Mama Asha Suleimani Iddi katika Futari ya Jumuiya Madrasatul Hidayatul Islamia ya Kijiji cha kidoti Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja

Na Othman Khamis Ame, OMPRWakati kumi la mwanzo la Rehema na lile la pili la maghfira yaliyomo ndani ya mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan yakimalizika waumini wa Dini ya Kiislamu hivi sasa wanaendelea na ibada katika kukamilisha kumi la mwisho la mwezi huu mtukufu wa Ramadhani la kuachwa huru na moto. Ibada hii ya funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani inamuwajibikia kila muumini wa Dini hiyo aliyefikia balegh na akili timamu kuitekeleza ikiwa ni ya Nne kati ya tano ya nguzo za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi atembeela Kijiji cha Mvuleni Shehia ya Kidoti Jimbo la Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mvuleni Shehia ya Kidoti Jimbo la Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja kuhusiana na masuala ya huduma za maji na umeme.Kulia ya Balozi Seif ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Nd. Haji Juma Haji, kushoto yake ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mh. Pemba Juma Khamis na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar { ZAWA } Dr. Mustafa Garu. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi...

 

2 years ago

Michuzi

Dkt. Shein atembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya kaskazini ”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuzindua jengo la kituo cha Maafa cha KmKm Nungwi akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kaksazini ”A” Unguja leo,(kushoto) Waziri wan chi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir,(kulia) Mkuu wa KMKM Komodoo Mussa Hassan Musa
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo...

 

5 years ago

Michuzi

Balozi seif atembelea Kijiji cha Mvuleni Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuwahudumia Wananchi wake katika kuwapatia huduma muhimu na za msingi za Kijamii ikielewa fika kwamba inatekeleza Sera na ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alitoa kauli hiyo hapo katika Kijiji cha Mvuleni Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A “ wakati akikabidhi vifaa mbali mbali vya ujenzi kwa ajili ya kuufanyia matengenezo makubwa Msikiti Mkuu wa Ijumaa wa Kijiji hicho. Balozi Seif alikabidhi...

 

2 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dkt. Shein ziarani Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pia Kaimu Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Ali Abeid Karume wakati alipowasili katika ukaguzi wa maendeleo ya Kiwanda cha Sukari cha Mahonda na kupata maelezo mbali mbali kutoka kwa Wasimamizi wa Kiwanda hicho Kampuni ya ETG  alipofanya ziara katika Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

5 years ago

Michuzi

Balozi seif ali iddi afunguwa Kituo cha Afya Cha Pwani Mchangani Wilaya ya Kaskazini A, Unguja

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwa sambamba na Mwakilishi wa Hoteli ya Waride Resort  Bwana Massliano  Bramucci wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Huduma za akina Mama wajawazito katika Kijiji cha Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.  Mfadhili wa ujenzi wa Kituo cha akina mama wajawazito cha Pwani Mchangani Bwana Massiliano Bramucci akitoa maelezo kwa  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif mara tu baada ya kukifungua Kituo hicho.   Balozi...

 

4 years ago

Michuzi

MADAKTARI WA CHINA NA WAZALENDO WAKISHIRIKIANA KUTOA HUDUMA ZA AFYA KATIKA KIJIJI CHA KITOPE MKOA WA KASKAZIN WILAYA YA KASKAZINI B ZANZIBAR

 DAKTARI DHAMANA KANDA YA UNGUJA  DAKTARI FADHIL RAMADHAN AKITOA MAELEKEZO KWA MADAKTARI BINGWA KABLA YA KUANZA  ZOEZI LA MATIBABU KATIKA KIJIJI CHA KITOPE. DAKTARI FEI JIE AKIMPIMA MTOTO SARA SHAABAN MARADHI YA MENO NA KOO MKAZI WA KITOPE WILAYA YA KASKAZIN B”. PICHA NA ABDALLA OMAR - MAELEZO ZANZIBAR.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

3 years ago

Dewji Blog

Mradi wa maji safi wakamilika kijiji cha Kinduni Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja

_MG_2026Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Makaazi Maji na Nishati Ali Khalili Mirza (Picha ya Maktaba)

Na Khadija Khamis –Maelezo

[Zanzibar] Zaidi ya shilingi million 73 za Kitanzania zimetumika kwa ajili ya kufanikisha  mradi wa maji  safi na salama katika kijiji cha kinduni wilaya ya kaskazini B Unguja ambapo zaidi ya wananchi 5582 watafaidika na mradi huo.

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Makaazi Maji na Nishati Ali Khalili Mirza ameeleza hayo mbele ya Waziri wa Kilimo na Maliasili Mhe.Dkt. Sira Ubwa...

 

4 years ago

Michuzi

ufunguzi wa Msikiti Mpya wa Ijumaa wa Kijiji cha Bandamaji Mvumoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.

 Mwenyekiti wa Kamati ya kuendeleza ujenzi wa Misikiti na Madrasa Zanzibar Rais Mstafu wa Tanzania Al-Hajj Ali Hassan Mwinyi akitoa salamu wakati wa hafla ya ufunguzi wa Msikiti Mpya wa Ijumaa wa Kijiji cha Bandamaji Mvumoni Mkoa wa Kaskazini Unguja. Kulia ya Mzee Mwinyi ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mfadhili wa Ujen zi wa Msikiti huo Sheikh Muhoma. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu wa Kijiji cha...

 

2 years ago

Michuzi

Skuli ya Kijini na Mbuyu Tendee Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja,Wafaidika na Mradi wa Ujenzi wa Kijiji cha Utalii Cha PennyRoyal kwa Kutoa Elimu ya Afya na Mazingira

Maafisa Afya na Mazingira kutoka (SUZA) Nahya Khamis Nassor Mwanafunzi wa mwaka wa Tatu wa Chuo cha SUZA anayetowa mafunzo ya Afya na mazingira kwa Wanafunzi wa Skuli ya Kijini Matemwe akizungumza na waandishi wa habari kufanikiwa kwa zoezi hilo la kutowa elimu kwa wanafunzi wa Skuli hiyo jinsi ya kuhifadhi mazingira na afya yao. Mradi huo unaosimamiwa na Kampuni ya Ujenzi wa Kijiji cha Kitalii Matemwe Pennyroyal kwa kutowa elimu hiyo.Amesema umeleta mafanikio makubwa kwa watoto hao jinsi ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani