MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) YATAHADHARISHA MVUA KUBWA MIKOA 11

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya vipindi vya mvua kubwa vinavyotarajiwa kuendelea katika maeneo ya mikoa 11 nchini.

TMA imetaja mikoa itakayoathirika na mvua hizo ni Dar es Salaam, Pwani, Lindi, Mtwara, Morogoro, Ruvuma, Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.

Taarifa iliyotolewa leo na mamlaka hiyo inabainisha kuwa kuanzia leo Machi 12 hadi 13 ,2018 kunatarajiwa vipindi vya mvua kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya saa 24.

“Hali hii inatokana na kuendelea kuimarika kwa ukanda wa mvua, wakazi wa maeneo yaliyotajwa wanatakiwa kuchukua tahadhari stahiki na kuendelea kufuatilia taarifa na tahadhari zinazotolewa, TMA inaendelea kufuatilia hali hii na itatoa mrejesho kila itakapobidi,” imesema sehemu ya taarifa hiyo.

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza (UK Met Office) wamesaini mkataba wa makubaliano ya uboreshaji huduma za hali ya hewa hapa nchini. Mkataba huo umesainiwa tarehe 11 Novemba, 2014 wakati wa kikao cha masuala ya hali ya hewa (IBCS) kilichofanyika mjini Geneva Uswiss.
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...

 

3 years ago

Vijimambo

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

Dr. Agnes Kijazi, TMA Director General and Permanent Representative of Tanzania with the World Meteorological Organization (WMO) and Dr. Rob Varley, the UK Met Office Chief Executive Officer and Permanent Representative of UK with WMO signed a memorandum of understanding for a joint project in support of Climate Service Development in Tanzania. The signing ceremony was witnessed by Dr. Ladislaus Chang’a, TMA Director of Research and Applied Meteorology and Ms. Jane Wardley from the UK Met...

 

3 years ago

Vijimambo

TMA yatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko la joto, Mvua kubwa isiyotabirika yaja, TMA yatahadharisha wananchi

Dar es Salaam. Mvua kubwa isiyotabirika inatarajiwa kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hasa katika ukanda wa Pwani ya Kaskazini, maeneo ya Dar es Salaam, Tanga, Unguja na Pemba; pia katika ukanda wa Kaskazini Mashariki kwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara.Akitoa taarifa ya hali ya hewa jana kwa Januari na Februari mwaka ujao, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agness Kijazi alisema mvua ya msimu katika maeneo hayo inatarajiwa kwisha leo.Hata hivyo,...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Mamlaka ya hali hewa yatoa tahadhari ya Mvua kubwa

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania imetoa taarifa ya kuendelea kwa Mvua kubwa katika mwambao wa pwani hususani katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanga na Visiwa vya Unguja na pemba kati ya leo tarehe 10 mei hadi tarehe 12 mei.

Aidha Mamlaka ya hali ya hewa imesema hali ya mvua inatarajiwa kupungua mwishoni mwa juma hili hususani tarehe 13 mei. Hata hivyo imesema maeneo machache sana ya visiwa vya Unguja na Pemba yanatarajiwa kupata vipindi vifupi vya Mvua kubwa.

The post Mamlaka ya hali hewa...

 

2 years ago

Dewji Blog

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)- “Kipindi cha Juni-Agosti kuwa na hali ya baridi”

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa mwelekeo wa hali ya hewa kwa kipindi cha Juni hadi Agosti mwaka huu. Akizungumzia utabiri huo kwa mbo vya Habari mapema leo Jijini Dar es Salaam kuhusiana na mwelekeo huo kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu, Meneja Kituo Kikuu cha Utabiri Bw. Samwel Mbuya alisema  Tanzania inatarajia kuwa na hali ya baridi na vipindi vya mvua kwa maeneo machache ya nchi.

“Nchi yetu inatarajia kuwa na hali ya baridi kiasi katika kipindi hiki sambamba na...

 

2 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA) YATOA MWELEKEO WA HALI YA HEWA KWA KIPINDI CHA JUNI HADI AGOSTI 2016.

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa mwelekeo wa hali ya hewa kwa kipindi cha Juni hadi Agosti mwaka huu. Akizungumzia kuhusiana na mwelekeo huo kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu, Meneja Kituo Kikuu cha Utabiri Bw. Samwel Mbuya alisema “Nchi yetu inatarajia kuwa na hali ya baridi kiasi katika kipindi hiki sambamba na vipindi vifupi vya mvua vinavyotarajiwa kujitokeza katika maeneo machache hususanya ukanda wa Ziwa Viktoria na ukanda wa pwani ya Kaskazini (Visiwa vya Unguja na...

 

2 years ago

Mwananchi

TMA yatahadharisha mvua kubwa kuanza

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetahadharisha kutokea kwa mvua kubwa ndani ya siku tatu kuanzia jana usiku hadi kesho katika mikoa ya Kusini na Nyanda za Juu Kusini Magharibi.

 

3 years ago

Michuzi

UFUNGUZI WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA), MKOANI MOROGORO

Na John Nditi, Morogoro
MKUU  wa wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro, Festo Kiswaga, Machi 31, 2015,  amefungua mkutano wa siku mbili wa Baraza la wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli Oasis , mjini Morogoro.
Mkuu huyo wa wilaya alimwakilisha mkuu wa mkoa, Dk Rajab Rutengwe ,na  katika hotuba yake ya ufunguzi wa Baraza hilo ,amewapongeza wafanyakazi wa Mamlaka hiyo kwa kuendeleza na kuitangaza taaluma yao vizuri ya utabiri wa  hali ya hewa ikiwa...

 

4 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA) YAKUTANA NA WADAU WA SEKTA MBALI MBALI KUJADILI UTABIRI WA MVUA ZA MSIMU KWA MWEZI MACHI MPAKA MEI (MASIKA)

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt Agnes Kijazi katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa hali ya hewa kutoka sekta mbali mbali katika mkutano wa wadau wa utabiri wa mvua za msimu wa MASIKA kwa mwezi Machi mpaka Mei 2014.
Kila mwaka mwezi Februari kabla ya kutoa utabiri wa msimu Mamlaka hukutana na wadau wa sekta mbali mbali nchini ili kujadili utabiri wa msimu huo wa mvua za MASIKA kwa kipindi cha miezi ya Machi hadi Mei na kuwapa wadau nafasi ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani