MAMA SAMIA SULUHU AWASILI KIGOMA, WANANCHI WASIMAMISHA SHUGHULI KUMLAKI

Baadhi ya wananchi na wanaCCM wakiwa wamemsimamisha mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan Kata ya Igagala, Uvinza Mkoani Kigoma wakimtaka awasalimie kabla ya kuendelea na safari. Mgombea mwenza huyo wa CCM ameingia mkoani Kigoma kwa ziara ya kampeni kuinadi ilani ya CCM.
Baadhi ya Wananchi wakiwa wamesimama pemezoni mwa barabara kumlaki mgombea mwenza wa urais CCM alipokuwa akiwasili Mkoani Kigoma kufanya mikutano yake ya kampeni.Mgombea mwenza akizungumza na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI JIJINI ARUSHA KUSHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA SARPCCO EXTRA ORDINARY MEETING KESHOMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu   Hassan akisalimiana akisalimiana na mmoja wa viongozi wa dini mara baada ya kuwasili jijini Arusha mapema leo, tayari kwa ufunguzi wa mkutano wa SARPCCO EXTRA ORDINARY MEETING kesho tarehe 16 Septemba 2016 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC.Pichani kulia ni Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mh.Mrisho Gambo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akilakiwa na Mkuu wa mkoa wa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu awasili Mkoani Lindi, kufunga maonyesho ya Nane nane kesho

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN amewasili mjini LINDI mchana huu akitokea mkoa wa Dar es Salaam kwa njia ya barabara ambapo hapo kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha   Sikukuu ya Wakulima Nanenane kitaifa kwenye viwanja wa NGONGO katika Manispaa ya LINDI.

Makamu wa Rais SAMIA SULUHU HASSAN anatarajiwa kufunga maonyesho hayo ya Nane nane hapo kesho kwa  niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dakta JOHN POMBE MAGUFULI.

Alipowasili...

 

3 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI LUSAKA KUMWAKILISHA RAIS DKT. MAGUFULI KWENYE SHEREHE ZA KULA KIAPO RAIS WA ZAMBIA EDGAR LUNGU

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Vijana, Michezo na Maendeleo ya Watoto Mhe. Agnes Musunga mara baada ya kutua  katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka, Zambia, leo Jumatatu Septemba 12, 2016  tayari kwa kumuwakilisha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Joseph Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa rais wa sita wa nchi hiyo Mhe. Edgar Lungu kesho Jumanne Septemba...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Picha: Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Kenya kumuwakilisha JPM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo asubuhi tarehe 28 Novemba, 2017 amewasili Mjini Nairobi nchini Kenya ambako anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta.

Katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye ameambatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Picha: Mhe. Samia Suluhu awasili Pemba kwa ufunguzi wa Soko

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili Pemba tayari kwa ufunguzi wa Soko la Konde ambapo alipokelewa na Waziri wa Kilimo,Mifugo,Maliasili na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid na viongozi wengine wa Chama na Serikali.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Kilimo,Mifugo,Maliasili na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimia na Mbunge wa Viti...

 

4 years ago

Michuzi

Mh. Samia Suluhu aendelea na ziara ya kukagua shughuli za utunzaji wa mazingira wilayani Muheza, Tanga

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano Mh. Samia Suluhu Hassan akiweka saini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika kijiji cha UWAMAKIZI alikoenda kwenye ziara ya kukagua shughuli za utunzaji wa mazingira katika kijiji cha Bombani kilichopo wilayani Muheza mkoani Tanga. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano Mh. Samia Suluhu Hassan akiongea na baadhi ya wanakijiji wa kijiji cha Bombani wilayani Muheza mkoani Tanga alipotembelea kijijini hapo katika maadhimisho ya...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS,SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI JIJINI ARUSHA JIONI YA LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewasili mjini Arusha jioni hii ambapo hapo kesho ataongoza wananchi wa mkoa wa Arusha na mikoa ya jirani katika kuaga miili ya wanafunzi 32,walimu Wawili pamoja na dereva Mmoja wa shule ya Lucky Visent iliyopo Jijini Arusha waliopata ajali jana tarehe 06-May-2017 katika eneo la Rhotia wilayani Karatu mkoani Arusha.

Wanafunzi na walimu hao walipata ajali hiyo wakati wanaenda kwenye shule iitwayo Tumaini kwa ...

 

3 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan awasili Kigali, Rwanda kuhudhuria mkutano wa AU (Picha)

Picha za Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili Kigali, Rwanda kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika (AU).

Samia Suluhu Hassan akiwasili Rwanda

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo ya Rwanda, Francis Gatare alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kigali, Rwanda kwa ajili ya  kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU). Makamu wa Rais anamwakilisha Rais Dkt. John...

 

3 years ago

Bongo Movies

Mama Samia Suluhu Amuokoa Wastara

Msanii wa Filamu, Wastara Juma amemshukuru Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu kwa msaada wake katika matibabu ya awali ya mguu wake licha ya kwamba bado zinahitajika zaidi ya shilingi milioni 10 ili aweze kutembea vizuri.

Akizungumza na Ijumaa kwa njia ya simu kutokea Nairobi-Kenya, Wastara alisema katika hatua ya awali ya kutibu mguu wake Mama Samia alimsaidia kiasi fulani cha fedha hivyo anamshukuru sana.

“Nimefanyiwa matibabu ya awali ambayo zimetumika fedha nyingi sana, kati ya hizo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani