Manchester United wamepokea kichapo Anfield dhidi ya Liverpool

12816970_248621122141940_436911125_n(1)

Usiku wa March 10 michuano ya Europa League iliendelea kwa michezo kadhaa kupigwa Barani Ulaya, Uingereza kulikuwa kuna mchezo wa kuvutia zaidi baina ya Liverpool dhidi ya Manchester United katika dimba la Anfield. Takwimu za vilabu hivi kabla ya mchezo huu kupigwa , Man United alikuwa na takwimu nzuri licha ya kupokea kipigo cha goli […]

The post Manchester United wamepokea kichapo Anfield dhidi ya Liverpool appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Liverpool v Manchester United: Mourinho hawaogopi mashabiki Anfield

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema litakuwa jambo al kupendeza sana kupeleka klabu yake Anfield Jumamosi licha ya kutarajia kutoshangiliwa.

 

2 years ago

BBCSwahili

Liverpool yatoana jasho na Manchester City uwanjani Anfield

Pep Guardiola amesema kuwa Liverpool ni miongoni mwa timu ambazo zinapigania taji la ligi msimu huu

 

3 years ago

Mwananchi

Liverpool, Man United zashindwa kutambiana Anfield

ZILE dakika 90 zilizosubiriwa sana pale Anfield zimekwisha na si Liverpool wala Manchester United iliyofanya maajabu na kushinda mchezo huo wa Ligi Kuu England baada ya mechi hiyo ya Red Derby kumalizika kwa sare ya bila kufungana.

 

2 years ago

Mwananchi

Spurs inatakiwa kushinda Anfield dhidi ya Liverpool

Kama Tottenham Hotspur inahitaji kuendelea kuifukuza Chelsea katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England inatakiwa kushinda kesho kwenye Uwanja wa Anfield dhidi ya Liverpool.

 

3 years ago

BBCSwahili

Liverpool 0-0 Manchester United

Mchezo wa kusisimua wa ligi kuu ya soka England umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana.

 

4 years ago

BBCSwahili

Liverpool kumenyana na Manchester United

Mshambuliaji Mario Balotelli amepona ugonjwa uliomfanya kukosa mechi ya ushindi dhidi ya Swansea siku ya jumatatu.

 

4 years ago

GPL

NI LIVERPOOL VS MANCHESTER UNITED LEO

MECHI ya kukata na shoka kati ya Liverpool na Manchester United itapigwa leo kwenye Uwanja wa Anfield jijini Liverpool, England kuanzia saa 10:30 jioni. Mshambuliaji wa Liverpool, Daniel Sturridge. Timu hizi mbili ndizo zilizopata umaarufu mkubwa nchini England ambapo Liverpool imetwaa taji la Ligi Kuu ya England mara 18 huku Manchester United wakilitwaa mara 20.… ...

 

3 years ago

BBCSwahili

Manchester United, kuwavaa Liverpool.

Mechi za Marudiano za Raundi ya Mtoano ya Timu 16 za Uefa Europa Ligi zinatarajia kuendelea leo Alhamisi kwa michezo miwili.

 

3 years ago

Mtanzania

Liverpool na Manchester United kitanzini

324EB12000000578-3497867-Manchester_United_s_Europa_League_clash_against_Liverpool_at_Old-a-1_1458289058669LONDON, England

TIMU za Manchester United na Liverpool zinatarajia kupigwa faini Mei 19 mwaka huu na Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA), baada ya mashabiki wa timu hizo  kuonesha utovu wa nidhamu wakati timu zao zilipokutana kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 bora, mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Old Trafford.

Hatua hiyo ilitokana na mashabiki wa timu hizo kupigana baada ya mchezo kumalizika ambao uliifanya Liverpool kusonga mbele kwa jumla ya mabao 3-1.

Tukio hilo lilitokea baada ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani