MAKONDA APOKEA VIFAA VYA THAMANI MILIONI 400/- KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI ZA WALIMU

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amekabidhiwa vifaa vya  ujenzi vyenye thamani ya Sh.milioni 400 kutoka kiwanda cha MMI Steel ltd kwaajili ya kampeni ya ujenzi wa ofisi 402 za walimu Dar es salaam.
Vifaa alivyokabidhiwa ni Mabati 15,000 yenye thamani ya Sh.million 360, nondo tani 22 zenye thamani ya Sh.million 40 ambapo kiwanda hicho kimemuahidi tena kumpatia vifaa vingine ikiwemo rangi, nondo na mabati. 
Akipokea vifaa hivyo leo jijini Dar es Salaam, Makonda ameshukuru kiwanda cha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

MAKONDA APOKEA VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SH.MILIONI 50 KUTOKA KAMPUNI YA TSN

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana, wakati akipokea msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh. milioni 50 kutoka Kampuni ya Tanzania Sisi Nyumbani (TSN) wa ajili ya mashindano ya Kinondoni Cup yatakayoanza Juni 2015 katika wilaya hiyo.  Meneja wa Kinywaji cha Chilly Willy  Kinachosambazwa na Kampuni ya TSN, Khamis...

 

4 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA, APOKEA VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SH.MILIONI 50
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, wakati akipokea msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh. milioni 50 kutoka Kampuni ya Tanzania Sisi Nyumbani (TSN) wa ajili ya mashindano ya Kinondoni Cup yatakayoanza Juni 2015 katika wilaya hiyo. Meneja wa Kinywaji cha Chilly Willy  Kinachosambazwa na Kampuni ya TSN, Khamis Tembo (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhi...

 

1 year ago

Michuzi

DC WA HANDENI MH GODWIN GONDWE APOKEA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI WA ZAHANATI WENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 14.7

Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh. Godwin Gondwe amepokea msaada wa vifaa vya ujenzi wa zahanati wenye thamani ya Shilingi Milioni 14.7 za Kitanzania kutoka Darworth Ltd, Mwekezaji wa kiwanda cha usindikaji matunda, kama shukurani baada ya kupewa ardhi yenye ukubwa wa ekari 10 kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda hicho Kitongoji cha Mkomba katika Kijiji cha Michungwani Wilayani Handeni..

Akizungumza wakati wa mapaokezi ya vifaa hivyo Mkuu wa Wilaya amewataka Viongozi ngazi ya Kata kuhakikisha...

 

2 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU IMEPOKEA TABLETS 500 ZENYE THAMANI YA SH. MILIONI 400 KWA AJILI YA UTAFITI WA MAPATO NA MATUMIZI YA KAYA BINAFSI TANZANIA BARA 2017/18

OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imepokea Tablets 500 zenye thamani ya Shillingi milioni 400 kutoka Benki ya Dunia (WB) kwa ajili ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi Tanzania Bara wa Mwaka 2017/18.
Akizungumza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya tablets hizo, Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa amesema kupatikana kwa tablets hizo kutasaidia kurahisisha zoezi la ukusanyaji wa taarifa muhimu za Mapato na Matumizi ya Kaya pamoja na kupunguza gharama...

 

2 years ago

Michuzi

RC Makonda azindua ufyatuaji wa tofali kwa ajili ya ujenzi wa ofisi za walimu Mkoa wa Dar es Salaam.

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo amezindua rasmi wa Ufyatuaji wa Matofali kwaajili ya ujenzi wa ofisi za kisasa 402 za Walimu ambapo amewasihi Wadau na Wananchi kuunga Mkono jitiada hizo.Katika uzinduzi huo  RC Makonda ameshiriki zoezi la Ufyatuaji wa Matofali kwaajili ya Ujenzi huo.
Makonda amesema lengo la Ujenzi wa Ofisi hizo ni kuboresha Mazingira ya kufanya kazi kwa walimu ili waweze kutoa Elimu bora kwa Wanafunzi na kuongeza ufaulu.
Amesema wapo wengi waliopanga kufanya...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA UMMY APOKEA VIFAA VYA MACHO VYENYE THAMANI YA MILIONI 320


Na Amina Kibwana, Globu ya Jamii.
WIZARA ya Afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto imepokea vifaa vya huduma za macho vyenye thamani ya milioni 321, 234,002 kutoka kwa Shirika la Christian Blind Blind Mission kupitia benki ya Standard Chartered kupitia mradi wa "Seeing is Believing, Child Eye Health" leo jijini Dar es salaam. 
Akipokea misaada hiyo, Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu ameshukuru kwa msaada huo kwani kupata vifaa hivyo vitasaidia...

 

2 years ago

Michuzi

MBUNGE WA KIBAHA MJINI KOKA, AIKABIDHI SERIKALI VIFAA VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA SH.MILIONI 400

Akizungumza katika hafla hiyo, Mbunge Koka, alisema kuwa alifanikiwa kupata msaada wa vifaa hivyo kutoka kwa rafiki zake waishio nchini Marekani, wakati alipokwenda katika shughuli zake za kibiashara, ambapo walimhakikishia kupata vifaa hivyo kwa kuchangia gharama za usafirishaji hadi kuingia nchini.
Baada ya uhakika huo Koke alitumia gharama zake kuwasafirisha baadhi ya wataalamu (Wazungu) kutoka nchini Marekani na kuja nchini hadi Mji wa Kibaha kwa lengo la kukagua na kujiridhisha juu ya...

 

2 years ago

Michuzi

SPIKA WA BUNGE APOKEA MSAADA WA MIFUKO 200 YA SEMENTI NA HUNDI YA SH. MILIONI 15 KUTOKA BENKI YA CRDB TAWI LA DODOMA KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA ZA WALIMU, WILAYANI KOGWA, DODOMA.Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (katikati) akipokea hudi ya shilingi milioni 15 na msaada wa Mifuko mia mbili (200) ya sementi kutoka kwa Mkurugenzi wa CRDB Benki Tawi la Dodoma Ndg. Rehema Hamisi (kushoto) waliotoa ili kusaidia ujenzi wa nyumba za Walimu wa Shule ya sekondari Laikala iliyopo Wilayani Kogwa, Dodoma. Wengine katika picha ni wafanyakazi wa Benki hiyo tawi la Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (katikati) akionyesha hudi ya shilingi milioni 15 aliyokabidhiwa...

 

4 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA, APOKEA VIFAA VYA MICHEZO KUTOKA KWA WADAU WA MICHEZO NCHINI KWA AJILI YA MASHINDANO YA KINONDONI CUP

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, wakati akipokea msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh. milioni 50 kutoka Kampuni ya Tanzania Sisi Nyumbani (TSN) wa ajili ya mashindano ya Kinondoni Cup yatakayoanza Juni 2015 katika wilaya hiyo. Meneja wa Kinywaji cha Chilly Willy  Kinachosambazwa na Kampuni ya TSN, Khamis Tembo (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani