Manchester United: Ole Gunnar Solskjaer ateuliwa kuongoza Mashetani Wekundu baada ya Mourinho kutimuliwa, kusaidiwa na Mike Phelan

Solskjaer, mwenye miaka 45 sasa, ameifungia United magoli 126 katika misimu 11 chini ya kocha Sir Alex Ferguson.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 weeks ago

BBCSwahili

Man United: Ole Gunnar Solskjaer apewa kandarasi ya kudumu

Kaimu mkufunzi wa klabu ya Man United Ole Gunnar Solskjaer amepewa kandarasi ya kudumu kufuatia msururu wa matokeo mazuri katika klabu hiyo

 

5 months ago

BBCSwahili

Ole Gunnar Solskjaer: Mkufunzi wa muda wa Man United aahidi kuwafanya wachezaji kufurahia soka tena

Ole Gunnar Solskjaer alifunga jumla ya mabao 126 katika misimu 11 kama mchezaji wa Man U

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Man Utd 0-1 Barcelona: Ole Gunnar Solskjaer ana hakika kuwa United inaweza pata ushindi ugenini

Solskjaer anaamini kikosi chake kinaweza kuwaondosha Barcelona kama ilivyowatoa Paris St. Germain.

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Mkusanyiko wa habari za michezo Jumatano: Mkufunzi wa Man United Ole Gunnar Solkjaer akiri kwamba sio rahisi kutinga nne bora EPL

Manchester United inahitaji kushinda mechi tano mfululizo kati ya sita zilizosalia ili kuweza kumaliza katika nafasi nne za kwanza katika ligi ya Uingereza, kulingana na mkufunzi wa klabu hiyo Ole Gunnar Solskjaer.

 

1 year ago

BBCSwahili

Jose Mourinho: Imekuwa vigumu kwa Manchester United kuwakimbiza Manchester City

City walilaza Everton 3-1 Jumamosi, na hiyo ina maana kwamba watashinda taji kwa mara ya kwanza tangu msimu wa 2013-2014 iwapo watafanikiwa kuwalaza United uwanjani Etihad wikendi ijayo.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mourinho hatachukuliwa hatua zaidi baada ya kutimuliwa uwanjani

Meneja huyo na Manchester United alitumuliwa na refa Craig Pawson, kwa kuingia uwanjani wakati wa mechi

 

2 years ago

Bongo5

Hull City yatangaza kumtimua kazi Mike Phelan

Klabu ya soka ya Hull City imetangaza kumfukuza kazi kocha wake Mike Phelan ambaye ameifundisha timu hiyo kwa siku 85 pekee.

Kupitia mtandao wa Twitter, timu hiyo imeandika, “We would like to thank Mike for his efforts both as assistant manager and head coach over the last two years.”

Mpaka sasa timu hiyo ndio inaburuza mkia kwenye msimamo wa ligi kuu ya Uingereza huku ikiwa imeshacheza jumla ya michezo 20, wamefungwa michezo 13, wameshinda mechi tatu na wamedroo michezo 4 ambapo...

 

1 year ago

BBCSwahili

Ryan Giggs: Nyota wa Manchester United ateuliwa meneja wa Wales

Mchezaji nyota wa zamani wa Manchester United Ryan Giggs ameteuliwa meneja wa timu ya taifa ya Wales kwa mkataba wa miaka minne.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani