- 1 HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRILI 22,2017
- 2 Mke Wa Chameleon Adai Talaka Mahakamani
- 3 MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 22,2017
SIKU KAMA YA LEO
Apr 22, 2017POPULAR ON YOUTUBE
Mama Aliyeibiwa Mtoto Hospitali, Afunguka
Asma Juma, mzazi aliyejifungua watoto mapacha na kudai kuibiwa mtoto mmoja katika hospitali ya Temeke, amefunguka kuelezea kilichotokea.
Mzazi huyo anawatuhumu wauguzi wa hospitali hiyo kumuiba mtoto wake huyo akidai, awali wakati alipokuwa na ujauzito picha za Ultrasound alizowahi kupima zilionyesha kuwa ana ujauzito wa mapacha na hata alipokuwa hospitalini hapo alimsikia nesi aliyekuwa akimuhudumia akithibitisha kua ana watoto wawili.
Akiongea na kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM, Asma amesema, “Wakati nipo chumba cha upasuaji, baada ya kuambiwa nafanyiwa operesheni, yule nesi aliyekuwa ananihudumia akiwa na mtu mwingine nilimsikia akisema ‘viko viwili’ akimaanisha wako watoto wawili, yule nesi aliniambia nisijitingishe, baadaye walinichoma sindano nikapoteza fahamu.”
“Nilivyozinduka nikajikuta nipo chumba cha pili nikiwa nasikia maumivu makali sana, niliwaomba dawa wakaniambia nitazikuta wodini hapo hakuna dawa za maumivu. Nilifanyiwa operesheni saa nane hadi saa kumi na mbili ndipo nikapelekwa wodini, kwa muda wote huo sikupewa watoto wangu. Nimeletewa mtoto mmoja saa kumi na moja alfajiri nakumbuka wakati nipo wodini nilimsikia yule nesi aliyekuwa akinihudumia akisema ‘Ultrasound’ zinadanganya. Ilisema ana watoto wawili kumbe ni mmoja. Kwakweli hadi sasa sielewi,” ameongeza.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp
Bongo5
Habari Zinazoendana
1 year ago
Zanzibar 2421 Apr
Mzazi aliyeibiwa Mtoto Hospitali ya Temeke, Aeleza kilichotokea
mzazi aliyejifungua watoto wawili mapacha na kudai kuibiwa mtoto mmoja katika hospitali ya Temeke, amefunguka kuelezea kilichotokea mpaka akdai kuwa ameibiwa mtoto wake .
Mzazi huyo aliyatambulika kwa jina la Asma Juma, anawatuhumu wauguzi wa hospitali hiyo kumuiba mtoto wake mmoja kwa kudai, awali wakati alipokuwa na ujauzito picha za Ultrasound alizowahi kupima zilionyesha kuwa ana ujauzito wa mapacha na hata alipokuwa hospitalini hapo alimsikia nesi aliyekuwa akimuhudumia akithibitisha...
10 months ago
MwanaHALISI30 Jun
Aliyeibiwa mtoto kuwaponza madaktari
3 years ago
BBCSwahili08 Sep
Mtoto aliyeibiwa apatikana baada ya miezi 4
2 years ago
Bongo502 Feb
AKA afunguka anavyoandamwa baada ya kuachana na mama wa mtoto wake

Rapper wa Afrika Kusini, AKA ameamua kueleza kile anachokiona kama kero kwa namna vyombo vya habari na mashabiki wanavyomwandama kufuatia kuachana na aliyekuwa mpenzi wake, Dj Zinhle.
Wawili hao wana mtoto wa kike aitwaye Kairo. AKA amesema yeye na Zinhle kila mmoja amesonga mbele na maisha yake.
Soma tweets zake:
It's actually quite ridiculous how people are taking my separation with the mother of my child, worse than the mother of my child.
— AKA (@akaworldwide) January 31, 2016
Fathers...
12 months ago
Mwananchi04 May
Ujenzi wa hospitali ya mama na mtoto waanza Mirerani
2 days ago
Michuzi
RC MAKONDA AZINDUA HOSPITALI YA MAMA NA MTOTO CHANIKA
Ujenzi wa hospital hiyo ya kisasa umegharimu zaidi Sh.billion 9.8 ambapo ndani kuna vyumba vya kisasa vya upasuaji, vyumba vya madaktari, maabara, chumba cha mionzi, wodi ya wazazi,wodi ya watoto njiti na chumba cha operesheni (Theater).
Pia vyumba vya...
1 year ago
Zanzibar 2418 Apr
Mama mzazi adai kuibiwa mtoto wake Hospitali ya Temeke
Tukio lilionekana kuwa ni la utata limetokea katika Hospitali ya rufaa ya Temeke ambapo Mwanamke mmoja alietambulika kwa jina la Asma Juma kudai kuibiwa mtoto wake baada ya kujifungua mapacha na kukabidhiwa mtoto mmoja kati ya wawili hao.

2 years ago
CHADEMA Blog
2 years ago
Zanzibar 2419 Oct
Mbunge Godbless Lema azua tafrani uzinduzi wa hospitali ya mama na mtoto Arusha
MKUU wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amemumbua mbunge wa jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema wakati wa uzinduzi wa hosptali ya mama na mtoto katika eneo la Bruka lililopo wilayani Arumeru .
Gambo ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa hosptali hiyo aliishukuru kampuni ya mawakili ya Mawala (Mawala Advocate )kwa kutoa eneo hilo kwa ajili ya hosptali hiyo ambayo ujenzi wake umefadhiliwa na taasisi ya Martenity Africa.
Mara baada ya Rc. Gambo kutoa kauli hiyo Lema...