Makanisa ya kuchonga kuijenga Yerusalemu mpya bado yapo Ethiopia

Lalibela katika Ethiopia ya Kaskazini ni nyumba ya makanisa ya kale na ya kuvutia ambayo yalifunikwa mwishoni mwa karne ya 12

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Makanisa yaliyochongwa kwenye miamba Ethiopia

Eneo la Lalibela kaskazini mwa Ethiopia kuna makanisa ya kale na ya kuvutia ambayo yalijengwa mwishoni mwa karne ya 12.

 

4 years ago

BBCSwahili

Marashi ya Karafuu, je bado yapo Pemba?

Wakulima wa Karafuu Pemba wanasema wanaitaka Serikali yao kufanya juhudi kwa ajili ya kuendeleza zao ambalo wamekuwa wakizalisha kwa miaka mingi.

 

1 year ago

VOASwahili

Bado yapo matumaini Afrika- Ripoti

Mwaka 2017 umekuwa si mwaka mzuri kwa mataifa ya Afrika kuhusiana na suala la rushwa, lakini huenda hilo likabadilika mwaka huu wa 2018.

 

2 years ago

Mwanaspoti

VIDEO: Msuva: Bado macho yangu yapo Ulaya

WINGA machachari wa klabu ya Yanga na Taifa Stars, Simon Msuva, amesema kuwa ndoto yake ya kucheza soka la Kimataifa ipo palepale.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: ‘Umeme hakuna kupanda, majipu bado yapo na nitayatumbua’ Rais Magufuli

maguuu

January 1 2016 Rais Dk. John Pombe Magufuli alishiriki katika ibada ya mwanzo wa mwaka mpya 2017 na waamin wa kanisa katoliki Bukoba Cathedro ikiwa ni mojawapo ya ratiba yake katika ya siku mbili mkoani Kagera iliyoanza leo ambapo katika hotuba yake amesisitiza hatua ya serikali kuzuia ongezeko la gharama za umeme. Rais Magufuli amesema…>>>’Umeme […]

The post VIDEO: ‘Umeme hakuna kupanda, majipu bado yapo na nitayatumbua’ Rais Magufuli appeared first on...

 

4 years ago

Dewji Blog

Dkt. Fenella Mukangara aahidi kuijenga Kimbamba mpya

Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kibamba Dkt. Fenella Mukangara katika mikutano ya kampeni.

Wananchi wakimsikiliza Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la kibamba Dkt. Fenella Mukangara.

Na Jimmy Kagaruki, Kibamba

Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kibamba Dkt Fenella Mukangara amesema atalifanya jimbo hilo kuwa la kisasa kwa muda wa miaka mitano ijayo.

Dkt. Fenella ameyasema hayo kwenye mkutano wa kampeni za ubunge jimbo la Kibamba kwenye kata ya Saranga.

Akihutubia...

 

2 years ago

CCM Blog

SAMIA: WANAOZINGUA JITIHADA ZA KUIJENGA CCM MPYA WASHUGHULIKIWE KIKAMILIFU

Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kaskazini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa mkoa wa Kaskazini A, Unguja wakati wa Kufungua Mafunzo maalum ya Viongozi na watendaji wa Chama na Jumuiya zake wa ngazi ya Matawi, Wadi na Majimbo.Wana CCM wa Kaskazini A wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye mafunzo ya Uongozi yaliofunguliwa na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kaskazini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Makamu wa Rais...

 

3 years ago

Michuzi

Kamoga awataka watendaji, madiwani kumpa ushirikiano kuijenga Mbulu mpya ya Maendeleo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu,Mkoani Manyara,Hudson Stanlay Kamoga,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo Pichani) kuhusiana na mikakati aliyojiwekea katika utendaji wake wa kazi kwa watumishi wa halmashauri hiyo..Picha na Mary Margwe.

Na Mary Margwe, Mbulu
.Ndoto yake ni kuibadilisha Mbulu kuwa nchi ya vitunguu swaumu.(Mbulu the land of garlic).Asisitiza mambo muhimu matatu ya kuleta mabadiliko ya maendeleo yanayotokana na neno P I...

 

2 years ago

Michuzi

RC PAUL MAKONDA AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KUIJENGA DAR MPYA KWA KUTATUA KERO ZA WANANCHI

10Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe: Paul Makonda akijibu kero za wananchi aliposimama na msafara wake eneo la Kibada Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam. 11Mkazi wa Kibada, Bi Siwazuri Abdalah akimuelezea Makonda kero anazozipata katika Hospital ya kibada. 12Mkuu wa Idara ya Uifadhi wa Mazingira na Usimamizi wa Taka Ngumu, Fanuel Kibera akimuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda (katikati), mchoro wa dampo la kisasa  litakalojengwa eneo la Kisarawe II Kigamboni. 14Msafara...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani