Manchester City: Pep Guardiola asema huenda hajatosha

Pep Guardiola amesema huenda yeye ni mzuri vya kutosha kuwafaa wachezaji wa Manchester City, badala ya kuwa kwamba wachezaji ndio hawatoshi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 months ago

BBCSwahili

Pep Guardiola: Liverpool huenda ndio bora zaidi duniani kwa sasa, asema mkufunzi wa Man City

Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola anaamini kwamba Liverpool huenda ''ndio timu bora zaidi duniani kwa sasa''

 

3 years ago

Africanjam.Com

PEP GUARDIOLA'S NEXT CLUB: IS IT MANCHESTER UNITED OR MANCHESTER CITY !?

Pep Guardiola will join Manchester City in the summer after deciding against extending his stay with Bayern Munich, according to reports in Spain.The former Barcelona coach, long linked with a move to the Etihad, has already decided he will move away from Germany after three seasons in charge of the Bundesliga giants, with his one remaining desire to manage in England, according to Spanish radio station Cope. 
The report states that Bayern Munich chief Karl-Heinz Rummenigge will announce...

 

2 years ago

BBCSwahili

Manchester City v Monaco: Pep Guardiola wakosoaji 'wataiua 'City tukishindwa

Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola anataka wachezaji wake wahimili matarajio ya hatua ya timu 16 bora katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Monaco.

 

3 years ago

Mtanzania

Pep Guardiola rasmi Manchester City

pep_2111869aManchester, Uingereza

KLABU ya soka  ya Manchester City imethibitisha kumpa mkataba wa miaka mitatu kocha wa timu ya Bayern Munich, Pep Guardiola (44).

Hatua hiyo imekuja baada ya kocha wa timu hiyo, Manuel Pellegrin kuthibisha kuwa atafungasha vilago mwishoni mwa msimu huu.

Guardiola anatarajia kuanza kibarua chake kipya Julai Mosi mwaka huu huku timu hiyo ikitajwa kuwapiku baadhi ya timu zilizokuwa zikinyemelea saini ya kocha huyo.

Kwa mujibu wa chanzo kutoka kwenye klabu hiyo, Manchester...

 

1 year ago

BBCSwahili

Pep Guardiola kuzungumza na Manchester City kuhusu mkataba

Manchester City watafanya mazungumzo na meneja wao Pep Guardiola kuhusu mkataba mpya majira yajayo ya joto huku wakiendeleza lengo lao la kuunda himaya ya soka itakayotishia ile ya Manchester United.

 

3 years ago

Bongo5

Pep Guardiola atia saini kuwa meneja Manchester City

30C39D4800000578-3426462-image-m-10_1454332243899

Kocha Mhispania, Pep Guardiola hatimaye amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwa meneja mpya wa Manchester City baada ya msimu huu kumalizika.

30C39D4800000578-3426462-image-m-10_1454332243899

Guardiola, atachukua majukumu hayo kuanzia Julai, klabu hiyo ya ligi ya premier imetangaza. Manuel Pellegrini ataondoka klabu hiyo Juni 30 baada ya kumalizika kwa msimu wa sasa.

“Kutokana na heshima yetu kwa Manuel Pellegrini na wachezaji, klabu ingependa kufanya wazi uamuzi wake ili kuondoa nafasi ya uvumi,” City wamesema kupitia taarifa kwenye tovuti...

 

3 years ago

Bongo5

Pep Guardiola Ataka Manchester City kuwasajili Paulg Pogba na John Stones

article-3427254-30CD923B00000578-377_308x235

Kocha Pep Guardiola baada ya kutangazwa kuanza kazi mapemaa ndani ya kikosi cha Manchester City mwishoni mwamsimu huu katika majira ya Joto amewataka City ianze “kuvunja benki” mapema.

article-3427254-30CD923B00000578-377_308x235

Guardiola ametaka City ifanye inavyoweza kumnasa kiungo Paulg Pogba wa Juventus.

30C233C300000578-0-image-m-3_1454363508327

Pogba anapatikana kwa kitita cha pauni milioni 80 na anawaniwa na timu vigogo kama Real Madrid, Chelsea na Barcelona.

30A453CF00000578-3427254-image-a-23_1454367144328

Pamoja na Pogba pia Guardiola ameitaka City kuhakikisha inampata beki wa Everton, John Stones hata kwa...

 

1 year ago

BBCSwahili

Pep Guardiola: Meneja wa Man City asema mpangilio wa mechi umekuwa balaa England

Meneja wa viranja wa Ligi ya Premia Manchester City Pep Guardiola amesema mpangilio wa mechi nyingi msimu wa sikukuu umekuwa "janga" kwa wachezaji.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani