Mapenzi ya kutizama filamu katika majumba ya sinema yanaonekana kurudi upya Zanzibar

Kupanuka kwa teknolojia za kisasa za mawasiliano pamoja na mitandao, imesababisha majumba mengi ya sinema kufungwa hapo awali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Bodi ya filamu yawakubusha wazazi majukumu yao kwa watoto katika kutizama sinema

Watanzania wameaswa kuzingatia umri katika kungalia filamu katika majumba ya sinema na sehemu mbalimbali.

Wito huo umetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fisso wakati akifafanua masuala mbalimbali kuhusu tasnia ya filamu nchini kwa waandishi wa habari.

Bibi Joyce Fisso amesema kuwa Bodi yake inafanya kazi ya kuzipa kiwango kazi za filamu na maigizo ikiwemo umri sahihi wa kuangalia filamu na hili linapaswa kuzingatiwa na waoneshaji na...

 

3 years ago

Bongo5

Filamu ya Going Bongo kuanza kuoneshwa kwenye majumba sinema Dar kuanzia Dec 11

Going Bongo filamu (31)

Filamu ya Going Bongo itaanza kuoneshwa kwenye majumba ya sinema jijini Dar es Salaam, ikiwemo Century Cinemax kuanzia December 11.

Going Bongo filamu (31)

Filamu hiyo iliyoshinda tuzo ya Best East African Film (ZIFF) na Best International Film (BEFFTA UK) imechezwa na Ernest Napoleon.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

3 years ago

Bongo5

Wapeni movie nzuri, wabongo wanaweza kwenda kuangalia filamu za kibongo kwenye majumba ya sinema

12356420_957636774330521_1441234626_n

Jumamosi hii nilipata bahati ya kwenda kuangalia filamu ya Going Bongo kwenye jumba la sinema la Century Cinemax lililopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.

12356420_957636774330521_1441234626_n

Going Bongo ni filamu pekee iliyochezwa na Watanzania, inayooneshwa hapo. Kwa wiki hii filamu zingine zinazooneshwa ni pamoja na The Peanut Movie, The Good Dinosaur, Tamasha, Spectre, Hate Story 3, In The Heart of The Sea na zingine.

Mimi niliangia kuangalia Going Bongo kuanzia saa mbili usiku, ikiwa ni siku ya pili tangu ianze...

 

2 years ago

Michuzi

FILAMU YA KWANZA YA KICHINA KUONYESHWA KATIKA JUMBA LA SINEMA


Mkurugenzi Mtendaji wa Startimes Liao Lanfang (katikati) pamoja na Meneja wa Quality Group  Utkarsh Garg (kulia) wakitia saini makubaliano ya kuonyesha filamu ya kwanza ya Kichina katika jumba la Sinema wakishuhudiwa na Mshauri wa masuala ya utamaduni kutoka ubalozi wa China, Gao Wei. 

Na Zainab Nyamka, 
Globu ya JamiiKATIKA kutambua uhusiano mkubwa uliopo baina ya Tanzania na China Kampuni  ya Startimes imezindua filamu ya kichina kwa mara ya kwanza na inatarajiwa kuonyeshwa katika Jumba la...

 

3 years ago

Bongo5

Kuoneshwa kwa ‘Going Bongo’ kwenye majumba ya sinema Tanzania kutaandika historia muhimu – Ernest Napoleon

Ernest Kuonyeshwa_4

Muigizaji wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon anaamini kuwa kuoneshwa kwa filamu ya Going Bongo kwenye majumba ya sinema nchini kutaandika historia muhimu kwenye tasnia ya filamu ya Tanzania.

Napoleon amedai kuwa uoneshwaji wa filamu kwenye majumba ya sinema ndio msingi wa mafanikio kwa soko la filamu katika nchi zilizoendelea.

Filamu yake ya Going Bongo itaanza kuoneshwa December 11, kwenye ukumbi wa sinema wa Century Cinemax uliopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.

“Tunajaribu...

 

4 years ago

Bongo5

Mamia wafurika kuangalia #Furious7 kwa mara ya kwanza kwenye majumba ya sinema Dar tiketi zaisha

Filamu ya Fast & Furious 7 imezinduliwa leo April 3 duniani kote. Tanzania ni moja ya nchi zilizoionesha filamu hiyo kwa mara ya kwanza. Hamu kubwa ya mashabiki wa filamu nchini, imeyafanya majumba ya sinema jijini Dar es Salaam kuuza tiketi nyingi kuliko kawaida. Meneja wa Century Cinemax iliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam, […]

 

3 years ago

Bongo5

Star Wars: The Force Awakens aliyoigiza Lupita Nyong’o yaingiza $1bn siku 12 baada ya kuingia kwenye majumba ya sinema

Star Wars The Force Awakens

Star Wars: The Force Awakens imekuwa filamu iliyoingiza dola bilioni 1 haraka zaidi kwenye majumba ya sinema duniani.

Star Wars The Force Awakens

Filamu hiyo ya JJ Abrams imefikia mafanikio hayo siku 12 tu baada ya kutoka na kuvunja rekodi iliyopita ya siku 13 iliyowekwa na filamu Jurassic World June, mwaka huu.

Hata hivyo Jurassic World ilipata mafanikio hayo kwa kuoneshwa China zaidi ambako The Force Awakens bado haijaoneshwa huko.

Star Wars pia iliingia fedha nyingi siku ya Christmas kwa Marekani kwa kuvuta $49.3m....

 

2 years ago

Dewji Blog

Eddie Murphy kurudi katika tasnia ya filamu kwa nguvu mpya

Muigizaji na mchekeshaji maarufu duniani amerudi tena katika tasnia ya uigizaji baada ya kuwa kwenye mapumziko ya takribani miaka 4.

Eddie Murphy mwenye umri wa miaka 55. aliongozana na watoto wake 7 kwenye red carpet ndani ya Hollywood katika uzinduzi wa filamu yake mpya iitwayo “MR CHURCH” kama sehemu ya kusherehekea kwa pamoja ujio wa baba yao kwenye tasnia hiyo.

Wakiwa katika pose la picha ya pamoja Eddie Murphy na mpenzi wake Paige Butcher mwenye umri wa miaka 37. pamoja na watoto wake...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani