Makubwa Haya!! MWANAUME AOA MWANAUME MWENZIE BILA KUJUA HUKO MTWARA

Dunia imekwisha ndivyo unavyoweza kusema!! Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni...Kutoka Mkoani Mtwara tumepata habari kuwa mwanamme mmoja amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuoa mwanamme mwenzake bila kujua.


Hii imetokea katika kijiji cha Mkahara mkoani Mtwara ambapo mwanamme huyo amejikuta akivunja ukimya kuwa mtu aliyemuoa siyo mwanamke bali ni mwanamme kwani tangu amuoe hajawahi kupewa tendo la ndoa.
Inaelezwa kuwa jamaa huyo kaishi na mwanamme mwenzie kwa muda wa miezi...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

MWANAUME ALIYEBURUZWA MAHAKAMANI KWA KUMSHIKA KIUNO MWANAUME MWENZIE ASAMEHEWA

Jamie Harron
Mwanaume mmoja raia wa Scotland ambaye alishtakiwa kwa upotovu wa maadili mjini Dubai amesamehewa baada ya mfalme wa mji huo kuingilia kati.
Jamie Harron, 27, kutoka Stirling alikuwa amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela kwa kumguza kiunoni mwanamume mwingine wakiwa kwenye baa.
Kundi linalomuakilisha Bw. Harron huko Dubai linasema kuwa alisamehewa na Sheikh Mohammed bin Rashid al-Maktoum.
Lilisema kuwa Bw. Harron alirejeshewa paspoti yake na yuko huru kuondoka Dubai.
Bw. Harron...

 

2 years ago

Malunde

KIJANA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUFUNGA NDOA NA MWANAUME MWENZAKE HUKO MTWARA


View image on Twitter
View image on Twitter

 FollowJamii Forums 
✔@JamiiForumsMTWARA: Kijana Sharrifu Issah, maarufu kwa jina la 'Zamda' amefikishwa mahakamani kwa kosa la kufunga ndoa na mwanaume mwenzie#JFLeo9:07 AM - Sep 15, 2017 2323 Replies   88 Retweets   7777 likes

 

2 years ago

Malunde

Makubwa Haya! MWANAUME AATAMIA MAYAI YA KUKU ILI APATE VIFARANGA

Abraham Poincheval akiwa anatamia mayai katika makumbusho ya Paris
Msanii kutoka Ufaransa Abraham Poincheval anaendelea kuatamia mayai ya kuku akiwa na matumaini kwamba mwishowe yataangua vifaranga.
Msanii huyo anatumia joto kutoka kwa mwili wake kuatamia mayao hayo 10.
Poincheval ambaye hufanya uigizaji wa kuigiza mambo ya ucheshi lakini ya hatari tayari ameishi wiki mbili ndani ya dubu, miongoni mwa mambo mengine ya kushangaza.
Atakuwa katika chumba maalum ambacho anatamia mayai, ambapo...

 

1 year ago

Malunde

Makubwa haya !! MWANAUME AGOMA KUJISAIDIA HAJA KUBWA KWA ZAIDI YA SIKU 20

Mwanaume mmoja nchini Uingereza amekuwa agenda katika mijadala siku za hivi karibuni baada ya kukataa kabisa kujisaidia haja kubwa na hadi sasa zikiwa zimepita siku 20, akihisiwa kuwa anatembea na dawa za kulevya tumboni.
Polisi wanaomshikilia wameeleza kuwa wamekuwa wakimwangalia saa zote kusubiri wakati atakaojisaidia lakini bado hajafanya hivyo, lakini hata hivyo wameeleza kujipanga kwao kuendelea kumweka chini ya uangalizi wao na kusubiri hadi atakapoamua kujisaidia.
Kwenye kutafuta...

 

2 years ago

Malunde

Makubwa Haya: MWANAMKE ALIVAA SHELA ATINGA MTAANI NA BANGO AKITAKA MWANAUME WA KUMUOA


Mwanamke mmoja nchini Kenya ameingia katika barabara za mji mkuu Nairobi, akiwa na bango lenye maandishi yanayosema kuwa anatafuta mwanamume wa kumuoa.
Akiwa amevaa nguo nyeupe sawa nguo inayovaliwa Bi harusi, Pris Nyambura mwenye umri wa miaka 28, ambaye pia ni mama wa mtoto mmoja, alikuwa na bango lililosema.
"Ninahitaji bwana, nina mtoto msichana wa umri wa miaka saba"

 

2 years ago

Malunde

MWANAUME ALIYEUA WATU 17 WA FAMILIA MOJA HUKO MUSOMA AFIKISHWA MAHAKAMANI


MWANAMUME mmoja amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Musoma mkoani Mara, kwa makosa ya mauaji ya watu 17, wote wa familia moja, wakazi wa eneo la Mugaranjabo wilayani humo, kwa kuwakata mapanga wakati wakiwa nyumbani kwao.
Ikumbukwe kuwa tukio la mauaji ya watu hao 17, na wote wakiwa ni wanafamilia moja lilitokea mwaka 2010. Aliyefikishwa katika mahakama hiyo mbele ya hakimu Richard Maganga, ametambuliwa kwa majina ya Sura Bukaba Sura maarufu kwa majina ya Phinias Yona au Epoda (35),...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Wasiofahamika wamshambulia kwa panga mwanaume mmoja huko Mchangani Unguja

Mwanaume mmoja ashambuliwa kwa kupigwa panga na rungu kichwani na watu wasiofahamika kisha kuibiwa simu na pesa huko Mchangani mjini Unguja.

Akithibitisha kutokea kwa shambulizi hilo kamanda wa polisi mkoa wa mjini magharibi Unguja Hassan Nassir Ali amesema tarehe 20-9-2017 majira ya saa 6:15 usiku huko Mchangani kijana Idi Nuhu husein miaka 24 wa Rahaleo.

Amekutwa akivuja damu nyingi baada ya kushambuliwa kwa kupigwa rungu na panga kichwani na watu wasiofahamika na kumuibia simu na fedha...

 

5 years ago

GPL

IRENE PAUL AISHI NA MWANAUME BILA NDOA

Na Rhoda Josiah Angelina Jolie wa Bongo’ Irene Paul amekiri kuwa kwa sasa hajaolewa ila anaishi na mwanaume kwa kumpikia na kumpakulia. Angelina Jolie wa Bongo, 'Irene Paul'. Akiongea hivi karibuni, Irene ambaye mara nyingi ni mchoyo wa kuyaanika maisha yake ya kimapenzi alisema; “Sipendi watu wajue kuhusu maisha yangu nje ya sanaa. Kwa kifupi sijaolewa ila sitafuti mpenzi kwani nina mtu ambaye tuko siriasi zaidi.… ...

 

2 years ago

Malunde

HATIMAYE MWANAUME ALIYEZALIWA BILA MAPAJA APATA MCHUMBA


Mrembo Chelsee Stuart (19) akiwa na mumewe Nathan Hrdlicka (34) wakiwa kwenye pozi la mahaba.
Mwanaume huyo aliyetambulika kwa jina la Nathan Hrdlicka (34) alimpata mpenzi wake huyo aitwae Chelsee Stuart (19) kupitia mtandao wa facebook na baadae kukutana nae mjini Santa Fe nchini Mexico na kumvisha pete ya uchumba rasmi.
Nathan mwenye urefu wa futi 4.6 alikuwa akitaniwa na watu mtaani kwake kuwa ni mbilikimo na kujikuta akikataliwa na kila mwanamke aliyejaribu kumchumbia.
Hata hivyo,...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani