MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AENDA LEO LONDON KUSHIRIKI MKUTANO WA JUMUIYA YA MADOLA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaondoka nchini leo kwenda London, Uingereza kushiriki kwenye Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) unaotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 16 hadi 20 Aprili, mwaka huu akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.Mkutano huo ambao Kaulimbiu yake ni “Kuelekea Mustakabali wa Pamoja” utafanyika chini ya Uenyekiti...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA MAJAJI NA MAHAKIMU WA JUMUIYA YA MADOLA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.MAKAMU wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Hassan Suluhu leo amefungua mkutano Mkuu wa Mwaka wa chama cha majaji na mahakimu wa Jumuiya ya Madola  katika ukumbi wa mkutano wa Benki Kuu (B.O.T) jijini Dar es Salaam.
Mkutano huo ambao umezinduliwa leo Septemba 25 hadi,2017  amnbao utafanyika kwa siku tatu ukiwa na kauli mbiu isemayo 'Mahakama Madhubuti, inayowajibika na Jumuishi'. ambapo kutakuwa na maada mbalimbali kutka kwa viongozi ambao ni...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI JIJINI ARUSHA KUSHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA SARPCCO EXTRA ORDINARY MEETING KESHOMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu   Hassan akisalimiana akisalimiana na mmoja wa viongozi wa dini mara baada ya kuwasili jijini Arusha mapema leo, tayari kwa ufunguzi wa mkutano wa SARPCCO EXTRA ORDINARY MEETING kesho tarehe 16 Septemba 2016 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC.Pichani kulia ni Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mh.Mrisho Gambo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akilakiwa na Mkuu wa mkoa wa...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MBABANE SWAZILAND LEO KUHUDHURIA MKUTANO WA SADC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili mjini Mbabane – Swaziland leo 16-Mar-2017 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). 
Mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Mfalme Mswati III mjini Mbabane – Swaziland, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan amepokelewa na Viongozi mbalimbali ambao wameongozwa na Waziri wa Utumishi wa Umma wa Serikali ya Swaziland Owen...

 

3 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE, KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG, AHUTUBIA LEO MKUTANO WA MWISHO


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, wakati wakitembelea Mabanda ya maonesho ya mkutano huo uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. ambapo Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo Dec 5, 2015. Picha na OMR
 
Makamu wa...

 

3 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG LEO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa China, Xi Jinping, wakati wa Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China (China-Africa Forum) uliofanyika leo Dec 4, 2015 jijini Johannesburg. Mhe. Samia amemwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano huo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Shulu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya, wakati...

 

9 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA WATANZANIA NA WAINGEREZA JIJINI LONDON

Picha na Habari za Freddy Macha Ulikuwa mkutano mfupi uliokusudia kutoa shukrani kwa wafadhili na Watanzania London wanaosaidia nyumbani. Fadhila hupitia Jumuiya ya Waingereza na Watanzania  (BTS) na kitengo chake cha TDT = shirika la Mfuko wa Maendeleo Tanzania.  BTS ilianzishwa mwaka 1975, na mlezi wake sasa hivi ni Rais mstaafu Ali Mwinyi.BTS ilimkaribisha Makamu wa Rais Mheshimiwa Suluhu Samia, aliyekuja London wiki hii kudhuruia mkutano wa Viongozi wa Jumuiya ya Madola.

Kawaida viongozi...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS,SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU YA POLISI WANAWAKE KUTOKA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA JIJINI DAR LEO

 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SARPCO,leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini ,Dar es Salaam.Mh Samia ndiye mgeni rasmi wa mafunzo hayo.Picha na Adam Mzee/VPO. Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu Hassan akifuatilia moja ya taarifa wakati wa ufunguzi wa  mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa...

 

9 months ago

Michuzi

Makamu wa Rais kumwakilisha Rais Magufuli Mkutano wa Wakuu wa Serikali Jumuiya ya Madola (CHOGM) London

Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameondoka nchini jana kwenda London, Uingereza kushiriki kwenye Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) unaotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 16 hadi 20 Aprili, mwaka huu akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.Mkutano huo ambao Kaulimbiu yake ni “Kuelekea Mustakabali wa Pamoja” utafanyika chini ya Uenyekiti wa Waziri Mkuu wa...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI NCHINI SWAZILAND,KUMUWAKILISHA RAIS MKUTANO WA 36 WA SADC


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye ardhi ya mji wa Mbabane nchini Swaziland tayari kuhudhuria mkutano wa 36 wa SADC wa Wakuu wa nchi  na Serikali ambao utafanyika tarehe 29 Agosti mjini hapo.
 Sehemu ya Mabinti wa Swaziland wakiimba na kucheza wakati wa mapokezi ya Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na ngoma mbali mbali mjini...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani