MAMA MKUBWA WA MTOTO ALIYEUNGUA MOTO ATOWEKA NA MTOTO HUYO KUSIKO JULIKANA.‏

Huyu ndiye Mama mkubwa wa mtoto Adolotea Nyavike Bi. Salome Kiegu(35) ambaye ametoweka na mtoto huyo kusiko julikana wakati wasamalia wema wakitaka kutoa misaada kwa nototo huyo. Mtoto Adolotea Njavike(1.4) ambae Kichwa na Kiwiliwili…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Habarileo

Mtoto aliyeungua mwili amshukuru JK

KIJANA Bakari Katumbaku (20) aliyeungua moto mwili mzima akiwa na miaka 6, amemshukuru Rais Jakaya Kikwete kwa msaada wa matibabu na elimu aliompatia.

 

2 years ago

Michuzi

MTOTO ALIYEUNGUA MIKONO SASA KUREJEA DARASANI

Mtoto aliyeungua na kushindwa kuendelea na masomo mkoani Mtwara ametibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na sasa anaweza kuendelea na masomo pamoja na kufanya shughuli zake za kawaida.
Mtoto huyo aliungua moto baada ya kusukumwa na mwenzake shuleni na hivyo kuungua mikono yote miwili na kusababisha vidole kujikunja na kushikamana.Baada ya kufikishwa Muhimbili madaktari bingwa walifanyia upasuaji na sasa amepona.
Daktari Bingwa wa Upasuaji, Ibrahimu Mkoma amesema mtoto...

 

4 years ago

GPL

MAMA AMCHOMA MOTO MTOTO MIAKA 7

Saimeni Mgalula, Mbeya
Ukatili kila kona! Mwanamke aliyetajwa kwa jina la mama Joy amechezea kipigo ‘hevi’ kutoka kwa wananchi wenye hasira kali akidaiwa kumchoma moto mikononi mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka saba ambaye jina halikupatikana kwa madai ya kumuibia shilingi elfu ishirini. Mtoto huyo akiugulia maumivu baada ya kuchomwa moto na mamaa'ke. Tukio hilo la kinyama ambalo ni sehemu ya matukio ya mateso kwa...

 

4 years ago

GPL

MIPANGO NA SERA ZITEKELEZWE KUMUOKOA MAMA NA MTOTO MCHANGA‏

Mratibu wa Mawasiliano na uhamisishaji wa mradi wa Mama Ye unaoendeshwa na asasi ya Evidence for Action linalofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Uingereza (DFID), Chiku Lweno akielezea jitihada zinazofanywa na mradi wa Mama Ye katika kukabiliana na vifo vya Mama na mtoto ambapo aliwataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao kuelemisha jamii ili iweze kuepukana na vifo vya mama na mtoto ambalo nalo ni janga la taifa. Kaimu...

 

5 years ago

GPL

HUDUMA ZA DHARURA KWA WAZAZI KIBITI ZAOKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO‏

Mratibu wa Mtandao wa Utepe Mweupe Kitaifa (The White Ribbon Alliance), Rose Mlay akimjulia hali mmoja wa akinamama aliyejifungua katika wodi ya wazazi katika Kituo cha Afya Kibiti leo. Mratibu wa Mtandao wa Utepe Mweupe Kitaifa (The White Ribbon Alliance), Rose Mlay akitambulishwa kwa baadhi ya wahudumu katika wodi ya wazazi kwenye Kituo cha Afya Kibiti leo alipotembelea… ...

 

3 years ago

MillardAyo

AUDIO: Wananchi wamempeleka polisi mama wa mtoto kisa mtoto ni mwarabu

hekehek

June 20 2016  Geah Habib kupitia Hekaheka ya Clouds FM  ametuletea Hekaheka kutokea Buguruni Dar es salam ambapo mama amepelekwa polisi na wananchi kisa mtoto anayedaiwa kuwa ni wa kwake ni mwarabu. Mama alifika maeneo hayo nyakati za usiku na watu wakawa na mashaka naye wakamwambia aende kwa mjumbe…….. >>>’shida yake yeye ni kwamba anamuhitaji ndugu […]

The post AUDIO: Wananchi wamempeleka polisi mama wa mtoto kisa mtoto ni mwarabu appeared first on...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani