Malima bado ana matumaini Mkuranga

NAIBU Waziri wa Fedha, Adam Malima anayeripotiwa kushindwa katika kura za maoni jimboni kwake Mkuranga, amesema ingawa matokeo yametangazwa, lakini yameonekana yana utata na hivyo kuanza upya kazi ya kupitia kura zote, ikitokea ameshindwa kamwe hatafikiria kukiacha chama tawala, CCM.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mtanzania

Conte ana matumaini ya kutua Chelsea

antonio-conte-1London, England

KOCHA wa timu ya taifa ya Italia, Antonio Conte, ana matumaini ya kuthibitishwa kuwa kocha wa muda mrefu wa timu ya Chelsea, kabla ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Hispania Machi 24, mwaka huu.

Kocha huyo anaamini anaweza kutua kwenye klabu hiyo na kupata mkataba wa miaka mitatu na kuwazidi makocha wengine waliokuwa wakihitajika na klabu hiyo.

Wawakilishi wake ambao walikuwa kwenye mazungumzo na uongozi wa Chelsea bado wanaendelea na mazungumzo hayo, ambapo msingi wake ni...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT.MAGUFULI ANA NIA NJEMA KWA WATANZANIA,TUMUUNGE MKONO-MBUNGE WA MKURANGA

Mbunge wa Jimbo la Mkuranga wilayani Pwani Abdallah Ulega amewaondoa hofu wananchi wake na kuwaeleza kuwa wasiwe na wasiwasi kwani Rais Dkt.Magufuli ana nia njema kwa watanzania Mh.Ulega ametoa kauli hiyo wilayani Mkuranga katika mkutano wake wa kuwashukuru wananchi wa kijiji cha Sotele kilichopo kata ya Dondo wilayani humo. Amesema kuwa hakuna haja ya kumchukia Rais kwani anayoyafanya Rais leo yamesababishwa na watu wachache ambao Kazi yao ilikuwa ni kujijali wenyewe tu na si...

 

3 years ago

Mtanzania

Wenger bado ajipa matumaini ya ubingwa

FBL-ENG-PR-NEWCASTLE-ARSENALLIVERPOOL, ENGLAND

BAADA ya klabu ya Arsenal kutoa sare ya 3-3 dhidi ya Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu nchini England, kocha wa klabu hiyo, Arsene Wenger, amedai bado ana nafasi ya kuchukua ubingwa msimu huu.

Wenger amesema ni bora kutoa sare kuliko kufungwa, kwa kuwa sare bado inakupa pointi, hivyo bado ana kila sababu ya kudai kwamba anaweza kuchukua ubingwa msimu huu.

“Nimechanganywa na matokeo dhidi ya Liverpool, lakini sijachukia kiwango ambacho wamekionesha wachezaji wangu, ni...

 

1 year ago

VOASwahili

Bado yapo matumaini Afrika- Ripoti

Mwaka 2017 umekuwa si mwaka mzuri kwa mataifa ya Afrika kuhusiana na suala la rushwa, lakini huenda hilo likabadilika mwaka huu wa 2018.

 

4 years ago

Mtanzania

Lowassa: Safari ya matumaini bado inaendelea Monduli

Pg 1 coolNA FREDY AZZAH, MONDULI

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amesema safari ya matumaini ilianzia Monduli Mkoa wa Arusha na itaishia Monduli.

Kutokana na hali hiyo  amewataka wananchi wapendane kwa sababu kuna maisha baada ya uchaguzi.

Lowassa aliyasema hayo jana kwa nyakati tofauti kwenye mikutano yake ya kampeni   katika Jimbo la Monduli.

Akiwa Monduli mjini kwenye mkutano uliofanyika katika uwanja wa polisi ambako ndiko nyumbani kwake, Lowassa...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Kama upo hai bado kuna matumaini

NIANZE na nilichokiona juzi wakati napita maeneo fulani jijini Dar es Salaam. Kilikuwa ni kitu cha kusikitisha ambacho kama vijana lazima tukiwekee mkazo na tujifunze. Mara nyingi tumejikuta tukifanya uamuzi...

 

4 years ago

Bongo Movies

Linah Bado Ana Dukuduku na Wema

Siku chache baada kuenea kwa taarifa za kuporwa bwana na Wema Sepetu, staa wa Bongo Fleva Esterlinah Sanga ‘Linah’ amefunguka kuwa bado ana dukuduku kubwa moyoni ambalo anajipanga hivi karibuni kulianaika hadharani kwa njia ya tamko rasmi ambalo atalitoa kwa njia hiyo hiyo ya mtandao

Kwa mujibu wa linah ,amesema kuwa tamko hilokwa sehemu linahusiana na tuhuma za kulalamika kuibiwa  bwana, kitu ambacho kinaendelea akiwa haoni sababu ya kuendelea kukaa kimya zaidi na kuumia roho.

Linah...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mourinho:Drogba bado ana makali

Jose Mourinho anaamini kuwa Didier Drogba angali mmoja wa wachezaji bora zaidi duniani.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani