MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA USAFI AWAMU YA PILI KESHO MKOANI DODOMA


WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na Mwakilishi wa shirika la DFID nchini Tanzania Elizabeth Arthur wakikagua vyoo bora vinavyotumika na Wanafunzi wa shule ya Msingi  Humekwa,wilayani Chamwino mapema leo,ambapo Mh.Ummy amekagua usafi wa Mazingira pamoja na vyoo bora,
ikiwa ni sehemu ya kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AZINDUA KAMPENI YA TAIFA YA USAFI WA MAZINGIRA AWAMU YA PILI MKOANI DODOMA​Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameagiza utekelezaji wa Kampeni ya Taifa ya Usafi wa Mazingira uwe ni ajenda ya kudumu ya kila ngazi ya Uongozi.

Makamu wa Rais ameyasema hay oleo wakati wa Uzinduzi wa Kamapeni ya Taifa ya Usafi wa Mazingira awamu ya Pili ukiofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Chang’ombe,mkoani Dodoma.

Makamu wa Rais alisema Serikali imejiwekea mikakati mbali mbali ya kupambana na maradhi ya kuambukiza ambapo usafi wa...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AELEKEA MKOANI DODOMA KWA ZIARA YA SIKU TATU

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi wa Chalinze Mkoani Pwani leo Octoba 15,2016 alipokua njiani kuelekea Mkoani Dodoma kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu. Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa MlandiziMkoa wq Pwani leo Octoba 15,2016 alipokua njiani kuelekea Mkoani Dodoma kuanza ziara ya  kikazi ya siku 3. Baadhi ya Wananchi wakimsikiliza Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwahutubia,maeneneo ya Mlandizi Mkoa wa Pwani...

 

2 years ago

Ippmedia

Makamu wa Rais Mhe Mama Samia Suluhu Hassan aanza ziara yake ya kikazi mkoani Dodoma

Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ameanza ziara yake ya kikazi mkoani Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine ameiagiza mamlaka ya ustawishaji makao makuu kuacha urasimu na kufanya kazi kwa mazoea katika ugawaji wa ardhi kwa ajili ya ujenzi wakati Dodoma inatarajia kupokea ugeni mkubwa unaotokana na serikali kuhamia mkoani humo.

Day n Time: Jumapili saa 2:00 usikuStation: ITV

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI MKOANI TABORA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo mafupi leo kutoka kwa mmoja wa wataalamu wa mradi huo, kuhusiana na mradi wa maji unaojengwa katika kijiji cha Mabama wilayani Uyui mkoani Tabora,Makamu wa Rais Mama Samia atazindua mradi huo wa maji utakao wafikia watu zaidi ya elfu 40 katika vijiji 32 mradi huu umedhaminiwa na serikali ya Japan kupitia shirika lake la JICA.Picha kwa hisani ya Ofisi ya Makamu wa Rais.

Makamu wa Rais wa Jamhuri...

 

2 years ago

Michuzi

SERIKALI AWAMU YA TANO IMEDHAMIRIA KUPAMBANA NA VITENDO VYA RUSHWA NA UFISADI-MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN amewahakikishia watanzania kuwa serikali ya awamu ya TANO inadhamira ya dhati ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za kijamii kwa kuendelea kupambana na vitendo vya rushwa na ufisadi,kudhibiti matumizi yasiyolazima, kuimarisha mifumo ya ukusanyaji wa kodi ili fedha zinazokusanywa zielekezwe kwenye miradi ya maendeleo ya wananchi.
Makamu wa Rais SAMIA SULUHU HASSAN amesema hayo kwenye kilele cha maadhimisho ya...

 

12 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU HASSAN AHAMIA RASMI MKOANI DODOMA

 Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya watendaji wa Ofisi yake muda mfupi baada ya kuhamia rasmi Makao Makuu ya Nchi, Dodoma. Amefikia Ikulu ndogo iliyopo eneo la Kilimani Mchana wa leo. Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye makazi yake Mjini Dodoma leo.

 

2 years ago

Ippmedia

Makamu wa Rais Mh. Samia Hassan Suluhu amelaani kitendo cha kuuawa kwa watafiti mkoani Dodoma.

Makamu wa Rais Mh. Samia Hassan Suluhu amelaani kitendo cha kuuawa kwa watafiti wawili katika kijiji cha Iringa Mvumi wilayani Chamwino Dodoma na kusema serikali itahakikisha haki inatendeka na wahusika wanapatikana.

Day n Time: Jumanne Saa 2:00 Usiku Station: ITV

 

3 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AWAHUTUBIA WANAWAKE KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA MAMA MJINI DODOMA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanawake kwenye maadhimisho ya siku ya Mama na sherehe za kumpongeza kwa kuchaguliwa Makamu wa Rais Mwanamke wa kwanza yaliyoandaliwa na Jumuiya ya UWT Taifa yaliyofanyika leo Mei 8,2016 katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Bidhaa za aina mbalimbali zinazotengenezwa na Wajasiriamali wadogowadogo kwenye...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI JIJINI ARUSHA KUSHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA SARPCCO EXTRA ORDINARY MEETING KESHOMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu   Hassan akisalimiana akisalimiana na mmoja wa viongozi wa dini mara baada ya kuwasili jijini Arusha mapema leo, tayari kwa ufunguzi wa mkutano wa SARPCCO EXTRA ORDINARY MEETING kesho tarehe 16 Septemba 2016 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC.Pichani kulia ni Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mh.Mrisho Gambo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akilakiwa na Mkuu wa mkoa wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani