Maneno ya Zitto Kabwe kuhusu kiasi cha fedha kitachohudumia deni la Taifa katika bajeti ya 2016/17

latest-news-fotó-650x35035

Una haki ya kupata chochote kinachonifikia mtu wangu wa nguvu hii baada ya kuipata nimeona haitokua nzuri kama nisiposhirikiana na wewe kuisoma hii kuhusiana  na maneno ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini , Mh Zitto Kabwe kutaja kiasi cha fedha ambacho kitahudumia deni la taifa katika bajeti ya 2016/17. Mbunge huyo alishea taarifa hiyo kupitia kwenye […]

The post Maneno ya Zitto Kabwe kuhusu kiasi cha fedha kitachohudumia deni la Taifa katika bajeti ya 2016/17 appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Zitto Kabwe, MB

MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

Mheshimiwa Spika, Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa nguvu za kuweza kuandika mchango wangu huu mdogo kwenye mjadala wa Bajeti ya Serikali mwaka 2014/15. Kama wengi mnavyofahamu mnamo tarehe 1 Juni mwaka 2014 nilimpoteza mama yangu mzazi na kumsitiri siku iliyofuata tarehe 2 Juni, 2014. Huu ni msiba mkubwa sana kwangu na ndugu zangu wote kwani mama yetu Bi. Shida...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Maneno ya Zitto Kabwe kuhusu JPM kuingilia majukumu ya Mawaziri

ZIIITO

April 25 2016 Chama cha ACT Wazalendo kimekutana katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama jijini Dar es salaam. Katika hotuba yake Kiongozi Mkuu wa chama hicho na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amempongeza Rais John Magufuli kwa kuanza katika eneo la ufisadi ambalo ni muhimu sana ambalo anasema ni msingi mkubwa wa kuanzishwa chama […]

The post VIDEO: Maneno ya Zitto Kabwe kuhusu JPM kuingilia majukumu ya Mawaziri appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Yafuatayo ni maneno 135 yaliyoandikwa na Zitto Kabwe kuhusu Freeman Mbowe, Tanzania na Udikteta

Zitto Kabwe na Mbowe Feb 3 2016

Zitto Kabwe ni Mbunge wa Kigoma Mjini kwa ruhusa ya chama cha ACT Wazalendo, na kwa siku kadhaa amekua akihusishwa na headlines za kutokuwa na uhusiano mzuri yeye na Mwenyekiti wa chama chake cha zamani cha CHADEMA Freeman Mbowe ila leo February 3’amezichukua headlines kwa kuandika yafuatayo. >>>> ‘Chama chochote makini huweka tofauti binafsi pembeni […]

The post Yafuatayo ni maneno 135 yaliyoandikwa na Zitto Kabwe kuhusu Freeman Mbowe, Tanzania na Udikteta appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Zitto Kabwe kuhusu bajeti ya Serikali ‘hatukutegemea hivyo awamu ya tano’

vlcsnap-2016-04-27-22h19m37s245

April 27 2016 Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe ambaye pia ni kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo alihojiwa na AyoTV nje ya bunge Dodoma na kuzungumza kuhusu bajeti ijayo ya serikali, mikopo na ishu nyingine nyeti, mtazame kwenye hii video hapa chini  TATIZO LA VIJANA KUKOSA AJIRA HALIJAACHWA KIMYA BUNGENI LEO Unataka kutumiwa MSG za habari zote […]

The post VIDEO: Zitto Kabwe kuhusu bajeti ya Serikali ‘hatukutegemea hivyo awamu ya tano’ appeared first on...

 

2 years ago

Dewji Blog

Ujumbe wa Zitto Kabwe kuhusu kupata mgeni katika familia yake

Kupitia kurasa za mitandao ya Kijamii ya Mwanasiasa kijana na mwenye ushawishi mkubwa hapa nchini ambaye pia ni kiongozi wa juu wa chama cha ACT Wazalendo, na Mbunge wa Kigoma Mjini, Mh.Zitto Kabwe ameandika ujumbe huu kwenye kurasa zake za Facebook.

“Usiku wa kuamkia tarehe 26 Desemba 2016 mke wangu alipata uchungu wa uzazi. Nikampeleka hospitali moja hapa Masaki. Hakuweza kujifungua siku hiyo bali tulikaa hospitali mpaka tarehe 27 Desemba, saa moja dk 45 asubuhi alipojifungua mtoto wetu wa...

 

2 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO BW. DOTO JAMES AWATOA HOFU WATANZANIA KUHUSU DENI LA TAIFA

Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James amewatoa hofu watanzania kuhusu ongezeko la Deni la Taifa akisisitiza kuwa Deni hilo ni himilivu.
Bw. James amesema hayo Jijini Dar es Salaam kwa vyombo vya habari wakati wa hafla fupi ya kutia saini Mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Shilingi bilioni 340 uliotolewa na Benki ya Dunia kwa ajili ya Mradi wa kuendeleza utalii kwa vivutio vilivyoko katika ukanda wa kusini mwa Tanzania ujulikao kama...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani