MANCHESTER CITY YATWAA UBINGWA WA LIGI KUU YA UINGEREZA


Klabu ya Manchester City imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Soka nchini humo baada ya leo kuifunga klabu ya Brighton goli 4-1 na kufikisha alama 98.
-
Man City inachukua ubingwa huo huku Liverpool iliyokuwa inaipa ushindani mkubwa inamaliza nafasi ya pili baada ya leo kuifunga klabu ya Wolves goli 2-0 na kufikisha alama 97

Man City imetetea kombe hilo baada ya msimu uliopita kuwa mabingwa na hili ni kombe lao la nne ndani ya kipindi cha misimu 8 iliyopita

Nafasi ya 3 imechukuliwa na Chelsea...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Manchester City yatwaa ubingwa wa Uingereza

Na Israel Saria  Hatimaye Manchester City wamefanikiwa kunyakua ubingwa wa England katika siku ya mwisho ya Ligi Kuu, ambapo walikuwa wakihitaji pointi moja tu kutawazwa wafalme. Vijana hao wa Manuel Pellegrini hawakufanya makosa walipoingia uwanjani nyumbani dhidi ya West Ham, kwani Samin Nasri na nahodha Vincent Kompany walihakikisha wanaipatia timu yao mabao, huku ngome ikihakikisha haivuji. Wakati City wakipata ushindi huo, Liverpool waliokuwa wakiunyemelea ubingwa pia kwa kusubiri...

 

4 years ago

Mwananchi

Chelsea, Manchester City ni vita ya ubingwa Ligi Kuu England

Chelsea ina nafasi ya pekee ya kufikisha pointi nane dhidi ya Manchester City leo katika mchezo mgumu wa Ligi Kuu England.

 

4 years ago

StarTV

Chelsea yatwaa ubingwa Ligi Kuu England

imu ya Chelsea imeibuka mabingwa wa ligi kuu ya England, baada ya kuifunga Crystal Palace bao 1-0 katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Stamford Bridge. Bao la Chelsea lilifungwa katika dakika ya 45 ya kipindi cha kwanza cha mchezo, likifungwa Eden Hazard.

Chelsea ilihitaji pointi tatu kutangazwa mabingwa wa ligi kuu ya England. Chelsea imetwaa ubingwa huo ikiwa bado na michezo mitatu, ikiwa imejikusanyia pointi 83 ikifuatiwa na mabingwa wa msimu uliopita Manchester City yenye pointi...

 

1 year ago

BBCSwahili

Manchester United walipwa zaidi ya Manchester City mapato ya Ligi ya Premia Uingereza

Manchester United walipata pesa nyingi kuliko mabingwa wa ligi Manchester City kutoka kwenye Ligi ya Premia msimu uliomalizika majuzi.

 

2 years ago

Channelten

Ligi kuu Uingereza EPL: Chelsea yajiimarisha kileleni mwa ligi, Manchester United yachupa nafasi ya tano.

1

Timu ya Chelsea imeitwanga Bournemouth 3-1 na kurudisha pengo la pointi 7. Bao za Chelsea zilifungwa na Adam Smith aliyejifunga mwenyewe, Eden Hazard na Marcos Alonso. Michezo mingine ilikuwa kati ya Tottenham iliichapa Watford 4-0 na kujisogeza katika nafasi ya pili ya ligi hiyo. Nao Liverpool wakicheza ugenini wameichapa Stroke City 2-1. Huko Etihad, Man City wameweka hai mbio zao baada ya kuitwanga Hull City 3-1. Mechi za jana Manchester United wameicharaza Sunderland bao 3-0 na kukalia...

 

3 years ago

Mwananchi

HOJA BINAFSI : Saikolojia ya kujiamini ilivyoipa Leicester City ubingwa ligi ya Uingereza

Kila mpenzi wa soko Ulaya ameshangazwa namna timu ndogo ya Leicester City ilivyonyakua kombe la Ligi Kuu ya Uingereza mwaka huu. Matarajio yalikuwa Chelsea, Arsenal, Manchester United, Manchester City au Liverpool.

 

2 years ago

Channelten

Ligi kuu ya Uingereza (EPL) kuendelea April, Manchester United shughuli pevu

1

Baada ya kukaa pembeni kwa wiki mbili kupisha mechi za kimataifa, Manchester United wanarudi kilingeni Jumamosi Aprili 1 kwa kucheza nyumbani mechi ya ligi kuu England, dhidi ya West Bromwich Albion Uwanjani Old Trafford.

Mechi hiyo ni mwanzo wa mfululizo wa mechi 9 ambazo watazicheza mwezi Aprili na 7 kati ya hizo ni za EPL wakati 2 ni za UEFA EUROPA Ligi za robo fainali wakipambana na klabu ya Belgium Anderlecht.

Hivi sasa Man United wapo nafasi ya 5 kwenye ligi wakiwa na Pointi 52 kwa...

 

4 years ago

Mwananchi

Chelsea, Manchester City zang’ara Ligi Kuu England

 Chelsea imeendelea kujiimarisha kileleni mwa Ligi Kuu England ikiwa na pointi 32 bila mpinzani baada ya kuilaza West Brom kwa mabao 2-0.

 

3 years ago

Bongo5

Leicester City wamebakiwa na point mbili tu kuupata ubingwa wa ligi kuu ya England

Klabu ya Leicester City hadi sasa wamebakiwa na point mbili tu pekee kuupata ushindi wa ligi kuu ya England baada ya kupata sare ya 1-1 dhidi ya klabu ya Manchester United katika dimba la Old Trafford huku wakitegemea matokeo ya mchezo kati ya Chelsea dhidi ya Tottenham utakaopigwa leo hii majira ya saa nne usiku kwa saa za afrika mashariki katika dimba la Stamford Bridge.

article-3568563-33B9564A00000578-578_964x390

Leicester walipata afueni baada ya kuwa nyuma kwa goli moja lililofungwa na Antony Martial dakika ya nane ya mchezo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani