Maneno ya Haji Manara kwa Yanga baada ya Okwi kuvunja mkataba Denmark

Baada ya habari za mshambuliaji wa zamani wa Simba Emmanuel Okwi kuvunja mkataba na timu ya Sonderjyske Fodbold ya Denmark kwa kinachodaiwa kuwa ni kukosa nafasi ya kucheza, Haji Manara wa Simba ameuanzisha huu utani huku ikiaminika kwa sasa Okwi anarudi Simba. Mkuu huyu wa idara ya habari na mawasiliano Simba baada ya taarifa za ujio wa Okwi […]

The post Maneno ya Haji Manara kwa Yanga baada ya Okwi kuvunja mkataba Denmark appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

Zanzibar 24

Alichosema Haji Manara baada ya kuwachapa Yanga bao 1-0

Afisa Habari wa vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC, Haji Manara amefunguka na kudai kipigo walichokipata Yanga jana Aprili 29, 2018 cha bao 1-0 ni cha heshima kutokana na wao kuwa mabingwa watetezi hivyo isingekuwa vizuri kuwadharaulisha mbele ya umati wa mashabiki.

Manara ametoa kauli hiyo mara baada ya ‘Kariakoo Derby’ kumalizika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam huku timu yake ikiwa imetoka na ushindi wa bao 1 lililofungwa ndani ya dakika 38 kupitia Erasto...

 

2 years ago

Global Publishers

GLOBAL TV ONLINE -LIVE: Baada ya Simba Kuiadhibu Yanga, Msikie Haji Manara Akifunguka

The post GLOBAL TV ONLINE -LIVE: Baada ya Simba Kuiadhibu Yanga, Msikie Haji Manara Akifunguka appeared first on Global Publishers.

 

2 years ago

Global Publishers

Baada ya Kichapo cha Yanga, Haji Manara Kufunguka LIVE Kupitia Global TV Online Jioni Hii

SUBSCRIBE YouTube @Global TV Online

The post Baada ya Kichapo cha Yanga, Haji Manara Kufunguka LIVE Kupitia Global TV Online Jioni Hii appeared first on Global Publishers.

 

2 years ago

Dewji Blog

Maneno ya Haji Manara kuhusu penati ya Msuva

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na habari wa Simba, Haji Manara ameamua kufunguka kilicho moyoni mwake baada ya kuona baadhi ya mashabiki wa watani zao Yanga wakimsema mshambuliaji wao Simon Msuva.

Manara amefunguka kwa kumtetea Msuva baada ya kukosa penati katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Mtibwa Sugar na Yanga, mchezo uliopigwa katika uwanja wa Jamhuri, Morogoro na kumalizika kwa sare ya bila kufungana.

Msemaji huyo wa Simba ameandika katika akaunti yake ya Instagram kwa...

 

2 years ago

Bongo5

Huu ndio ujumbe wa Haji Manara kwa Ramadhani Kessy wa Yanga

Baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga wikiendi iliyopita, Afisa habari wa klabu ya soka ya Simba, Haji Manara amemtumia ujumbe beki wa zamani wa klabu hiyo Hassan Ramadhani Kessy ambaye kwa sasa anacheza Yanga.

Kupitia mtandao wa Instagram, Haji ameweka picha ya mchezaji huyo na kuandika, “Unakumbuka Yale maneno aliotudhalilisha huyo dogo?mwambieni THIS IS SIMBA,,na benchi ndio makazi yako ya kudumu.”

Kessy alisajiliwa na Yanga akitokea Simba mwishoni mwa msimu...

 

3 years ago

MillardAyo

Haji Manara katoka TFF anaelekea kwa waziri Nape, kisa Yanga na Azam FC

haji

Klabu ya soka ya Simba March 23 kupitia kwa mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu yao Haji Manara wamethibitisha kukabidhi barua yao ya malalamiko kwa shirikisho la soka Tanzania TFF, inayowatuhumu TFF kuwapendelea Yanga na Azam FC katika ratiba ya Ligi. Manara ameweka wazi barua hiyo na kueleza kuwa baada ya hapo […]

The post Haji Manara katoka TFF anaelekea kwa waziri Nape, kisa Yanga na Azam FC appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Dewji Blog

Manara ang`ata maneno kwa mashabiki wa Simba kuishangilia Yanga

Baada ya jana Jumatano Afisa Habari wa Yanga, Jerry Muro kuwaomba wapinzani wao Simba kuwashangilia katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly, wapinzani wao Simba wamezungumzia ombi hilo.

Akizungumza na E Fm katika kipindi cha E Sports, Simba kupitia kwa msemaji wake, Haji Manara wamesema wao hawawezi kuwaambia mashabiki wao kuwashangalia Yanga au kuacha kuwashangilia.

Manara amesema mashabiki wa Simba wataenda uwanjani kuangalia mpira kama mashabiki wengine na maamuzi ya...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Haji Manara aiwakia Yanga

WAKATI ikichanganywa na mgomo wa nyota wao, viongozi wa Yanga wamewekwa kwenye hali ngumu baada ya watani zao, Simba kuwakomalia wakitaka walipwe fedha zao Sh 50 milioni zikiwa ni fidia ya beki Hassan Kessy.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani