MAKAMU WA RAIS AWATAKA WAKAZI WA KIZIMKAZI KUWA NA BIMA YA AFYA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahimiza wakazi wa Kizimkazi kujiandikisha Bima ya Afya kwani ndio mfumo ambao utawawezesha kupata matibabu haraka na kwa gharama ndogo.
Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati wa Sherehe ya Siku ya Wakizimkazi ambapo siku hiyo wakazi hao hukutana na kupeana taarifa za maendeleo na kupanga mipango ya baadae kasha kula chakula cha asili pamoja na michezo ya asili.Mhe. Samia aliwaeleza wananchi hao kuwa hakutokuwa na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AHITIMISHA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIZIMKAZI (KIZIMKAZI DAY), ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewahimiza wananchi wa Tanzania Bara na Zanzibar kuunga mkono jitihada zinazofanywa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika mapambano dhidi ya rushwa,ufisadi kama hatua ya kukomesha tabia hiyo ambayo inarudisha nyumba maendeleo ya wananchi. 
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kauli hiyo 13-Aug-16 wakati anahitimisha kilele cha sikukuuu ya Kizimkazi katika ...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Naibu Waziri Mpina amuwakilisha Makamu wa Rais Mhe. Samia katika siku ya Kizimkazi

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina aliyevaa suti akishika na kuangalia nishati ya mkaa unaotengenezwa na malighafi itokanayo na taka za miwa na karatasi mjini Unguja, alipomuwakilisha Makamu wa Raisi Mhe. Samia Suluhu Hassan katika kampuni ya Blue Spot, inayotengeneza nishati hiyo bila kuharibu Mazingira. Mabinti Mapacha Sabra na Sabrina Hassan wa shule ya sekondari makunduchi wakitumbuiza kwa utenzi kwa meza kuu haipo pichani, wakati wa mkutano...

 

10 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUHUDHURIA SHEREHE YA SIKU YA KIZIMKAZI KESHO ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mjini Zanzibar jioni ya leo tayari kuhudhuria sherehe ya Siku  ya Kizimkazi itakayoadhimishwa kesho tarehe 12 Agosti, 2017.

Akiwa katika Uwanja wa Ndege wa  Abeid Amani Karume, Makamu wa Rais amekutana na  Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bi. Patricia Scotland ambaye alikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam.

Bi. Scotland alikuwa mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar...

 

2 years ago

Michuzi

Wakazi wa Arusha washauriwa kujiunga na Bima ya Afya

Na Mwandishi Wetu,Arusha
MGANGA Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Dr.Frida Mokiti amewashauri wakazi wa jiji la Arusha kujiunga na Bima ya Afya ya Resolution Insurance katika uzinduzi wa Tawi jipya lililofanyika mwishoni mwa wiki katika jengo la NSSF – Mafao House na baadae chakula cha jioni katika Hoteli ya Maunt meru.
Dr. Frida aliipongeza Kampuni ya Resolution Insurance kwa kufungua tawi jipya jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya kuwasogezea huduma wakazi wa Arusha pamoja na wateja wao...

 

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MPINA AMUWAKILISHA MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA SIKU YA KIZIMKAZI, ZANZIBAR

Wakazi wa kijiji cha Kizimkazi kilichopo katika jimbo la Makunduchi Mkoa wa kusini unguja, wamekuwa na utaratibu wa kuadhimisha siku ya kizimkazi, maarufu kama kizimkazi day ambayo hufanyika kila mwaka mwezi wa nane.
Siku hiyo maarufu katika kijiji hicho ambayo imeanzishwa na aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo la Makunduchi mhe. Samia Suluhu Hassan ambae sasa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa ikiadhimishwa kijijini hapo kwa namna ya kipekee ya burudani, mashairi na...

 

3 years ago

Dewji Blog

Exclusive gossip: Diamond Platinumz ‘kuwalipia’ Bima ya Afya wakazi 200 wa Tandale

10409754_830601046976768_7274119858185255012_nPost aliyotupia Diamondplatnumz kwenye mtandao wake wa Instagram. alipotembelea ofisi za Edgepoint Company Ltd watoaji wa huduma ya bima ya afya

 

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Kitu kingine kwa mwanamuziki anayefaanya vizuri Bongo nan je ya Bongo, Nasib Abdul maalufu kama Diamond Platinumz,  ameweza kuibuka nacho ni suala la kuisaidia jamii ya wakazi wa Tandale, eneo alilozaliwa na kukulia katika maisha yake.

Katika kurasa wake wa Instagram, Diamond Platinumz ama pia akifahamika kama Chibu...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Naibu waziri wa afya awataka wafanyakazi wa afya kuwa na lugha nzuri kwa wagonjwa

NAIBU Waziri wa Afya  Harusi Said Suleiman, amewataka wafanyakazi wa vituo vya afya nchini kutumia lugha nzuri wakati wanapowahudumia wagonjwa ili kuwajengea imani na mapenzi kwao.

Aidha, amewasisitiza kuwa na huruma wakielewa wagonjwa ni binadamu wanaohitaji kufarijiwa wanapokuwa wanaumwa.

Wito huo ameutoa leo Disemba 21, 2016  katika ziara aliyoifanya kukagua vituo vya afya vilivyoko wilaya ya Kati na kuzungumza na wafanyakazi  wa vituo hivyo.

Naibu Waziri huyo amesema, mbali ya dawa...

 

2 years ago

Dewji Blog

Wananchi wahimizwa kuwa na Bima ya Afya

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu amekataza kulipisha pesa za vipimo kwa wagonjwa wote wenye kadi za Bima ya Afya. Waziri Mh.Ummy Mwalumu  ameyasema hayo wakati akiongea na wananchi walioenda kupata matibabu kwenye kituo cha afya cha Rwamishenye. “Ni marufuku kuwalipisha wagonjwa wale wote wenye bima ya mfuko wa afya ya jamii ama tele kwa tele au kadi za bima ya afya labla kama dawa hakuna ndio wanaweza kununua”alisema Aidha, amewataka wananchi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani