Manchester City yakosolewa kwa kuwakejeli mashabiki wa Liverpool

Manchester City wamekosolewa juu ya video iliyoonyesha wachezaji na wahudumu wa timu hiyo wakiungana katika kuimba wimbo wa kusherehekea mashabiki wa Liverpool "wakichapwa mtaani ".

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Liverpool v Manchester United: Mourinho hawaogopi mashabiki Anfield

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema litakuwa jambo al kupendeza sana kupeleka klabu yake Anfield Jumamosi licha ya kutarajia kutoshangiliwa.

 

5 years ago

GPL

FT: MANCHESTER CITY 2, LIVERPOOL 1

Manchester City line - up: Joe Hart, Vincent Kompany(4), Pablo Zabaleta(5), Joleon Lescott (6),Aleksandar Kolarov(13), Samir Nasri(8), Jesús Navas(15), David Silva(21), Fernandinho(25), Yaya Touré(42), Álvaro Negredo(9). Liverpool line - up: Simon Mignolet(22), Glen Johnson(2),  Mamadou Sakho(17), Aly Cissokho(20), Martin Skrtel(37), Jordan Henderson(14), Lucas921), Joe Allen (24), Luis Suárez(7), Philippe Coutinho(10),...

 

5 years ago

BBCSwahili

Manchester City yaibana Liverpool 3-1

Manchester City iliibana Liverpool mabao 3-1 katika uwanja wa Etihad katika mechi yao ya pili.

 

5 years ago

BBCSwahili

Liverpool yaichapa Manchester City 3-2

Liverpool imezidi kumeremeta kileleni mwa ligi ya kuu ya England baada ya kuwalaza wapinzani wao wakuu Manchester City 3-2

 

3 years ago

BBC

Liverpool 1-1 Manchester City (pens 1-3)

Yaya Toure hits the winning penalty and Willy Caballero saves three as Manchester City beat Liverpool to win the League Cup.

 

2 years ago

BBCSwahili

Liverpool yaizidi ujanja Manchester City

Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp amesema bado hajafikiria kwamba huenda akashinda ligi na anasema kwamba atakuwa na hamu ligi inapokamilika

 

1 year ago

BBCSwahili

Manchester city yachapwa 3-0 na Liverpool: Uefa

Michuano ya klabu bingwa barani Ulayani, hatua ya robo fainali inaendelea usiku wa kuamkia leo

 

3 years ago

Bongo5

Liverpool na Manchester United hakuna mbabe, Pogba atupiwa lawama na mashabiki wa Man U

Mchezo wa kusisimua wa ligi kuu ya soka England kati ya majogoo wa London, Liverpool pamoja na mashetani wekundu, Manchester United umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana.
emre-can

Katika mchezo huo kipindi cha kwanza timu zote zilishambuliana kwa zamu huku kipindi cha pili Liverpool ikishambulia zaidi lango la United.

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema kuwa hakukasirika lakini pia hakufurahishwa na kiwango cha uchezaji wa timu yake.

Klopp pia ameisifu safu ya ulinzi ya Man U na kusema...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani