MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Biashara la Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA BIASHARA YA KILIMO KWA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki kwenye Hoteli ya serena jijini Dar es salaam leo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa FMD yenye makamo yake Nchini Kenya Bw. Fergus Robley wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika...

 

4 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA BIASHARA YA KILIMO KWA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki kwenye Hoteli ya serena jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa FMD yenye makamo yake Nchini Kenya Bw. Fergus Robley wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda...

 

3 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA NANE WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII AFRIKA MASHARIKI NA KATI.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhi cheti katika Mkutano wa Nane wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Afrika Mashariki na Kati. Makamu wa Rais amefungua rasmi mkutano huo leo katika Ukumbi wa Benki Kuu. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (Kulia) akiteta jambo na Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Muhagama katika ufunguzi wa Mkutano wa nane wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Afrika...

 

3 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan afungua Mkutano wa Wabunge wa Mabunge ya Afrika Mashariki

Makamu wa Rais. Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua semina ya siku mbili ya Wabunge wa Mabunge ya Afrika Mashariki (EALA) inayofanyika jijini Dar es Salaam.

PICHA 1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wabunge waliohudhuria Mkutano wa Wabunge wa Mabunge ya Afrika Mashariki baada ya kufungua Semina ya siku mbili (EALA) jana Jijini Dar es Salaam.

PICHA 4

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai akiwahutubia Wabunge waliohudhuria...

 

4 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA WASHIRIKA MAJENZI YA KIJANI WA AFRIKA MASHARIKI, JIJINI ARUSHA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano mkuu wa kwanza wa Washirika Majenzi ya Kijani wa Afrika Mashariki, uliofanyika leo Machi 19, 2015 kwenye Hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii, PSPF, Adam Mayingu, wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa kwanza wa Washirika Majenzi ya...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS, SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI KATIKA NCHI ZA UKANDA WA MASHARIKI NA KUSUNI MWA AFRIKA LEO.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano kuhusu kuwezesha wanawake kiuchumi katika nchi za Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika. Mkutano huo umeandaliwa na Jopo la Ngazi ya Juu la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon aliloliteua Mwanzoni mwa huu, kusaidia kufanya uchambuzi na kutoa mapendekezo ya namna ya kuchagiza kasi ya kuwezesha wanawake kiuchumi ifikapo 2030. Umefanyika Leo April 29,2016 Hyatt Hotel Dar es salaam.Makamu wa...

 

2 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI KATIKA NCHI ZA UKANDA WA MASHARIKI NA KUSUNI MWA AFRIKA LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano kuhusu kuwezesha wanawake kiuchumi katika nchi za Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika. Mkutano huo umeandaliwa na Jopo la Ngazi ya Juu la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon alilolituewa Mwanzoni mwa huu, kusaidia kufanya uchambuzi na kutoa mapendekezo ya namna ya kuchagiza kasi ya kuwezesha wanawake kiuchumi ifikapo 2030. Umefanyika Leo April 29,2016 Hyatt Hotel Dar es salaam.
Makamu...

 

3 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akifungua rasmi Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Mei, 2015. Mkutano huo ambao ni maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa EAC utakaofanyika tarehe 31 Mei, 2015, pamoja na mambo mengine utapokea na kujadili taarifa zitakazowasilishwa na Jopo la Watu Maalum wanaofuatilia...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY MWALIMU AFUNGUA MKUTANO WA 12 WA BARAZA LA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI.

Katibu Mkuu wa  Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee na watoto, Mpoki Ulisobisya akizungumza katika Mkutano wa 12 wa Baraza la mawaziri wa Jumuiya ya Afrika mashariki jijini Arusha. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee na watoto, Ummy Mwalimu (katikati) akiwa na waziri wa afya toka Uganda(kulia kwake)wakifuatilia mada zinazowasilishwa Kenney mkutano huo. Mawaziri wa  afya za nchi za  Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani