MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 28 WA CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) kufanya hima maana Serikali iko katika hatua za mwisho za kuanza kufanya mageuzi makubwa katika eneo la mazingira ya biashara kama ilivyobainishwa hivi karibuni na Waziri wa Viwanda na Biashara.
Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 28 wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) unaotanguliwa na mafunzo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA MAJAJI WANAWAKE TANZANIA

 Makmu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA) uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.
 Jaji Mstaafu Engera Kileo(wa kwanza kushoto) akiwa pamoja na baadhi ya Majaji na Mahakimu wakifuatilia mkutano mkuu wa nane wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA) uliofanyika jana jijini Dar es Salaam
 Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa nane wa Chama cha Majaji Wanawake...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA NANE WA CHAMA CHA MAJAJI WANAWAKE TANZANIA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Mkutano wa Nane wa mwaka wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA) kwa ajili ya kuufunga leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na kulia ni Mwenyekiti wa TAWJA ambaye pia ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Tanga Mhe. Iman Abood.   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA NANE WA CHAMA CHA MAJAJI NA MAHAKIMU WANAWAKE TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewaagiza Majaji na Mahakimu wanawake kote nchini kupambana ipasavyo katika kukabiliana vitendo vya rushwa,unyanyasaji kijinsia na rushwa ya ngono ili kusaidia wanawake kupata haki zao za msingi bila kubaguliwa katika jamii.

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa agizo hilo jijini Dar es Salaam wakati anafungua Mkutano Mkuu wa NANE wa Chama cha Majaji na Mahakimu wanawake Tanzania (TAWJA).

Makamu wa...

 

4 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua Mkutano Mkuu wa Chama Cha Waalimu Tanzania (CWT)

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Chama Cha Waalimu TANZANIA( CWT) uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto nje kidogo ya mji wa Arusha jana.Wakati wa mkutano huo wanachama wa CWT ulitarajia kuwachagua viongozi wapya wa chama Hicho.Akizungumza katika  mkutano huo Rais Kikwete ameahidi kutatua changamoto moto mbalimbali zinazowakabili waalimu nchini(picha na Freddy Maro).

 

4 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete afungua Mkutano Mkuu wa Chama Cha Waalimu Tanzania(CWT)

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Chama Cha Waalimu TANZANIA( CWT) uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto nje kidogo ya mji wa Arusha jana.Wakati wa mkutano huo wanachama wa CWT ulitarajia kuwachagua viongozi wapya wa chama Hicho.Akizungumza katika mkutano huo Rais Kikwete ameahidi kutatua changamoto moto mbalimbali zinazowakabili waalimu nchini(picha na Freddy Maro)

 

1 year ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT) MKOANI DODOMA


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia ya wanachama wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) kabla ya kufungua mkutano huo  Mkuu wa (CWT )katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma. Wanachama hao wa CWT walisimama na kushangilia  mara baada ya ahadi ya Rais Dkt. Magufuli kuwaahidi kuendelea kutatua kero zao mbalimbali. Mamia ya Wajumbe wa Chama cha Walimu(CWT) wakishangilia ndani ya ukumbi wa Chimwaga wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt....

 

1 year ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM ) RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO WA TISA WA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT) MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM , Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wajumbe wa mkutano  Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kabla ya kufungua mkutano wao wa Tisa uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma.  Wajumbe wa mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakishangilia kabla ya ufunguzi wa  mkutano huo wa tisa wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira akivalishwa Kitambaa...

 

2 years ago

Michuzi

CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE (TAWLA) CHAFANYA MKUTANO WAKE WA MWAKA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania (TAWLA) Bi. Athanasia Soka akfungua mkutano wa mwaka wa Chama hicho ulioshirikisha wanachama wake ambao ni wanasheria wanawake, Mkutano huo umefanyika leo kwenye Hoteli ya New Afrika jijini Dar es salaam na kujadili mambo kadhaa yakiwemo mafanikio na changamoto zinazokabili chama chao pamoja na jamii kwa ujumla wake.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)Kutoka kulia ni Maria Matui Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) chafanya mkutano mkuu wake wa mwaka

Rais wa Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Omar Said Shaaban akizungumza na wanachama wa chama hicho (hawapo pichani) katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa siku moja uliofanyika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Mjini Zanzibar.

 

Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Ibrahim Mzee akiwasilisha mada ya mwenendo wa kesi za makosa ya jinai katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Zanzibar uliofanyika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo.

 

Baadhi ya wanachama wa Chama cha wanasheria Zanzibar wakifuatilia Mkutano Mkuu wa mwaka...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani