Makamu wa Rais kumwakilisha Rais Magufuli Mkutano wa Wakuu wa Serikali Jumuiya ya Madola (CHOGM) London

Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameondoka nchini jana kwenda London, Uingereza kushiriki kwenye Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) unaotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 16 hadi 20 Aprili, mwaka huu akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.Mkutano huo ambao Kaulimbiu yake ni “Kuelekea Mustakabali wa Pamoja” utafanyika chini ya Uenyekiti wa Waziri Mkuu wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AENDA LEO LONDON KUSHIRIKI MKUTANO WA JUMUIYA YA MADOLA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaondoka nchini leo kwenda London, Uingereza kushiriki kwenye Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) unaotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 16 hadi 20 Aprili, mwaka huu akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.Mkutano huo ambao Kaulimbiu yake ni “Kuelekea Mustakabali wa Pamoja” utafanyika chini ya Uenyekiti...

 

4 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA JUMUIYA YA MADOLA NA WAKUU WA TAASISI ZA KUPAMBANA NA RUSHWA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR.


Makamau wa Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Mkutano Mkuu wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo Mei 25 kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akifurahia jambo na baadhi ya Viongozi wakati wa ufunguzi wa mkutano huo,uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.

 

4 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA JUMUIYA YA MADOLA NA WAKUU WA TAASISI ZA KUPAMBANA NA RUSHWA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR

Makamau wa Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Mkutano Mkuu wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo Mei 25 kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam.Baadhi ya washiriki waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia, kufungua rasmi mkutano wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika,...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU NCHI NA SERIKALI WA JUMUIYA YA SADC.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo March 18,2017 amehudhuria mkutano wa dharura wa  Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika SADC akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, mkutano huo umefunguliwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Mfalme Mswati wa III wa Swaziland mjini Mbabane Swaziland ambapo amezitaka Nchi wanachama wa SADC kuimarisha ushirikiano katika utekelezaji wa maendeleo ya...

 

2 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS AMEHUDHURIA MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU NCHI NA SERIKALI WA JUMUIYA YA SADC.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo March 18,2017 amehudhuria mkutano wa dharura wa  Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika SADC akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, mkutano huo umefunguliwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Mfalme Mswati wa III wa Swaziland mjini Mbabane Swaziland ambapo amezitaka Nchi wanachama wa SADC kuimarisha ushirikiano katika utekelezaji wa maendeleo ya...

 

4 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afungua mkutano wa wakuu wa Utumishi wa Umma wa jumuiya ya madola jijini Dar es Salaam

1.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Jumuiya ya Madola Barani Afraik jana (Jumatatu Julai 13, 2015) Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa siku 3 unatarajia kufungwa Jumatano Julai 15, 2015. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe. Celina Kombani na Naibu Katibu Mkuu wa Jumiya hiyo, Bi. Josephine Ojiambo.

2.

Naibu Katibu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof....

 

4 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI SHARM EL SHEIKH KUHUDHURIA MKUTANO WA TATU WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI YA UTATU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Uchukuzi wa Egypt, Hossam Kamal, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sharm El Sheikh, jijini Sharm El Sheikh Cairo Misri, kwa ajili ya kuhudhuri Mkutano Mkuu wa tatu wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Soko la pamoja la nchi za Kusini mwa Afrika (COMESA) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).Agenda ya mkutano huo ni kupokea taarifa ya...

 

1 year ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AWASILI NAIROBI KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS UHURU KENYATTA LEO Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta Mjini Nairobi nchini Kenya ambako anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta zitakazofanyika katika uwanja wa Moi Kasarani Mjini Nairobi. Kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba, Balozi wa Kenya nchini...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani