Manchester united vs liverpool live uefa europa league 3/17/16

Manchester united vs liverpool live uefa europa league 3/17/16

africanjam.com

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Africanjam.Com

LIVESTREAM: MANCHESTER UNITED vs LIVERPOOL | EUROPA LEAGUE | WATCH THE GAME LIVE, HERE , NOW |Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into service. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening...

 

3 years ago

Africanjam.Com

VIDEO: LIVERPOOL 2 - 0 MANCHESTER UNITED | Europa League | All Goals and Highlights 10.03.2016
Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into service. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening...

 

2 years ago

BBCSwahili

Manchester United washinda na kusonga Europa League

Manchester United walifika hatua ya 16 bora katika ligi ndogo ya klabu Ulaya, Europa League, kwa ushindi dhidi ya Saint-Etienne Jumatano.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mourinho: Manchester United hatubahatishi Europa League

Meneja huyo, ambaye ameamua kuangazia ligi hiyo badala ya kumaliza katika nafasi nne za kwanza Ligi ya Premia, anasema uamuzi wake ni wa busara.

 

3 years ago

BBCSwahili

Liverpool yailaza Manchester United Europa

Liverpool ilichukua udhibiti wa kombe la bara Europa baada ya kuifunga timu ya Manchester United iliokuwa ''haijiwezi'' katika uwanja wa Anfield.

 

3 years ago

Bongo5

Man Utd na Liverpool washtakiwa na Uefa kufuatia fujo za mashabiki wakati wa mechi ya Europa League

324EA9B300000578-3497867-image-a-56_1458293975763

Klabu za Manchester United na Liverpool zimeshtakiwa na Uefa kufuatia fujo za mashabiki wakati wa mechi ya marudiano ya Europa League iliyochezwa Alhamisi.

Mar 17th 2016 - Manchester, UK - MAN UTD V LIVERPOOL - Man Utd trouble PIcture by Ian Hodgson/Daily Mail

Klabu hizo zilitoka sare 1-1 mechi hiyo ya marudiano ya hatua ya 16 bora iliyochezewa uwanja wa Old Trafford.

Mashabiki wa timu zote mbili walionekana wakikabiliana uwanjani na viti vilirushwa na mienge kuwashwa wakati wa mechi hiyo.

324EA9B300000578-3497867-image-a-56_1458293975763

Watu watano walikamatwa.

Klabu zote mbili zimeshtakiwa na makosa ya mashabiki kuzua fujo pamoja na vitu...

 

3 years ago

BBCSwahili

Europa League: Manchester United kukabiliana na Zorya Luhansk

Meneja wa klabu ya Zorya Luhansk itakayokutana na Manchester United katika Europa League, Yuriy Vernydub, amesema ana wasiwasi sana kwamba watakutana na miamba hao wa Uingereza.

 

3 years ago

BBCSwahili

Europa League: Manchester United walaza Zorya Luhansk

Manchester United wameondoka kwenye mkia kundi lao la ligi ndogo ya Ulaya, Europa League, baada ya kupata ushindi dhidi ya Zorya Luhansk.

 

2 years ago

BBCSwahili

Europa League: Manchester United wafuzu hatua ya muondoano

Manchester United walilaza Zorya Luhansk na kufika hatua ya klabu 32 bora katika ligi ndogo ya Ulaya, Europa League, katika mechi ambayo Henrik Mkhitaryan aliwafungia bao lake la kwanza Alhamisi.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani