Manchester City wamzingua Nolito, wamrudisha Hispania

Nolito aliyepo England anakaribia kutimka baada ya klabu za Manchester City na Sevilla kufikia mwakafa wa ada ya Pauni 8 milioni kwa ajili ya uhamisho wa mshambuliaji huyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Manchester City yamsajili Nolito

Manchester City imemsajili mshambuliaji wa Uhispania Nolito kutoka kilabu ya Celta Vigo kwa pauni milioni 13.8

 

1 year ago

Mwananchi

Benchi lamkimbiza Nolito Man City

Mshambuliaji wa Manchester City aliyesugua benchi vya kutosha msimu uliopita, Nolito amesema hakuna sababu ya kubaki klabuni hapo kutokana na kukosa uhakika kikosi cha kwanza.

 

1 year ago

Mwanaspoti

‘Sugua benchi’ yamkimbiza Nolito Man City

Mshambuliaji wa Manchester City aliyesugua benchi vya kutosha msimu uliopita, Nolito amesema hakuna sababu ya kubaki klabuni hapo kutokana na kukosa uhakika kikosi cha kwanza.

 

2 years ago

Bongo5

Manchester United na Manchester City kukutana tena kombe la EFL Cup

Raundi ya nne ya kombe la Ligi- EFL Cup imetoka mahasimu wa Manchester – City na United watakutana tena. Mechi zita chezwa wiki inayoanza Oktoba 25.

Droo kamili ya mechi zote ni kama ifuatavyo.

West Ham v Chelsea
Manchester United v Manchester City
Arsenal v Reading
Liverpool v Tottenham
Bristol City v Hull
Leeds v Norwich
Newcastle v Preston
Southampton v Sunderland

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town!...

 

2 years ago

Africanjam.Com

STREAMING LIVE NOW: MANCHESTER UNITED vs MANCHESTER CITY | EFL CUP | 26.10.2016 |

CLEARLY CLICK ON THE SYMBOL 'x' ON ADS TO REMOVE THEM.IF STREAMING STOPS JUST REFRESH THE PAGE.ENJOY THE GAME.

Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as...

 

2 years ago

Africanjam.Com

LIVESTREAM: MANCHESTER CITY vs MANCHESTER UNITED | WATCH THE GAME,HERE,NOW,LIVE |
Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into service. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening...

 

3 months ago

BBCSwahili

Jose Mourinho: Imekuwa vigumu kwa Manchester United kuwakimbiza Manchester City

City walilaza Everton 3-1 Jumamosi, na hiyo ina maana kwamba watashinda taji kwa mara ya kwanza tangu msimu wa 2013-2014 iwapo watafanikiwa kuwalaza United uwanjani Etihad wikendi ijayo.

 

1 month ago

BBCSwahili

Manchester United walipwa zaidi ya Manchester City mapato ya Ligi ya Premia Uingereza

Manchester United walipata pesa nyingi kuliko mabingwa wa ligi Manchester City kutoka kwenye Ligi ya Premia msimu uliomalizika majuzi.

 

3 years ago

Africanjam.Com

PEP GUARDIOLA'S NEXT CLUB: IS IT MANCHESTER UNITED OR MANCHESTER CITY !?

Pep Guardiola will join Manchester City in the summer after deciding against extending his stay with Bayern Munich, according to reports in Spain.The former Barcelona coach, long linked with a move to the Etihad, has already decided he will move away from Germany after three seasons in charge of the Bundesliga giants, with his one remaining desire to manage in England, according to Spanish radio station Cope. 
The report states that Bayern Munich chief Karl-Heinz Rummenigge will announce...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani