Malaria Mwanza yapungua kwa asilimia 62.5

KIWANGO cha maambukizi ya ugonjwa wa malaria mkoani Mwanza kimepungua kutoka wagonjwa 979,035 kwa mwaka 2009 hadi kufikia jumla ya wagonjwa 367,545 kwa mwaka 2013 sawa na asilimia 62.5.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

RIPOTI: MAAMBUKIZI YA MARADHI MALARIA YAPUNGUA KWA WASTANI WA ASILIMIA 50

Ripoti ya Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ugonjwa wa Malaria hapa Nchini, inaonesha Kupungua kwa Maambukizi ya Maradhi Malaria Kwa Wastani wa asilimia 50 tangu Mwaka 2000.

Wakati Maambukizi yakionesha kupungua, inakadiriwa asilimia 90 ya Watanzania Wanaishi kwenye maeneo ambayo kuna maambukizi ya Ugonjwa wa Malaria.

 Kiongozi wa Uchunguzi na Matibabu kutoka Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria nchini, Dkt Sixbert   Mkude akizungumza na waandishi wa habari leo  Jijini Dar es Salaam amesema pamoja...

 

1 year ago

Michuzi

MALARIA YAPUNGUA MPAKA ASILIMIA 7. 3 NCHINI.

Na Ripota wetu Kasulu, Kigoma 
MAAMBUKIZI ya viashiria vya ugonjwa wa Malaria Nchini Tanzania yame pungua kwa Watoto chini ya miaka mitano kutoka asilimia 14.4 mwaka 2015 na kufikia asilimia 7.3 kwa Mwaka 2017 hii ni kuzigatia harakati zinazo fanywa na Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Mashirika ya Marekani (USAID) pamoja na shirika la WHO kuhakikisha wanautokomeza ugonjwa huo. 
Akizindua takwimu zilizo tolewa na Ofisi ya Takwimu ya Tanzania leo Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma Waziri wa Afya...

 

5 years ago

Michuzi

MAAMBUKIZI YA UKIMWI NCHINI YAPUNGUA KWA ASILIMIA 33


Na Rose Masaka na Lorietha Laurence-MAELEZO 
TANZANIA ni miongoni mwa Nchi ambazo zimeweza kupunguza maambuzi ya ugonjwa wa Ukimwi kwa asilimia 33.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. William Lukuvi wakati akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu Mkutano wa 20 wa Kimataifa wa Ukimwi Duniani uliofanyika Melbourne nchini Australia Julai mwaka huu.
Amesema kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya Serikali kuanza zoezi la kuzuia maambukizi kutoka kwa mama...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Graph ya Soko la Hisa la Dar (DSE) yapungua kwa asilimia 23

Idadi ya mauzo katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) imepungua kwa asilimia 23% na kufikia sh. 6.4 Bilioni kutoka 8.3 Bilioni wiki iliyopita.

dse

Hali kadhalika,ukubwa wa mtaji wa soko umeshuka kwa wastani wa asilimia 2.1% hadi Trilioni 21.4 kutoka Trilioni 21.9 wiki iliyopita. Pamoja na ukubwa wa mtaji wa makampuni ya ndani umepungua kwa wastani wa asilimia 0.3% hadi Trilioni 8.19 kutoka Trilioni 8.21 wiki iliyopita.

Afisa Miradi na Maeneleo ya Masoko DSE Patrick Mususa amesema licha...

 

2 years ago

Dewji Blog

Mauzo ya hisa katika soko la Dar yapungua kwa asilimia 87%

Idadi ya mauzo katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) imepungua kwa asilimia 87% na kufikia Sh 0.5 Bilioni kutoka 4 Bilioni wiki iliyopita.

Afisa Masoko Mwandamizi wa DSE Marry Kinabo amesema pia idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa imepungua kwa asilimia 85% hadi Laki Moja (101,809) kutoka Laki Sita (671,618) wiki iliyopita.

Hata hivyo amesema kushuka kwa mauzo ya hisa kunaweza kuhusianishwa na ongezeko la mauzo ya hati fungani.

Kutokana kwamba wiki hii hati fungani nne (4) zimeuzwa...

 

2 years ago

Michuzi

MAAMBUKIZI MAPYA YA VIRUSI VYA UKIMWI YAPUNGUA KWA ASILIMIA 50


Na Anthony John- Glob ya Jamii.
TAKWIMU zinaonyesha kuwa maambukizi mapya ya ukimwi yamepungua ikiwemo kwa watoto kwa asilimia 50% japokuwa bado ni janga kubwa kwa Dunia,Afrika na Tanzania hivyo nguvu zaidi inahitajika kupambana na ugonjwa huo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo hii Jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania Leonard Maboko amesema kuwa mapambano dhidi ya virusi vya Ukimwi yanatakiwa kuwa endelevu haswa katika maeneo...

 

5 years ago

Habarileo

Maambukizi ya malaria yapungua

WAKATI Serikali ikijiandaa kuanza majaribio ya kiwanda cha mradi wa dawa za kuua viluwiluwi cha Kibaha mkoani Pwani, maambukizi ya malaria nchini yamepungua kwa zaidi ya asilimia 47.

 

4 years ago

BBCSwahili

Maambukizi ya malaria yapungua Afrika

Juhudi za pamoja za kukabiliana na malaria zimechangia kuzuiwa kwa visa takriban 700 milioni vya maambukizi ya ugonjwa huo Afrika.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani