizi ya mifuko ya plastiki.

Hayo yamebainishwa na Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, mhe. Januari Makamba wakati akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa leo Jijini Dodoma. 

Makamba amesema kuwa ni jambo la kushangaza kuona asilimia 100 ya mifuko ya karatasi inayotumika nchini Rwanda na asilimia...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

6 days ago

Michuzi

Tanzania Tunao Uwezo Mkubwa wa Kuzalisha Mifuko Mbadala - Makamba

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba akielezea mbele ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa katika kikao chao leo Jijini Dodoma. Waziri Makamba alisisitiza umuhimu wa ushirikiano baina ya viongozi wakati wa utekelezaji wa Operesheni ya Marufuku ya Matumizi ya Mifuko ya Plastiki nchini inayotarajiwa kuanza tarehe 1/6/2019.[/caption]

Na: Mwandishi Wetu

Tanzania inao uwezo mkubwa wa kuzalisha mifuko mbadala ambayo itatosheleza kufanikisha azma...

 

5 years ago

Mwananchi

Tunao uwezo wa kukomesha mauaji haya

Habari za mauaji baina ya wakulima na wafugaji zimeendelea kutawala katika vyombo vya habari nchini.

 

2 years ago

Bongo5

Samatta: Tunao wachezaji wengi wenye uwezo wa kucheza nje

Mshambuliaji wa KRC Genk ya Ubelgiji na Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samatta amesema Tanzania inawachezaji wengi wenye uwezo wa kucheza soka nje ya Tanzania.

Samatta ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza kwa mazoezi ya timu ya Taifa katika uwanja wa Taifa.

Samatta ambaye aliyewasili usiku wa juzi kujiunga na kikosi cha Stars kwa ajili ya mechi mbili za kirafiki za kimataifa wiki ijayo dhidi ya Botswana Jumamosi na Burundi Jumanne, amesifu...

 

4 years ago

Mwananchi

Tanzania ina uwezo wa kuzalisha mchele kutosheleza soko la EAC

Kumekuwa na wasiwasi juu ya uingizaji wa mchele kwa njia za magendo nchini Tanzania, hali ambayo inatajwa kuathiri thamani ya mchele unaozalishwa nchini.

 

4 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII TANZANIA WAJENGEWA UWEZO WA UTENDAJI KAZI.

 Mwenyekiti wa Jumuiya  ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (TSSA),Eliud Sanga  ( kati kati) ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa(LAPF), akibadilishana mawanzo na  Katibu mkuu wa  TSSA, Meshack Bandawe, ( kulia) ambaye pia ni Meneja wa PPF Kanda ya Ziwa ,  Augosti 24, mwaka huu mjini Morogoro  baada ya mwenyekiti huyo kufungua mafunzo kwa wafanyakazi wa mbalimbali wa mifuko yote ya hifadhi ya jamii chini inayounda  Jumuiya hiyo ( kushoto)...

 

2 years ago

Channelten

Uzalishaji wa bidhaa zenye viwango, Tanzania inao uwezo mkubwa

Charles-Mwijage

Waziri wa viwanda,biashara na uwekezaji Charles Mwijage amesema uwezo wa tanzania kuzalisha bidhaa zenye viwango vya kimataifa upo tofauti na fikra potofu za baadhi ya watu wanaohamasika kutumia bidhaa za nje kuliko za ndani.

Ametoa kauli hiyo jijini dar es salaam wakati wa uzinduzi wa duka la vifaa vya ujenzi linalomilikiwa na kampuni ya taifa ya ujenzi china CNBM ambapo amesema licha ya kampuni hiyo kuwa ya kimataifa , bidhaa inazouza baadhi yake zinazalishwa hapa nchini hivyo ametoa wito...

 

2 years ago

Michuzi

Mashine ya kuzalisha mkaa mbadala utokanao na takataka yatengenezwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Kujanakushoka Tools Manufactures Group Bw. Leonard Kushoka (kushoto) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitambulisha mashine ya kuzalisha mkaa mbadala utokanao na takataka, kulia ni mmoja ya wafanyakazi wa kampuni hiyo Bi. Zainabu Mtiga. blu2Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Kujanakushoka Tools Manufactures Group Bw. Leonard Kushoka wakati akitambulisha mashine...

 

2 years ago

Habarileo

Mifuko ya jamii nchini kuzalisha ajira 113,000

MIFUKO ya Hifadhi ya Jamii nchini itajenga viwanda 27 na kuzalisha ajira 113,000 kabla ya mwaka 2018.

 

4 years ago

BBCSwahili

Paracetamol yaathiri uwezo wa kuzalisha:Utafiti

Utafiti umebaini kuwa matumizi ya Paracetamol kwa siku 7 unapunguza uzalishaji wa homoni za kiume na uwezo wa watoto mvulana kuzalisha baadaye

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani