Maneno aliyo zungumza Obama katika hotuba yake ya mwisho katika ukumbi wa McCormick huko Chicago

Rais Barack Obama wa Marekani Jumanne usiku alitoa hotuba yake ya mwisho kwa wananchi wa Marekani, akiwashukuru kumsaidia kukamilisha mipango mingi aliyeahidi kufanya.

Akizungumza katika ukumbi wa McCormick huko Chicago mahala alipoanzia harakati zake za kisiasa akiwa mbele ya maelfu ya watu waliomshangilia huku wakisema “miaka minne zaidi”, Rais Obama aliwahimiza wananchi kuendelea na juhudi za maendeleo na kujiendeleza wenyewe.

Rais Obama alisema watu wa Marekani wamemfanya awe rais bora...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AAGA RASMI UMOJA WA AFRIKA, ATUMIA KISWAHILI KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO

Rais Kikwete: Sera ya Nje itabakia ile ile
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa siasa ya nchi za nje na misingi mikuu ya kuongoza mahusiano ya Tanzania na nchi za kigeni hayatabadilika hata baada ya yeye kuondoka madarakani mwanzoni mwa Novemba, mwaka huu, 2015.
Aidha, Rais Kikwete amewahakikishia viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) kuwa yeye anaondoka madarakani lakini Tanzania waliyoizoea na kuijua itabakia pale pale na...

 

2 years ago

MillardAyo

Alichozungumza Obama kwenye hotuba yake ya mwisho mkutano wa UN

obama

Mkutano wa mkuu wa Umoja wa Mataifa, United Nations General Assembly (UNGA) umeanza wiki hii nchi Marekani katika jiji la New York, na kushuhudiwa viongozi wa mataifa mbalimbali wakihutubia mkutano huo utakaojadili masuala makubwa yanayoikabili dunia kwasasa ikiwemo suala la wakimbizi, utawala wa haki na demokrasia, uchumi na mengineyo. Kupitia hotuba aliyoitoa Rais wa Marekani […]

The post Alichozungumza Obama kwenye hotuba yake ya mwisho mkutano wa UN appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MATHIAS CHIKAWE (Mb) ALIYOTOA KATIKA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 21 OKTOBA, 2015 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA WIZARA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Ndugu Waandishi wa Habari, Mabibi na Mabwana,Kama mnavyojua tarehe 25 ya mwezi huu wa Oktoba mwaka 2015 siku ya Jumapili katika nchi yetu kutafanyika Uchaguzi Mkuu kwa ajili ya kuchagua rais, wabunge na madiwani zoezi ambalo litawashirikisha watanzania wote...

 

2 years ago

VOASwahili

Obama kutoa hotuba yake kuu ya mwisho kuhusu usalama wa kitaifa

Rais Barack Obama alasiri ya Jumanne alitarajiwa kutoa hotuba yake kuu ya mwisho, juu ya usalama wa kitaifa, akiwa  kama rais. White House ilisema kuwa rais Obama angesifu jinsi sera zake za kupambana na ugaidi zilivyo walinda wananchi kutokana na vitisho kadhaa vya kigaidi, katika kipindi cha miaka minane alipokua rais. White House iliongeza kupitia taarifa, kuwa Obama, angezungumza kwenye kambi ya kijeshi ya MacDill Airforce base iliyo kusini mashriki mwa jimbo la Florida,...

 

2 years ago

Mtanzania

Obama, Ki-moon watoa hotuba ya mwisho

president-obama-with-un-secretary-general-ban-ki-moon

NEW YORK, MAREKANI

RAIS wa Marekani, Barack Obama  na  Katibu  Mkuu  wa Umoja  wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon, wametoa hotuba zao za mwisho katika umoja huo wakiitaka jumuiya ya kimataifa  kuongeza juhudi kukabiliana na mizozo  ya kimataifa.

Waliitaja mizozo hiyo kama kuanzia vita  nchini Syria hadi mgogoro wa  wakimbizi na mpango wa kinyuklia wa Korea Kaskazini.

Aidha, Ki-moon ambaye alihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mara  ya mwisho katika kipindi chake cha  uongozi cha miaka 10,...

 

2 years ago

VOASwahili

Hotuba ya mwisho ya Rais Obama kuhusu usalama wa taifa

Wiki hii Rais Obama alihutubia taifa na kuongeleza zaidi usalama wa Marekani.

 

1 year ago

VOASwahili

Hotuba ya mwisho: Obama asema Marekani ‘itakuwa sawa’

Katika mkutano wa mwisho na waadishi wa habari Jumatano Rais Barack Obama alichukua fursa hiyo kuwahakikishia wamarekani nchi itaendelea kuwa salama.

 

1 year ago

BBCSwahili

Sasha Obama alikuwa wapi wakati ya hotuba ya mwisho ya babake?

Huku raia wa Marekani wakitizama hotuba ya mwisho ya rais Obama mjini Chicago siku ya Jumanne usiku, wengine waliwachwa na swali moja

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani