MANULA, KICHUYA WAPEWA NJUMU ZA SH 500,000

NYOTA wawili wa kutumainiwa wa klabu ya Simba, Mlinda mlango Aishi Manula pamoja na kiungo mshambuliaji Shiza Kichuya, wamepokea viatu vyenye thamani ya Sh 500, 000 kutoka kwa mashabiki wa timu hiyo.

Wawili hao walikabidhiwa viatu hivyo aina ya CR7 Mercurial kutoka kampuni ya Nike, mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Lipuli, ulioisha kwa sare ya bao 1-1 uliopigwa katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa viatu hivyo, Manula alisema...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwanaspoti

Kichuya aukubali usajili wa Simba wa nyota kama Bocco, Kapombe na Manula

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya amesema anaamini timu yake itafanya vizuri kutokana na usajili inaofanya.

 

2 years ago

Habarileo

Malinyi wapewa mil 500/- kujenga ofisi ya wilaya

OFISI ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)imetoa kiasi cha Sh milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa ofisi za halmashauri ya wilaya ya Malinyi, mkoa wa Morogoro.

 

5 years ago

Habarileo

Miche 500,000 ya karafuu yapandwa

ZAIDI ya miche ya mikarafuu 500,000 imepandwa Unguja na Pemba katika kipindi cha mvua za masika, zinazoendelea kunyesha nchini kote.

 

5 years ago

GPL

Tambwe apigwa faini Sh 500,000

Mshambuliaji wa kimataifa wa Simba, Amissi Tambwe. Omary Mdose na Martha Mboma
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Amissi Tambwe, amepigwa faini ya Sh laki tano kwa kosa la kushangilia bao huku akionyesha kidole katika mchezo wao dhidi ya  Mbeya City lakini klabu yake imepigwa faini ya Sh milioni moja baada ya makocha wake kuingia uwanjani na kuwazonga waamuzi katika mechi hiyo pamoja na kuwepo kwa vitendo vilivyoashiria...

 

3 years ago

Habarileo

Rushwa yamtemesha Mtendaji 500,000/-

OFISA Mtendaji wa kijiji cha Mwese wilaya ya Mpanda mkoani Katavi , David Wambuto (36) amenusurika kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kulipa faini ya shilingi 500,000 kwa kosa la kushawishi na kupokea rushwa ya shilingi 10,000.

 

3 years ago

Habarileo

Kila bao la Serengeti Sh 500,000/-

TIMU ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’ leo inatarajiwa kumenyana na wenzao wa Congo Brazzavile katika mechi ya kuwania kufuzu michuano ya kombe la Mataifa Afrika mwakani.

 

2 years ago

Michuzi

KUZIONA TANZANITE, FALCONETS SH. 500 NA SH 1,000

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewapa fursa mashabiki wengi kuingia uwanjani kuishangilia timu ya taifa ya wanawake wenye umri wa chini ya miaka 20 ‘Tanzanite’ itakayocheza na Falconets ya Nigeria, Jumapili Oktoba mosi, mwaka huu.  TFF imetoa ofa katika kiingilio. Kiingilio kitakuwa ni Sh. 500 tu kwa mashabiki watakaoketi eneo la mzunguko huku kwa wale watakaokaa Jukwaa Kuu (VIP) watalipia Sh. 1,000 tu katika mchezo utakaofanyika Uwanja wa Azam ulioko Chamazi, Dar es...

 

3 years ago

BBC

Ghana wants $500,000 bus money back

Ghana demands a $500,000 (£350,000) refund after a government ministry spent $1m to paint more than 100 buses with portraits of the country's recent leaders.

 

3 years ago

Habarileo

Kamati ya Bunge yakataa faini ya 500,000/-

KAMATI ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala imekataa mapendekezo ya kufanyia marekebisho Sheria ya Leseni za Uchukuzi ya mwaka 1973 yenye lengo la kuongeza kiwango cha adhabu ya faini hadi kufikia asilimia 500 kwa watakaokiuka masharti ya leseni hizo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani