Mambo yalivyokua wakati Liverpool ikitwaa taji la ligi miaka 29 iliyopita

Ukame wa taji la EPL Liverpool waingia mwaka wa 30

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

#AUDIO Binti aliokotwa miaka 6 iliyopita wakati wanatokea Singida na Bibi yake kuja Dar es salaam

neema ...

May 26 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM, Geah Habib ametuletea Hekaheka inayomhusu binti aliyelelewa kwa muda wa miaka 6 kwenye kituo ambacho huwa wanakaa na watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha ‘Jeshi la Wokovu’ mbagala Dar es salaam, huwa wanakaa nao kwa muda wa miezi 6 na baadaye anapopata kwao wanampeleka. Sasa kwa huyu Binti imekuwa  ni […]

The post #AUDIO Binti aliokotwa miaka 6 iliyopita wakati wanatokea Singida na Bibi yake kuja Dar es salaam appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016

Headlines za Arsenal kufanya vizuri bado zinagonga vichwa vya habari vya magazeti mengi ya michezo dunini, Arsenal kwa sasa ndio timu inayopewa nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2015/2016. Sababu za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa ubingwa sio kwa sababu kaifunga Man City. Hizi ndio sababu tano za Arsenal kupewa nafasi […]

The post Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016 appeared first on...

 

5 years ago

Mwananchi

Rodgers ainyima taji Liverpool

>Kocha wa Liverpool, Brendan Rodgers amesema klabu  yake itasubiri kwa msimu mwingine zaidi kabla ya kuingia  katika nafasi ya kutwaa ubingwa wa England.

 

5 years ago

BBCSwahili

Liverpool itashinda taji kabla nistaafu

Nahodha wa Liverpool Steve Gerrad amesema kuwa timu yake itatwaa taji kabla hajatsaafu

 

3 years ago

BBCSwahili

Klopp: Liverpool wanaweza kutwaa taji Uingereza

Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema bado kuna nafasi ya kuimarika kama kikosi chake kinataka kupigania taji la Ligi Kuu ya Uingereza msimu huu.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Kocha Klopp ataka taji la EPL msimu huu Liverpool

Kocha Jurgen Klopp amesema Liverpool inatakiwa kufikiria taji la ubingwa msimu huu walilolikosa kwa takriban miaka 27.

 

3 years ago

BBCSwahili

Aliyeiba mtoto miaka 18 iliyopita mahakamani

Kesi dhidi ya Mwanamke mwafrika kusini aliyetuhumiwa kuiba mtoto mchanga nchini Afrika Kusini miaka 18 iliyopita,imeahirishwa.

 

3 years ago

BBCSwahili

Miili ya waliotoweka miaka 16 iliyopita yapatikana

Miili ya wakwea milima wawili kutoka Marekani waliotoweka katika milima ya Himalaya miaka 16 iliyopita imepatikana.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani