Makanisa yaliyochongwa kwenye miamba Ethiopia

Eneo la Lalibela kaskazini mwa Ethiopia kuna makanisa ya kale na ya kuvutia ambayo yalijengwa mwishoni mwa karne ya 12.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Makanisa ya kuchonga kuijenga Yerusalemu mpya bado yapo Ethiopia

Lalibela katika Ethiopia ya Kaskazini ni nyumba ya makanisa ya kale na ya kuvutia ambayo yalifunikwa mwishoni mwa karne ya 12

 

5 years ago

Mwananchi

Mtalii anasa kwenye miamba Mlima K’njaro

Mtalii mmoja raia wa Ujerumani, Jeane Traska (32) amenasa katika miamba ya kilele cha Mawenzi cha Mlima Kilimanjaro baada ya kwenda kinyemela eneo hilo ambalo haliruhusiwi kupandwa na watalii isipokuwa kwa ruhusa maalumu.

 

3 years ago

BBCSwahili

50 wafariki kwenye mafuriko Ethiopia

Watu 50 wamefariki kufuatia mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliosababishwa na mvua kubwa katika baadhi ya maeneo Ethiopia

 

5 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa upinzani Ethiopia aonyeshwa kwenye TV

Kiongozi wa upinzani nchini Ethiopia, Andargachew Tsege, ameonekana kwenye televisheni ya taifa nchini humo baada ya Yemen kumkabidhi kwa serikali

 

1 year ago

Malunde

Picha : DC SHINYANGA AFANYA ZIARA KWENYE VITUO VYA HUDUMA YA MTOTO VYA MAKANISA YENYE USHIRIKA NA COMPASSION KLASTA YA SHINYANGA

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ametembelea vituo sita vya huduma ya mtoto katika makanisa ya kiinjili yaliyo na ushirika na Compassion International Tanzania Klasa ya Shinyanga yenye vituo tisa.
Mkuu huyo wa wilaya amefanya ziara hiyo leo Jumamosi Disemba 2,2017 kwa ajili ya kujionea stadi za maisha na miradi mbalimbali inayofanywa na watoto wanaopata huduma katika vituo hivyo.
Vituo vilivyotembelewa ni vituo vya Kanisa la ACT Shinyanga Mjini,AICT Kolandoto,TAG Shinyanga...

 

3 years ago

BBCSwahili

Ethiopia yaomba msamaha kuhusu makosa kwenye vitabu

Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imeomba msamaha kufuatia makosa yaliyochapishwa katika vitabu kadhaa vya shule.

 

5 years ago

Mwananchi

Miamba 32 yapangiwa makundi

Monaco, Ufaransa. Ratiba ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ilipangwa wiki iliyopita mjini Monaco, Ufaransa na ikionyesha mechi za hatua hiyo ya makundi zitaanza kuchezwa Septemba 16 na 17, mwaka huu.

 

5 years ago

Mwananchi

Ulipuaji miamba marufuku usiku

Wachimbaji wa madini katika Kijiji cha Nsungwa kwenye machimbo ya dhahabu wamepigwa marufuku kulipua miamba kwa kutumia baruti wakati wa usiku.

 

4 years ago

Habarileo

Miamba minne yapisha mechi Stars

WAKATI miamba minne iliyo juu ya msimamo wa Ligi Kuu ikipumzika hadi Oktoba 17, mwaka huu kupisha maandalizi ya timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars, Ligi Kuu itaendelea leo na kesho kwa kuchezwa mechi tano.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani