Maombi ya UVCCM Mtwara kwa Rais – Wapiga dili washughulikiwe

screen-shot-2016-12-12-at-3-31-50-pm

Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM mkoa wa Mtwara umemuomba mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli kuwashughulikia wanasiasa waliojaribu kujinufaisha na kutaka kukwamisha jitihada za mwekezaji Aliko Dangote kuwekeza nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Mtwara Nestory Chilumba amesema kitendo cha dangote kushusha magari 651 kwa awamu ya kwanza ajiri ya kiwanda chake kinadhihirisha kuwa mwekezaji huyo hana mpango wa...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Habarileo

Rais Magufuli apigilia msumari kwa wapiga dili nchini

RAIS John Magufuli ameendelea kupigilia msumari kwa watanzania na viongozi wasiopenda kujishughulisha na kuwajibika na kutegemea zaidi fedha za bure za umma.

 

2 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: RAIS DKT MGUFULI AKUTANA NA ALHAJ ALIKO DANGOTE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO, WAKATA MZIZI WA FITNA WA WAPIGA DILI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Desemba 2016, amekutana na kufanya mazungumzo na Mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo  Mtwara, Alhaji Aliko Dangote.

Katika mazungumzo hayo, Rais Magufuli amemhakikishia mfanyabiashara huyo kuwa serikali ya Tanzania itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji wote nchini katika kutimiza lengo lake la kuwa na Tanzania ya Viwanda.

Rais Magufuli amesema kuhusu kiwanda cha kuzalisha Saruji cha...

 

2 years ago

Habarileo

Waziri: Wapiga 'dili' mtajuta

WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Gerson Lwenge amewatahadharisha watumishi wa idara zilizo katika wizara hiyo na makandarasi wanaojenga miradi ya maji waliozoea kupiga ‘dili’. Lwenge amewaonya kuwa, wasijaribu, na wakithubutu watajuta maisha yao yote.

 

2 years ago

Habarileo

Wapiga 'dili' bandarini kufilisiwa

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema itawachukulia hatua watumishi wa mamlaka hiyo wote ambayo wanajishughulisha na michezo michafu wakishirikiana na wafanyabiashara katika minada inayofanyika bandarini.

 

3 years ago

Habarileo

Magufuli: Wanaolia njaa ni wapiga ‘dili

RAIS John Magufuli amesema watu wanaolalamika kwamba fedha hazionekani mitaani ni watu waliozoea ‘kupiga dili’ (kujipatia fedha isivyo halali).

 

2 years ago

Bongo5

Wapiga dili TPA kuchukuliwa hatua

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema itawachukulia hatua watumishi wa mamlaka hiyo wanaojishughulisha na michezo michafu wakishirikiana na wafanyabiashara katika minada inayofanyika bandarini.

Akizungumza katika mahojiano ya moja kwa moja na kituo cha redio jana, Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Deusdedit Kakoko amesema hatua ambazo atachukua ni pamoja na kupiga mnada mali za wahusika wote ambao watabainika kuhusika katika mchezo huo mchafu.

“Katika Serikali ya Awamu ya Tano ni...

 

3 years ago

Global Publishers

Magufuli awalaza njaa wapiga dili mjini

john-magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’.

STORI: Sifael Paul, Wikienda
Dar es Salaam: Hali ni mbaya! Vita ya ufisadi aliyoitangaza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’ inadaiwa kuwalaza njaa wapiga dili mjini na madalali waliokuwa wamejazana kwenye taasisi za serikali.

Uchunguzi wa gazeti hili kwenye taasisi kubwa zipatazo 20 zilizopo katika wizara mbalimbali zenye makao yake makuu jijini Dar, umebaini kuwa, wale ‘watu wa kati’...

 

2 years ago

Habarileo

Wasomi wafurahia kiama cha wapiga dili

WASOMI wamesema pamoja na mazungumzo ya Rais John Magufuli na mmiliki wa kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwara, Aliko Dangote, kukata mzizi wa fitina, kauli thabiti ya serikali kukabiliana na wapiga dili waliokuwa wanakwamisha uendeshaji wa kiwanda hicho imeibua matumaini mapya kwa Watanzania.

 

1 year ago

Michuzi

WAPIGA DILI,WALA RUSHWA HAWATAKIWI CCM

MWENYENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya kiwalani Mathias Kahinga Amesema katika kipindicho chote cha uongozi wake wapigaji, wala rushwa, pamoja na wapiga dili hawana nafasi kwenye utawala wake nakudai mbeleko za kuwabebea zimechanika.
Amesema kwake ni kuchapa kazi aliyotumwa na wanachama wa Chama chake kwa lengo kuu la kutatua na kuisimamia Serikali huku akitoa rai kwa viongozi wezake ndani ya chama hicho kuhakikisha wanakuwa waadilifu na wenye unyenyekevu kwa wananchi na kutatua kero...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani