MAMA AUA MTOTO WAKE KWA KICHAPO KISA KAKOMBA MBOGA HUKO MUSOMA


Mtoto wa miaka mitatu amefariki dunia kwa kupigwa na mama yake mzazi kwa tuhuma ya kula mboga mkoani Mara katika mtaa wa Songa mbele kata ya Rwamlimi katika Manispaa ya Musoma.


Tukio hilo lilitokea June 29 mwaka huu nyumbani kwa marehemu katika kata ya Rwamilimi majira ya saa mbili za usiku.

Hellena Magwita ni mama mzazi wa mtoto huyo inadaiwa mama huyo alimwadhibu mtoto wake kwa kosa la kula mboga aina ya furu,baada ya kipigo hicho mtoto alilia hadi akapoteza fahamu na mwishowe kupoteza...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Mama aua mtoto wake kisa kukataa shule

Mkazi wa Nsumba katika Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza Joyce Mathayo (33), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kumpiga mtoto wake Mathayo Manisi (12) na kumuua kwa kosa la utoro shuleni.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake jijini hapa jana alisema tukio hilo lilitokea Januari 11, mwaka huu saa 4 asubuhi.

Alisema Mary alikamatwa na polisi baada ya kumpiga fimbo mtoto wake...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mama aua mtoto wake kwa utoro wa shule

MKAZI wa Nsumba katika Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza Joyce Mathayo (33), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kumpiga mtoto wake Mathayo Manisi (12) na kumuua kwa kosa la utoro shuleni. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake jijini hapa jana alisema tukio hilo lilitokea Januari 11, mwaka huu saa 4 asubuhi. Alisema Mary alikamatwa na polisi baada ya kumpiga fimbo mtoto wake huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tatu...

 

2 years ago

Habarileo

Mama aua mtoto wake aliyekataa shule

MKAZI wa Nsumba katika Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza Joyce Mathayo (33), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kumpiga mtoto wake Mathayo Manisi (12) na kumuua kwa kosa la utoro shuleni.

 

9 months ago

Malunde

MAMA AUA MTOTO WAKE KISHA KUMTUPA MTONI

Polisi Kirinyaga nchini Kenya wamemkamata Mwanamke mmoja kwa tuhuma za kumkaba shingoni mtoto wake wa miaka 5 na kisha kumtupa katika mto Rutui.
Kwa mujibu wa wakazi wa eneo hilo wamesema kuwa Mwanamke huyo mwenye miaka 23 ambaye anaishi peke yake, baada ya kutenda tukio hilo alimtupa mwanae kwenye mto na kukaa kimya akiamini kuwa maiti ya mtoto wake itachukuliwa na maji na kupelekewa sehemu isiyojulikana.
Aidha mwili wa mtoto huyo umeonekana ukielea katika mto Rutui asubuhi ya jana June 9 na...

 

1 year ago

Malunde

BABA AUA MTOTO WAKE KWA KUMCHAPA MAKONDE AKIDAI SIYO WAKE


Mtoto aitwaye Benedicto Salumu(13) mkazi wa kitongoji cha Saint Maria kata ya Matai wilayani Kalambo mkoani Rukwa ameuawa kwa kupigwa ngumi na mateke tumboni na baba yake.
Tukio hilo limetokea Januari 1,2018 majira ya saa 4 usiku ambapo Pius Salum(46) alimpiga mtoto huyo baada ya ugomvi kuzuka baina yake na mkewe Hilda Mpangamila (37).
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Kitongoji hicho Rafael Sinyangwe alisema kuwa kwa muda mrefu kumekuwa na ugomvi baina ya baba wa mtoto aitwaye Pius Salum(46) na...

 

3 years ago

Mwananchi

Mama aua mtoto kwa viboko

Mkazi wa Kitongoji cha Majengo Kata ya Kabarimu Wilaya ya Bunda Mjini mkoani Mara anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumchapa mtoto wake Wakuru Rungu (9), viboko viwili kichwani na  kumsababisha kifo.

 

1 year ago

Malunde

Bad News: MKE AUA MME WAKE KWA KUMCHINJA KISHA KUFUNGUA RADIO KWA SAUTI YA JUU HUKO TINDE SHNYANGA


Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga Simon Haule****
Habari zilizotufikia kutoka katika kata ya Tinde wilaya ya Shinyanga zinasema mwanamke aliyejulikana kwa jina la Mama Tatu amemuua mme wake anayejulikana kwa jina la “Mzaramo” kwa kumchinja kisu shingoni na kumchoma kisu tumboni.


Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Alhamis Septemba 21,2017 katika eneo la Malenge/Uswahilini kata ya Tinde.
Inaelezwa kuwa wanandoa hao walikuwa wamegombana,ndipo mke akamsubiri mmewe alale na alipolala...

 

3 years ago

Mtanzania

Mama aua watoto wake kwa sumu

Philip KalangiNA SHOMARI BINDA, MUSOMA

MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jila la Elizabeth Mugendi (24), mkazi wa Kijiji cha Kamugesi, Tarafa ya Makongoro, Wilaya ya Butiama mkoani Mara, amewaua watoto wake wawili kwa kuwanywesha sumu kutokana na ugomvi na ndugu yake.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Musoma jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Philip Kalangi, alisema tukio hilo lilitokea Januari 16, mwaka huu katika kijiji hicho ambapo watoto hao walifariki dunia walipofikishwa hospitali.
Alisema...

 

5 years ago

Mwananchi

Aua mtoto, ajiua kisa meseji

Mkazi wa Mji wa Kisoko, Philip Wandera (27) amejitupa na wanawe wawili katika Mto Sio, baada ya kuzozana na mkewe kuhusu ujumbe mfupi(sms) alioupata katika simu yake.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani