Manchester City huenda ikapigwa marufuku kutoshoriki katika ligi ya mabingwa kwa msimu mmoja

Wachunguzi wa Uefa wanataka Manchester City kupigwa marufuku kwa msimu mmoja iwapo watapatikana na hatia ya kukiuka sheria za kifedhi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

LIGI KUU ENGLAND 2015/16: Je, msimu ujao mabingwa ni Arsenal au Manchester United?

>Baada ya wiki iliyopita Manchester United na Arsenal kutoka sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Old Trafford, timu hizi zilionyesha kwamba haziwezi kuitoa Manchester City katika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu England huku zikiwa zimeishakubali Chelsea kuwa bingwa.

 

3 years ago

BBCSwahili

Ligi ya Mabingwa: Manchester City 4-0 B M'gladbach

Sergio Aguero amefunga 'hat-trick' na kuwawezesha Manchester City kupata ushindi mnono dhidi ya Borussia Monchengladbach ya Ujerumani katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

 

3 years ago

Bongo5

Manchester City na Atletico Madrid zatinga robo fainali Ligi ya Mabingwa

323AFD6B00000578-3493959-image-a-35_1458081979579

Michuano ya Ligi ya Mabingwa iliendelea usiku wa Jumanne March 15 katika viwanja mbali mbali Uwanja wa Etihad Manchester City imetoka sare ya 0-0 na Dynamo Kiev sare hiyo imewavusha City hadi robo fainali.

city

City inanufaika na ushindi wao wa 3-1 ugenini, lakini pamoja na kusonga mbele kwenye michuano hiyo, klabu hiyo imepata pigo baada ya nahodha wake Vincent Kompany kuumia dakika ya 7 na kutolewa nje nafasi yake ikichukuliwa na Mangala.

Katika mechi nyingine Atletico Madrid imetoa PSV...

 

1 year ago

BBCSwahili

Je Man City itanyanyua mataji manne katika msimu mmoja?

Mancity imeendelea kujizatiti katika nyanja zote - ikiwa tayari inaongoza kwa pointi 12 za wazi mbele katika ligi ya England

 

5 years ago

Mwananchi

Ligi ya Mabingwa 2013-2014: Tumaini la mwisho kwa Manchester United

>Manchester United, ambayo msimu huu inaonekana kupoteza nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa wa Ulaya, wiki hii itaanza kutupa kara zake za mwisho kwenye michuano hiyo wakati wa mechi za robo fainali zitakazochezwa kesho na keshokutwa

 

3 years ago

Ippmedia

Kukosekana kwa maji katika msimu huu wa kiangazi huenda ukapunguza kasi ya uzalishaji umeme.

Licha ya kukamilika kwa kiasi kikubwa kwa mradi kitaifa wa njia kuu ya umeme na ujenzi wa vituo vya kupoza na kusambaza umeme katika baadhi ya mikoa tatizo la kukosekana kwa maji katika msimu huu wa kiangazi uenda ikapunguza kasi ya uzalishaji umeme na kufikwa kwa kiwango cha utoaji huduma kwa wateja nchni.

Day n Time: ALHAMISI SAA 2:00 USIKUStation: ITV

 

2 years ago

Bongo5

Man City huenda wakamkosa Gabriel Jesus msimu wote

Mshambuliaji wa klabu ya Man City Gabriel Jesus imeripotiwa kuwa anaweza kuwa nje ya uwanja kwa kipindi chote cha msimu kilichobaki kufuatia kuumia katika mguu wake kwenye mechi ya jana dhidi ya Bournemouth ambayo City walishinda goli 2-0.

Jesus ambaye ametua City mwezi Januari akitokea Palmeiras kwa ada ya pauni milioni 27, ameonekana akiwa amavaa kiatu cha kujikinga (Protective Boot) huku akitembea kwa msaada wa magongo huko jijini Manchester.

Taarifa kutoka kwa klabu ya Man City...

 

1 year ago

BBCSwahili

Manchester United walipwa zaidi ya Manchester City mapato ya Ligi ya Premia Uingereza

Manchester United walipata pesa nyingi kuliko mabingwa wa ligi Manchester City kutoka kwenye Ligi ya Premia msimu uliomalizika majuzi.

 

2 years ago

BBCSwahili

Manchester City: Pep Guardiola asema huenda hajatosha

Pep Guardiola amesema huenda yeye ni mzuri vya kutosha kuwafaa wachezaji wa Manchester City, badala ya kuwa kwamba wachezaji ndio hawatoshi.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani