MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUHUDHURIA SHEREHE YA SIKU YA KIZIMKAZI KESHO ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mjini Zanzibar jioni ya leo tayari kuhudhuria sherehe ya Siku  ya Kizimkazi itakayoadhimishwa kesho tarehe 12 Agosti, 2017.

Akiwa katika Uwanja wa Ndege wa  Abeid Amani Karume, Makamu wa Rais amekutana na  Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bi. Patricia Scotland ambaye alikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam.

Bi. Scotland alikuwa mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MPINA AMUWAKILISHA MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA SIKU YA KIZIMKAZI, ZANZIBAR

Wakazi wa kijiji cha Kizimkazi kilichopo katika jimbo la Makunduchi Mkoa wa kusini unguja, wamekuwa na utaratibu wa kuadhimisha siku ya kizimkazi, maarufu kama kizimkazi day ambayo hufanyika kila mwaka mwezi wa nane.
Siku hiyo maarufu katika kijiji hicho ambayo imeanzishwa na aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo la Makunduchi mhe. Samia Suluhu Hassan ambae sasa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa ikiadhimishwa kijijini hapo kwa namna ya kipekee ya burudani, mashairi na...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ANOGESHA SHEREHE SIKU YA NILE

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 1o zinazozunguka mto Nile zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”  Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Tanzania Mhandisi Gerson Lwenge akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi...

 

1 year ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI LINDI KUHUDHURIA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA NANE NANE

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Lindi mchana huu tayari kwa kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima ya Nane Nane itakayofanyika Kitaifa mkoani Lindi.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Mtama,Mh.Nape Moses Nnauye ,mara baada ya kuwasili mkoani Lindi mchana huu tayari kwa kuhudhuria Sherehe za...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AHITIMISHA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIZIMKAZI (KIZIMKAZI DAY), ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewahimiza wananchi wa Tanzania Bara na Zanzibar kuunga mkono jitihada zinazofanywa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika mapambano dhidi ya rushwa,ufisadi kama hatua ya kukomesha tabia hiyo ambayo inarudisha nyumba maendeleo ya wananchi. 
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kauli hiyo 13-Aug-16 wakati anahitimisha kilele cha sikukuuu ya Kizimkazi katika ...

 

2 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan awasili Kigali, Rwanda kuhudhuria mkutano wa AU (Picha)

Picha za Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili Kigali, Rwanda kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika (AU).

Samia Suluhu Hassan akiwasili Rwanda

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo ya Rwanda, Francis Gatare alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kigali, Rwanda kwa ajili ya  kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU). Makamu wa Rais anamwakilisha Rais Dkt. John...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MBABANE SWAZILAND LEO KUHUDHURIA MKUTANO WA SADC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili mjini Mbabane – Swaziland leo 16-Mar-2017 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). 
Mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Mfalme Mswati III mjini Mbabane – Swaziland, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan amepokelewa na Viongozi mbalimbali ambao wameongozwa na Waziri wa Utumishi wa Umma wa Serikali ya Swaziland Owen...

 

1 year ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDD.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd , Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais). Picha ya pamoja 

 

8 months ago

Michuzi

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi

 Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano  wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan  Kushoto akisalimiana na Kumkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar es salaam.Mh. Samia Suluhu Hassan Kulia akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Mikutano na Vikao vya kawaida vya kubadilishana mawazo ya kiutendaji  Serikalini kati ya Viongozi wa ngazi ya Juu ya Serikali za SMT na SMZ. Picha na – OMPR –...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI KIGALI, RWANDA KWA AJILI YA KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI WA UMOJA WA AFRIKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo ya Rwanda, Francis Gatare alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kigali, Rwanda kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU). Makamu wa Rais anamwakilisha Rais Dkt. John Magufuli katika mkutano huo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongozana na Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani