Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ziarani CUBA

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa na naibu waziri wa mambo ya nchi za Nje ya Cuba mheshimiwa Anna Teresita Gonzalez baada ya mazungumzo yao yaliyolenga kuimarisha uhusiano uliopo kati ya Tanzania na Cuba. Cuba imekubali kutoa nafasi za masomo ya juu kwa madaktari wa Zanzibar waliofundishwa udaktari na madaktari bingwa kutoka Cuba. Mazungumzo ya viongozi hawa wawili yalifanyika katika jumba la itifaki mjini Havana Cuba.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi arejea Zanzibar kutoka ziarani India

Na Othman Khamis Ame, OMPRMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewasili Zanzibar mapema leo asubuhi akitokea nchini India ambako alifanya ziara ya wiki moja.Kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume Balozi Seif aliyeambatana na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi alipokewa na Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Watendaji wakuu wa Serikali pamoja na baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Siasa.Balozi Seif ambae aliuongoza Ujumbe wa Mawaziri wawili,...

 

2 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi arejea kutoka ziarani China

Na Othman Khamis Ame, OMPRMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kukamilika kwa ujenzi wa miradi mitatu inayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutafungua fursa pana ya ajira hasa kwa Vijana pamoja na kuimarika kwa ufanisi wa kazi katika Taasisi za Umma na hata zile Binafsi.Akizungumza na Waandishi wa Vyombo mbali mbali vya Habari hapa Nchini mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea Nchini China kwa ziara ya siku...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi safarini Jordan

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameondoka Zanzibar kupitia Mjini Dar es salaamu kuelekea Amman Nchini Jordan kuhudhuria Jukwaa la Uchumi la Dunia { World Economy Forum – WCF} la Siku Tatu litakalohudhuriwa na zaidi ya Wajumbe 2,000 kutoka Nchi 58 Duniani.
Balozi Seif  anamuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwenye Jukwaa hilo la Kanda ya Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika litakaloshirikisha Vingozi Wakuu wa Nchi,...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AUPONGEZA UONGOZI WA UBALOZI MDOGO CHINA,ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameupongeza Uongozi wa Ubalozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China uliopo Zanzibar kwa maandalizi mazuri iliyofanya kuratibu ratiba ya ziara yake ya Siku Tano aliyoifanya hivi karibuni Nchini China.
Alisema ziara hiyo ya Kiserikali ilimuwezesha na kumpa fursa ya kukutana na Uongozi wa Kampuni na Taasisi mbali mbali za China zilizoonyesha nia ya kutaka kuwekeza vitega uchumi vyao Visiwani Zanzibar.
Balozi Seif Ali Iddi alieleza hayo...

 

2 years ago

Michuzi

Ziara ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi nchini India

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema nia ya Uongozi wa Shirikisho la Viwanda Nchini India wa kuonyesha muelekeo wa kutaka kuwekeza miradi yao katika sekta ya Kilimo utaleta matumaini makubwa ya kuimarika kwa Uchumi Visiwani Zanzibar. Alisema hatua hiyo itafungua milango ya Uwekezaji kwa Taasisi na Makampuni ya Uwekezaji ya Jimbo la Kerala Nchini India kuanzisha miradi yao Zanzibar hasa ikizingatiwa kwamba Utamaduni pamoja na mazingira ya pande hizo mbili...

 

3 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akutana na Kamati Tendaji ya Milade Nabii

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kati kati akizungumza na Ujumbe wa Kamati Tendaji ya Milade Nabii iliyofika Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar kumualika Sherehe za Maulidi ya uzawa wa Mtume Muhammad {SAW } yanayotarajiwa kufanyika Tarehe 11 Disemba.Kushoto ya Balozi Seif ni Mwenyekiti wa Kamati Tendaji hiyo ya Milade Nabii Sheikh Sheraly Shamsi na wa kwanza kutoka kulia ni Sheikh Hamad.Wa kwanza kutoka kushoto ni Wajumbe wa Kamati hiyo Sheikh Ali na Sheikh Kassim...

 

3 years ago

Michuzi

MAKAMU WA PILI RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AZINDUA JENGO LA MAABARA YA SKULI YA KITOPE

Picha na – OMPR – ZNZ.                             Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliitahadharisha Jamii  kuelewa kwamba maendeleo kwa wana Taaluma wa Fani ya Sayansi iwe Maskulini au vyuoni  yataendelea kuwa ndoto iwapo  hakutakuwa na mipango imara ya  kuimarisha miundombinu kwenye Majengo ya Maabara katika maeneo husika.

Alisema Wazazi kwa kushirikiana na Kamati za Maskuli na vyuo kupitia usimamizi wa Wizara inayosimamia masuala ya Elimu bado wana jukumu la...

 

2 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi akagua ujenzi wa barabara ya kinduni na Kichungwani

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Ujenzi wa Bara bara ya Kinduni, Kichungwani na hatimae kuelekea Kitope unaofanywa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar utasaidia kuharakisha maendeleo ya Wananchi hasa wakulima wa Vijiji hivyo. 
Alisema Ujenzi wa Bara bara hiyo ambao umo ndani ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM unatekelezwa kufuatia ahadi iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mstaafu wa Awamu ya Sita Dr. Amani Karume.

Balozi Seif...

 

2 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Jukwaa la Dunia la Uchumi nchini Jordan


Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imejenga uwezo zaidi wa kukabiliana na vitendo vya rushwa katika azma yake ya kujenga uchumi imara utakaostawisha Taifa kwa kuongeza Mapato kupitia Sekta ya Utalii sambamba na Ujenzi wa Viwanda vipya vya kudumu. Kauli hiyo imetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi anayemuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwenye Jukwaa la Dunia la Uchumi { world Economy Forum } wakati akiwasilisha Muelekeo wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani