MAONI: Ripoti ya CAG haitoi matumaini yoyote

>Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka wa fedha wa 2012/13 imefichua madudu ya ajabu, ambayo bila shaka yatakuwa yameondoa matumaini ya wananchi ya kukua kwa uchumi na kuwaondolea umaskini uliokithiri.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

MAONI YA MHARIRI: Tunataka kuona mabadiliko ripoti za CAG

Jana, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Juma Assad aliwasilisha bungeni ripoti yake ya mwaka ambayo kama zilivyo nyingine zilizotangulia, imebainisha udhaifu mkubwa katika matumizi ya fedha na mali za umma.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Kama uliwahi kukutana na ripoti ya CAG haya ni mambo mawili ya kufahamu kuhusu ripoti yake

Juma-Assad

Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Tanzania (CAG) Profesa Juma Musa Asaad ameamua kuweka wazi mambo kadhaa kuhusiana na ripoti yake, kikubwa alichozungumza mkaguzi mkuu kabla  ya kuamini ripoti yoyote inayoandikwa mitandaoni, unatakiwa uangalie vitu viwili muhimu ili kufahama kama hiyo ni ripoti yake au la. Ripoti inayotoka kwa CAG huwa ina vitu […]

The post VIDEO: Kama uliwahi kukutana na ripoti ya CAG haya ni mambo mawili ya kufahamu kuhusu ripoti yake appeared first on...

 

2 years ago

Michuzi

TAASISI YA WAJIBU YAZINDUA RIPOTI YA RIPOTI CAG

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii .

Taasisi ya Wajibu imezindua Ripoti ya Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) na maoni yake katika ukaguzi wa 2016 katika maeneo ambayo ni muhimu kwa kila mtanzania kuweza kujua ripoti hiyo kwa mstakabali wa maendeleo ya taifa. 

Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kabla ya uzinduzi huo Mkurugenzi Mtendaji Taasisi hiyo, Lodovick Utouh amesema kuwa ripoti hiyo imeangalia maeneo matatu ya Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Ripoti CAG balaa

RIPOTI ya uchunguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), kuhusu kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh bilioni 200, kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow zilizohifadhiwa katika Benki Kuu...

 

4 years ago

Mwananchi

RIPOTI: Watanzania wapoteza matumaini

Zaidi ya nusu ya Watanzania wamekata tamaa ya maisha, badala yake wanafikiri hali zao zitakuwa bora miaka kumi ijayo, kwa mujibu wa ripoti ya taasisi ya Twaweza pamoja na Jumuiya ya Maendeleo ya Kitaifa (SID).

 

4 years ago

Habarileo

Ripoti ya CAG yaanika madudu

Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa AssadRIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, imetolewa na kuwasilishwa bungeni jana huku ikiendelea kuibua madudu katika matumizi ya fedha.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Apex wataka ripoti ya CAG

WAFANYAKAZI wa Chama Kilele cha Wakulima wa Tumbaku Tanzania (Apex), wamemtaka Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kuweka hadharani taarifa ya ukaguzi wa chama hicho kutokana na kuibuka...

 

5 years ago

Mwananchi

Ripoti ya CAG yamng’oa meya

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemtaka Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk Anatory Amani kuachia ngazi baada ya Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kubaini ubadhilifu katika miradi ya halmashauri hiyo na ukiukwaji wa taratibu za kusaini mikataba.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani