Manula ajitetea kuvurunda Azam

KIPA Aishi Manula wa Azam FC, amesema upepo mbaya uliopita kwenye timu yao umechangia kufanya vibaya kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu unaoelekea ukingoni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Bocco ataja sababu za Azam kuvurunda

NAHODHA wa Azam FC, John Bocco amesema kushindwa kupata mafanikio msimu uliopita kumetokana na kuwakosa wachezaji wao muhimu wa kikosi cha kwanza kwenye mechi za mwisho.

 

2 years ago

MillardAyo

DONE DEAL: Aishi Manula amehama Azam FC leo

Baada ya tetesi za muda mrefu kuhusiana na golikipa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea club ya Azam FC Aishi Manula kuhusishwa kuwa muda wowote anaweza ihama club hiyo na kwenda kujiunga na Simba huku Singida United ikitajwa kumuwania pia. Leo June 11 2017 taarifa kutoka katika mtandao wa habari za michezo […]

The post DONE DEAL: Aishi Manula amehama Azam FC leo appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Mwananchi

Kipa mpya Azam aitaka namba ya Manula

Kipa mpya wa Azam, Benedict Haule amesema atajituma ili kuhakikisha anapata namba ya kudumu katika kikosi cha kwanza cha mabingwa hao wa Kombe la Mapinduzi.

 

2 years ago

MillardAyo

Saa chache baada ya Manula kuondoka, Azam FC imetangaza mbadala wake

Saa chache baada ya aliyekuwa golikipa wa Azam FC Aishi Manula kutangazwa kuondoka katika club hiyo na kujiunga na club ya Simba, Azam FC usiku wa leo wametangaza mbadala wake. Azam FC leo wamemtangaza golikipa Benedict Haule aliyekuwa akiichezea Mbao FC ya Mwanza kuwa mbadala wa Aishi Manula aliyejiunga na Simba, Benedict amesaini mkataba wa miaka […]

The post Saa chache baada ya Manula kuondoka, Azam FC imetangaza mbadala wake appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Habarileo

Kocha Hall ajitetea Azam kuboronga

KOCHA Mkuu wa Azam, Stewart Hall amesema timu yake ipo kwenye kipindi cha mpito kwa sasa na kwamba itakaa sawa na kurejea kwenye makali.

 

2 years ago

MillardAyo

Kaseja baada ya kuulizwa namna Bocco, Kapombe na Manula walivyoondoka Azam na kujiunga na Simba

Golikipa wa zamani wa timu za Simba na Yanga ambaye kwa sasa anaichezea Kagera Sugar ya Bukoba Juma Kaseja alikuwa ni mmoja kati ya wageni waliyoalikwa katika kipindi cha Sports Bar cha Clouds TV kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusiana na soka la Tanzania. Juma Kaseja kama moja ya wachezaji wenye uzoefu ambao wamewahi kucheza vilabu vya […]

The post Kaseja baada ya kuulizwa namna Bocco, Kapombe na Manula walivyoondoka Azam na kujiunga na Simba appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Habarileo

Kocha Simba amtetea Kessy kuvurunda

KOCHA wa Simba Jakson Mayanja amemkingia kifua mchezaji wake Ramadhan Kessy kwa kile kinachodaiwa kuwa alifanya uzembe wa makusudi ulioigharimu timu yai hadi kufungwa na Yanga mabao 2-0 kwenye Uwanja wa tTaifa Jumamosi.

 

3 years ago

Habarileo

Simba walia usaliti kuvurunda Ligi

UONGOZI wa Klabu ya Simba umetaja sababu mbalimbali zilizofanya wavurunde msimu huu wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, huku sababu kubwa ikiwa ni usaliti wa baadhi ya wachezaji.

 

4 years ago

Habarileo

Wakurugenzi 6 watimuliwa kuvurunda uchaguzi serikali za mitaa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia akizungumza na waandishi Dar es Salaam jana kuhusu wakurugenzi walioshindwa kutimiza wajibu wao katika kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mwingine ni Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI, Edwin Kiliba. (Picha na Yusuf Badi).SERIKALI imechukua hatua kali kwa wakurugenzi 17 wa halmashauri mbalimbali nchini, ambapo sita uteuzi wao umetenguliwa, watano wamesimamishwa kazi, watatu wamepewa onyo kali na watatu wamepewa onyo.

Wote hao wamepewa adhabu hiyo kutokana na kushindwa kutimiza wajibu wao katika kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliofanyika Jumapili.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia alisema hayo Dar es Salaam...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani