Manchester United yarejea kwa kishindo UEFA

Chelsea yaua, Barcelona yalipiza kisasi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Ubaoni 2-0: Manchester United walivyokata tiketi ya Champions League kwa kutwaa Uefa Cup.

Namba sita ya kudumu haikumshtua Mourinho hasa baada ya kuingia fainali ya Uropa Ligi na kwamba wanaenda kuwavaa Ajax ya Uholanzi. Hakutaka kuhama mtaa wa sita lakini alihakikisha anakwenda klabu bingwa ulaya kwa mlango wa nyuma.

Ndivyo ilivyokuwa usiku wa jana baada ya wazee wa mtaa wa sita kuchukua ndoo ya Uropa kwa maraya kwanza katika historia yao baada ya kuwapiga pute Ajax kwa bao 2-0.

Ilianza kwa mchezaji ghali Paul Pogba dakika ya 18 tu alipozifumania nyavu za Ajax na kuufanya mchezo...

 

11 months ago

BBCSwahili

Beki wa Manchester United Phil Jones apigwa marufuku kwa kumtusi afisa wa Uefa

Beki wa Manchester United Phil Jones amesimamishwa kucheza mechi mbili za Ulaya kwa kumtusi afisa wa kukabiliana na matumizi ya dawa za kutitimua misuli michezo wa shirikisho la soka Ulaya, Uefa.

 

3 years ago

Bongo5

Manchester United yatolewa nje UEFA

Football Soccer - VfL Wolfsburg v Manchester United - UEFA Champions League Group Stage - Group B - Volkswagen-Arena, Wolfsburg, Germany - 8/12/15
 Manchester United manager Louis van Gaal looks dejected
 Action Images via Reuters / Carl Recine
 Livepic
 EDITORIAL USE ONLY.

Manchester United jana Disemba 8 imeiaga rasmi michuano ya klabu bingwa Ulaya baada ya kupata kipigo cha magoli 3-2 na Wolfsburg ya Ujerumani kwenye mchezo wa mwisho wa kundi B uliokuwa unaamua timu gani zitasonga mbele kwenye hatua ya mtoano kati ya timu tatu zilizokuwa na nafasi ya kusonga mbele kwenye hatua hiyo.

Football Soccer - VfL Wolfsburg v Manchester United - UEFA Champions League Group Stage - Group B - Volkswagen-Arena, Wolfsburg, Germany - 8/12/15 Manchester United manager Louis van Gaal looks dejected Action Images via Reuters / Carl Recine Livepic EDITORIAL USE ONLY.

United, Wolfsburg na PSV zote zilikuwa na nafasi ya kufuzu kwenda kwenye hatua ya 16 bora lakini United imejikuta ikishindwa kusonga mbele.

united-1

Anthony Martial alianza kuifungia...

 

2 years ago

Africanjam.Com

Manchester united vs liverpool live uefa europa league 3/17/16

Manchester united vs liverpool live uefa europa league 3/17/16

 

1 year ago

BBC

Manchester United: Eric Bailly could have Uefa ban extended

Manchester United's Eric Bailly could have his European ban extended, with Uefa to examine his red card against Celta Vigo.

 

3 years ago

BBCSwahili

IS yarejea kwa kishindo Kobane

Ripoti kutoka Syria zasema kuwa wapiganaji wa Islamic State wamerejea katika mji wa Kobane.

 

11 months ago

BBCSwahili

Real Madrid walaza Manchester United 2-1 Kombe la Super Cup Uefa

Manchester United are outclassed as Spanish and European champions Real Madrid retain the Uefa Super Cup victory in a sweltering Skopje.

 

4 months ago

BBCSwahili

De Gea awasaidia Manchester United kutoka sare na Sevilla Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA

Mlindalango wa Manchester United David de Gea alifanya kazi ya ziada kuzuia makombora ya wapinzani wao Sevilla Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya mechi ya hatua ya 16 bora na kuwasaidia kutoka sare Jumatano.

 

3 years ago

Bongo5

Tamthilia ya Empire yarejea kwa kishindo, yavunja rekodi ya Fox ya miaka sita, ushoga wawa maradufu!

Tamthilia ya Empire imerejea kwenye msimu wake wa pili kwa kishindo Jumatano hii. Show hiyo imetazamwa na watu milioni 16.18 na kuifanya kuwa season mpya iliyoangaliwa zaidi kwenye kituo cha runinga cha Fox tangu tamthilia ya House mwaka 2009. Hiyo ni habari njema kwa Fox kwakuwa The Hollywood Reporter imeripoti kuwa tangazo la sekunde 30 […]

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani