Manchester yajinyongea LA Galaxy mabao 5-2

Manchester United imeshindilia mabao 5- 2 klabu ya La Galaxy ya Marekani katika mechi ya kirafiki iliyofanyika jijini Los Anges kujiandaa na msimu huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

8 months ago

BBCSwahili

Manchester United yainyoa Swansea bila maji yainyuka mabao 4-0

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho, anasema kuwa "aliachia farasi kukimbia watakavyo," baada ya kikosi chake kuinyeshea magoli 4-0 Swansea

 

1 year ago

Zanzibar 24

Hakim ‘Men’ Hilika watiana wazimu kwa kupachika mabao Zimamoto, Ndio vinara wa mabao ligi kuu Zanzibar

Katika michezo tisa waliocheza timu ya Zimamoto katika ligi kuu soka ya Zanzibar Kanda ya Unguja imeshafunga jumla ya mabao 14 mpaka sasa lakini inawezekana hujui kati ya mabao hayo 12 yamefungwa na washambuliaji wawili pekee yao wakigawana.

Mfungaji bora msimu ulopita Hakim Khamis “Men” pamoja na Ibrahim Hamad Hilika wamefunga mabao sita kila mmoja na kuwafanya wawe wameshafunga mabao 12 pekee yao na ndio washambuliaji hatari kuliko wote mpaka sasa katika ligi hiyo ambapo wao ndio...

 

2 years ago

Bongo5

Manchester United na Manchester City kukutana tena kombe la EFL Cup

Raundi ya nne ya kombe la Ligi- EFL Cup imetoka mahasimu wa Manchester – City na United watakutana tena. Mechi zita chezwa wiki inayoanza Oktoba 25.

Droo kamili ya mechi zote ni kama ifuatavyo.

West Ham v Chelsea
Manchester United v Manchester City
Arsenal v Reading
Liverpool v Tottenham
Bristol City v Hull
Leeds v Norwich
Newcastle v Preston
Southampton v Sunderland

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town!...

 

1 year ago

Africanjam.Com

STREAMING LIVE NOW: MANCHESTER UNITED vs MANCHESTER CITY | EFL CUP | 26.10.2016 |

CLEARLY CLICK ON THE SYMBOL 'x' ON ADS TO REMOVE THEM.IF STREAMING STOPS JUST REFRESH THE PAGE.ENJOY THE GAME.

Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as...

 

2 years ago

Africanjam.Com

LIVESTREAM: MANCHESTER CITY vs MANCHESTER UNITED | WATCH THE GAME,HERE,NOW,LIVE |
Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into service. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening...

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Jose Mourinho: Imekuwa vigumu kwa Manchester United kuwakimbiza Manchester City

City walilaza Everton 3-1 Jumamosi, na hiyo ina maana kwamba watashinda taji kwa mara ya kwanza tangu msimu wa 2013-2014 iwapo watafanikiwa kuwalaza United uwanjani Etihad wikendi ijayo.

 

2 years ago

Africanjam.Com

PEP GUARDIOLA'S NEXT CLUB: IS IT MANCHESTER UNITED OR MANCHESTER CITY !?

Pep Guardiola will join Manchester City in the summer after deciding against extending his stay with Bayern Munich, according to reports in Spain.The former Barcelona coach, long linked with a move to the Etihad, has already decided he will move away from Germany after three seasons in charge of the Bundesliga giants, with his one remaining desire to manage in England, according to Spanish radio station Cope. 
The report states that Bayern Munich chief Karl-Heinz Rummenigge will announce...

 

3 years ago

GPL

MANCHESTER UNITED ILIVYOPELEKA KILIO KWA MANCHESTER CITY

Wachezaji wa Manchester United wakishangilia baada ya ushindi wao wa 4-2 dhidi ya Manchester City. Ashley Young akifunga bao la kwanza kwa Man United dakika ya 14. Marouane Fellaini akiifungia Manchester United bao la pili dakika ya 28.…

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani