MAkamu wa Rais azindua ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisisitiza jambo kwa wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi. Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhandisi Joseph Malongo akifafanua jambo kwa wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ukuta wa ufukwe...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AKAGUA UJENZI UKUTA BAHARI YA HINDI DAR


  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa ukuta wa bahari Kigamboni wenye urefu wa mita 500. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Meneja wa Mradi na Miundo Mbinu wa UNOPS Bw. Bernard Odhuno wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa ukuta wa bahari Kigamboni wenye urefu wa mita 500. (Picha na Ofisi ya Makamu wa...

 

2 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA RED SEA YA KEKO JIJINI DAR ES SALAAM YAPEWA MWEZI MMOJA KUBOMOA UKUTA ULIOJENGWA JUU YA MTARO WA MAJI MACHAFU NA KUSABABISHA USUMBUFU KWA WANANCHI


NA Evelyn Mkokoi- Dar Es Salaam
Kampuni ijulikanayo kwa jina moja la Red Sea iliyopo katika Mtaa wa mafuta Keko Gerezaji jijini Dar Es Salaam, Imepewa mwezi mmoja wa kutakiwa kubomoa ukuta uliojengwa juu ya Mtaro wa maji machafu ambao pia ni eneo chepechepe, na kusababisha usumbufu kwa wakazi wa maeneo hayo na hatari ya kupata magonjwa hasa katika kipindi cha mvua.
Akifuatila utekelezaji wa Maagizo ya ziara yake aliyoifanya tarehe 20 mwezi wa December mwaka jana, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAMASHA LA JINSIA JIJINI DAR ES SALAAM

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Jinsia linalofanyika kwenye viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya TGNP Mtandao Dkt. Vicensia Shule (kushoto) wakati wa sherehe za uzinduzi wa Tamasha la Jinsia lililoandaliwa na TGNP Mtandao. Makamu wa Rais wa...

 

3 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AZINDUA RIPOTI YA LISHE YA DUNIA LEO JIJINI DAR ES SALAAM


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya awamu ya TANO itatoa msukumo mkubwa katika kukabiliana na tatizo la utapiamlo nchini kwa kuweka mipango na mikakati imara ikiwemo kuongeza bajeti ya lishe, kuongeza virutubisho kwenye vyakula na kutumia vyema wataalamu wa lishe katika kupambana na tatizo hilo hapa nchini.

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam Trh 20-Jul-16 katika hotuba yake ya uzinduzi wa...

 

11 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AZINDUA CHANJO YA KUKINGA SARATANI YA KIZAZI JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu (katikati), Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu pamoja na wadau wengine wa Afya wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tuoaji wa chanjo ya kukinga saratani ya mlango wa kizazi (HPV Vaccine) uliofanyika kwenye viwanja vya Mbagala Zakhem, jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ameshikilia chanjo ya kukinga...

 

2 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Samia Suluhu azindua rasmi Ubalozi wa India jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassana ameishukuru Serikali ya India kwa ufadhili wake wa miradi ya maji katika miji 17 nchi ambayo inalenga kupunguza tatizo la maji kwa wananchi wengi nchini.

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa kauli hiyo Jijini Dar es Salaam katika hafla ya Maadhimisho ya miaka 68 ya Siku ya Kitaifa ya Jamhuri ya India sherehe ambazo zimeambatana na Uzinduzi rasmi wa majengo ya ofisi mpya ya Ubalozi wa India hapa...

 

2 years ago

Ippmedia

Makamu wa rais Mama Samia Suluhu azindua kampeni ya upandaji miti jijini Dar es Salaam

Makamu wa rais Mama Samia Suluhu Hassan amesema mahitaji ya shughuli za binadamu yanachangia kwa kiasi kikubwa uharibifu wa mazingira hivyo ni lazima uwepo mchango mkubwa wa kurekebisha mazingira yanayoharibiwa kwa kila mtu kupanda mti.

Day n Time: Jumamosi saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

3 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU AZINDUA MPANGO WA KUWAONGEZEA UWEZO WANAWAKE LEO JIJINI DAR ES SALAAM.

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua Programe maalum ya Mwanamke na wakati ujao (Female Future) ambayo itawajengea uwezo wanawake katika bodi za wakurugenzi wa taasisi na makampuni mbalimbali.
Uzinduzi huo uliofanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency  jijini Dar es Salaam leo na kuhudhuliwa na watu mbalimbali wakiwepo wakenya, waganda na watanzania na watu kutoka bara la Ulaya na Asia.
Makamu wa Rais, Samia Suluhu amesema kuwa wanawake ni...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani