MAKAMU WA KWANZA WA RAIS, MAALIM SEIF AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania bibi Malika Berak, alipofika ofisini kwake Migombani kwa mazungumzo. Kulia ni ofisa wa ubalozi Philippe Boncour.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo wakati akizungumza na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania bibi Malika Berak, ofisini kwake Migombani.
Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania bibi Malika Berak, akisisitiza jambo wakati...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI

Serikali ya Ufaransa kupitia Benki ya Maendeleo ya Nchi hiyo (AFD) imeahidi kuwa inampango wa kuipatia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu kutoka wastani wa euro milioni 50 hadi euro milioni 100 kwa mwaka katika miaka ijayo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchini.

Balozi wa Ufaransa hapa Nchini Malika Berak ametoa kauli hiyo Ikulu Jijini Dar es Salaam alipokutana na Kufanya mazunguzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...

 

2 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Samia Suluhu akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika BERAK aliyeambatana pamoja na  Mshauri wa  Uchumi wa Ubalozi  wa Ufaransa  Bi. Beatrice Alperte, tukio lililofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. 

Balozi wa Ufaransa alimueleza Mhe. Makamu wa Rais juu ya Kongamano kubwa la Biashara litakalofanyika Dar es Salaam mwezi Aprili mwaka huu ambapo Kongamano hilo litajumuisha makampuni 50 kutoka Ufaransa...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA CUF PROFESA LIPUMBA KWA NYAKATI TOFAUTI JIJINI DAR LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika Berak (kushoto), ofisini kwake, Ikulu Jijini Dar es Salaam.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza kwa makini Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika Berak wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika ofisini kwake, Ikulu Jijini Dar es Salaam.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI NCHINI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Kaimu Balozi wa Marekani nchini Mhe.Inmi Patterson aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam na kujitambulisha na kufanya mazungumzo kwa mara ya kwanza tangu alipowasili nchini.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Mhe. Inmi Patterson (Katikati) mara baada ya...

 

1 year ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Balozi wa Uingereza nchini Bi. Sarah Cooke, Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam.

Lengo la mazungumzo hayo ilikuwa nikuagana na Mheshimiwa Makamu wa Rais ambaye atamuakilisha Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola (CHOGM) utakao fanyika mjini London kuanzia tarehe 16 hadi...

 

4 years ago

Michuzi

Maalim Seif akutana na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania bibi Malika Berak, alipofika ofisini kwake Migombani kwa mazungumzo. Kulia ni ofisa wa ubalozi Philippe Boncour. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo wakati akizungumza na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania bibi Malika Berak, ofisini kwake Migombani.

 

4 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA TAMWA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na baadhi ya viongozi Jumuiya ya Waandishi wa Habari Wanawake Zanzibar (TAMWA Zanzibar), walipofika nyumbani kwake Mbweni kwa ajili ya mazungumzo.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo wakati akizungumza na Mratibu wa TAMWA Zanzibar bi Mzuri Issa nyumbani kwake Mbweni.
Mratibu wa TAMWA Zanzibar bi Mzuri Issa akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe....

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA PALESTINA JIJINI DAR ES SALAAM

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M.Shabat, Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia kitabu alichokabidhiwa na Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M.Shabat, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Palestina nchini Mhe....

 

1 year ago

Michuzi

Balozi Seif akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi ya CCECC ya China

Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Uhandisi wa Ujenzi ya Nchini China ya Civil Engineering Construction Corporation 'CCECC' Bw. Zhuang  Shangbiao alisema hatua iliyochukua  Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  'SMZ' ya kuipa kazi ya ujenzi wa barabara Nchini imeleta heshima kubwa na ya kipekee kwa Kampuni hiyo.
Alisema kazi iliyo mbele kwa uongozi na wahandisi wa kampuni hiyo hivi sasa ni kujipanga vyema katika kuhakikisha heshima waliyopewa na SMZ wanailinda katika kuwajibika ipasavyo  wakati wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani