Makipa wa timu ya Simba,Ivo Mapunda na Juma Kaseja watembelea Jahazini.

Kipa wa Klabu ya Simba Ivo Mapunda akizungumza kwenye kipindi cha Jahazi leo.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Mwananchi

Ivo Mapunda: Simba Musoti ni jembe

Kipa mpya wa Simba, Ivo Mapunda amewatoa hofu wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kuwa viongozi wao wamefanya jambo la busara ambalo hawatalijutia kwa uamuzi wao wa kumsajili Donald Musoti.

 

4 years ago

Vijimambo

Kaseja atua Mbeya, Ivo asaka timu nje

Kipa Juma Kaseja (kushoto) akikabidhiwa jezi na kiongozi wa Mbeya City. Katikati ni Tippo Athuman akishudia tukio hilo.
By Justa Musa, Oliver AlbertDar/Mbeya. Wakati dirisha la usajili likifungwa jana usiku, kipa Juma Kaseja amesaini mkataba wa miezi sita wa kuichezea Mbeya City, huku mwenzake Ivo Mapunda akitangaza kusaka timu nje ya nchi.Makipa hao wa zamani wa Taifa Stars, Kaseja na Ivo msimu uliopita hakuwa mzuri kwao kutokana na kuingia katika migogoro na klabu zao, Yanga na Simba.Kaseja...

 

5 years ago

GPL

IVO MAPUNDA NA DONALD MUSOTI WAJIUNGA RASMI NA SIMBA SC

KIPA Ivo Philip Mapunda, amesaini Mkataba wa kujiunga na klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam,akitokea Gor Mahia ya Kenya.Ivo amesaini Simba SC, baada ya kung’ara akiwa na kikosi cha Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge mwaka huu. Ivo aliiongoza Kilimanjaro Stars kufika Nusu Fainali ya Challenge baada ya kuwatoa waliokuwa mabingwa watetezi Uganda...

 

5 years ago

GPL

BAO LA 3 LA SIMBA: JUMA KASEJA VS AWADH JUMA

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja (kulia) akijaribu kuumiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Awadh Juma. ...Kaseja akiuchukua mpira.…

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Juma Kaseja na Mohamed Banka wameitwa timu ya Taifa

am

Septemba 12 2016 majina ya wanasoka mahiri waliyowahi kuichezea Simba na Yanga Mohamed Banka na golikipa Juma Kaseja wameitwa na kocha John Mwansasu kuongeza nguvu katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ya soka la Ufukweni. Kaseja na Banka wameonezwa na kocha Mwansasu ili kuongeza nguvu katika mchezo wa marudiano dhidi ya timu ya […]

The post VIDEO: Juma Kaseja na Mohamed Banka wameitwa timu ya Taifa appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Kauli ya Banka baada ya yeye na Juma Kaseja kuitwa timu ya taifa

ba

Septemba 12 2016 majina ya wanasoka mahiri waliyowahi kuvichezea vilabu vya Simba na Yanga Mohamed Banka na golikipa Juma Kaseja wameitwa na kocha John Mwansasu kuongeza nguvu katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ya soka la Ufukweni. AyoTV ilimtafuta Mohamed Banka ambaye msimu huu hana timu ya Ligi Kuu, amelipokeaje kuongezwa katika kikosi cha […]

The post VIDEO: Kauli ya Banka baada ya yeye na Juma Kaseja kuitwa timu ya taifa appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Bongo5

Juma Kaseja kuikosa mechi dhidi ya Simba SC

JUM

Kocha mkuu wa Mbeya City F, Kinnah Phiri amethibitisha kuwa mlinda mlango mahiri wa kikosi chake Juma Kaseja hatakuwa sehemu ya nyota watakaoiwakililisha City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara dhidi ya Simba Sports alub uliopangwa kuchezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

JUM

Kocha Phiri aliongea na mtandao wa Taarifa.co.tz kuwa ilikuwa waungane na kipa huyo leo asubuhi kwenye kambi ya muda mjini Morogoro lakini imemlazimu kumuongezea muda zaidi wa kukaa...

 

2 years ago

MillardAyo

Kilichosababisha Juma Kaseja aondoke Simba 2008 na kujiunga na Yanga

Inawezekana ukataka kufahami ile ishu iliyotokea mwaka 2008 ya golikipa wa Kagera Sugar Juma Kaseja kuweka rekodi ya usajili kwa kuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa ndani ya Tanzania kwa dau la Tsh milioni 36  kipindi yupo Simba na kwenda Yanga. Katika mahojiano na Sports Bar ya Clouds TV Juma Kaseja amezungumzia namna ilivyokuwa mwaka 2008 […]

The post Kilichosababisha Juma Kaseja aondoke Simba 2008 na kujiunga na Yanga appeared first on millardayo.com.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Ivo Mapunda amfagilia Aveva

KIPA wa Simba, Ivo Mapunda, ameupongeza uongozi mpya wa klabu hiyo kwa kufanya usajili mzuri ambao utaleta ushindani katika msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Akizungumza jijini Dar es...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani