Manara aitupia vijembe Yanga

Uongozi wa klabu ya Simba umewapongeza waamuzi waliochezesha mchezo wake dhidi ya Yanga kwamba walichezesha vizuri mchezo huo walioshinda mabao 2-1.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mtanzania

Yanga, Simba wapigana vijembe nje ya uwanja

simbayngNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

TIMU ya Simba inatarajia kurejea Dar es Salaam leo wakitokea Zanzibar, huku watani zao Yanga wakitamba kufanya maaja bundani ya dakika 45 za mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, utakaochezwa kesho katika Uwanja waTaifa.
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga, Jerry Muro, amesema kuwa kikosi chao kipo kamili kwa ajili ya mpambano huo na kudai kocha wao, Hans van Pluijm, amemaliza kazi ya kukiandaa kikosi hicho kumenyana na Simba.
“Kocha amemaliza...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Manara aishukia Yanga

Uongozi wa klabu ya Simba umewapongeza waamuzi waliochezesha mchezo wake dhidi ya Yanga na kuwakejeli watani zao hao kuwa hawawasumbui kwa sasa.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Haji Manara aiwakia Yanga

WAKATI ikichanganywa na mgomo wa nyota wao, viongozi wa Yanga wamewekwa kwenye hali ngumu baada ya watani zao, Simba kuwakomalia wakitaka walipwe fedha zao Sh 50 milioni zikiwa ni fidia ya beki Hassan Kessy.

 

5 months ago

Malunde

MANARA AWAINGIZA YANGA MTEGONI

Msemaji wa Mabingwa Watetezi, Klabu ya Simba, Haji Manara amehoji Mamlaka ya mapato Tanzania juu utaratibu wa watani zao wa jadi kuhusu kuchangisha kwa ajili ya klabu yao na kuuliza kama utaratibu huo ni sahihi.
Manara amehoji iwapo kama Klabu hiyo inayoongoza msimamo wa ligi kuu soka Tanzania bara kama inalipia kodi katika Mamlaka hiyo huku akisistiza kwamba hata kama ukweli ukiwa mchungu kiasi gani lazima usemwe.
"TRA nakumbuka mlienda katika kanisa la Mchungaji Kakobe kufuatilia ile...

 

4 years ago

Mwananchi

Kitwana Manara: Bibi alinipeleka Yanga

Manara, wengi wakiwamo mashabiki wa soka hasa wa siku hizi wanamtambua kama mshambuliaji mahiri wa miaka ile.

 

3 years ago

Global Publishers

Yanga wamchangia Manara fedha za matibabu

manara

Sweetbert Lukonge,

Dar es Salaam

OFISA Habari wa Simba, Haji Manara, hivi karibuni alipata matatizo ya macho baada ya jicho lake moja kupoteza uwezo wa kuona, wakati akiendelea na matibabu, wanachama wa Yanga wameamua kumchangia fedha za matibabu katika kile walichodai kuonyesha michezo siyo uadui.

Wanachama hao wameongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro ambaye alithibitisha juu ya mchango huo kwa kusema kuwa wamefikia uamuzi huo kutokana na kuguswa zaidi...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Bosi Yanga amfutia kesi Haji Manara

SIMBA wana kila sababu ya kufurahia taarifa hii baada ya Msemaji wao, Haji Manara, aliyekuwa kifungoni sasa kufunguliwa na Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF).

 

1 year ago

Michuzi

USHINDI DHIDI YA YANGA, MANARA AWASHUKURU MASHABIKI

 Assalaam Aleikum.
Salaam zangu za Mei Mosi
Kwanza sote tumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma anaendelea kutupa uhai na uzima hadi siku ya leo.Hakika pumzi hii ndio inatufanya tufurahi na kuhuzunika pamoja,pia ndio inayotufanya tuweze kuandika na kusoma maandiko mbalimbali ikiwemo andishi hili dogo
Jana pale uwanja wa taifa palifanyika mechi kubwa kabisa ktk ukanda huu wa Afrika Mashariki. Simba na Yanga zote za hapa jijini Dar.
Sio vyema kurejea kuwapa matokeo ila Alhamdulillah klabu...

 

5 months ago

Zanzibar 24

Manara awashtaki Yanga Mamlaka ya mapato’TRA’

Msemaji wa Klabu ya Simba, ambao pia ni Mabingwa Watetezi, Haji Manara amehoji  Mamlaka ya mapato Tanzania juu utaratibu wa watani zao wa jadi kuhusu kuchangisha kwa ajili ya klabu yao na kuuliza kama utaratibu huo ni sahihi.

Manara amehoji iwapo kama Klabu hiyo inayoongoza msimamo wa ligi kuu soka Tanzania bara kama inalipia kodi katika Mamlaka hiyo huku akisistiza kwamba hata kama  ukweli ukiwa mchungu kiasi gani lazima usemwe.

“TRA nakumbuka mlienda katika kanisa la Mchungaji...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani